Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

.. Vodacom Tanzania mtakimbiwa sana na wateja kwa
huduma zenu mbovu, watu washalalamika sana kuhusu nyie
 
Last edited by a moderator:
kuna siku niliweka vocha ya elfu kumi, nikawa najaribu kuweka kifurushi inagoma, nikajua ni tatizo la mtandao..baada ya dakika tano nikajaribu tena ikakataa,kucheck salio imebakia km 1300.
hiyo laini ya voda hata sijui iko wapi tena
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukijiunga na kifurushi cha Tsh 495 dakika 30 cha ajabu ukitumia dakika 1 na sekunde 1 kisha ukiangalia salio la dakika na sekunde wanakuambia umetumia dakika 2 yaani umebakiza dakika 28, vivyo hivyo ata vifurushi vingine vya Tsh 250, Tsh 645, Tsh 995, Vodacom Tanzania WIZI MTUPU.
Habari ndugu mteja, tafadhali tunaomba namba yako kwa mawasiliano zaidi kuhusu hili.
 
Hilo tatizo la kukuta salio limeyeyuka kinyemela pasipo kujua, kuwa na salio la kutosha kujiunga kufurushi unachohitaji lakini unaambiwa huna salio la kutosha sio la mmoja hata mimi limeshawahi kunitokea mara kadhaa, sasa nyie vodacom tz mkikimbiwa na wateja kutafuta nani mchawa wapeni wateja majibu na ufafanuzi unajitosheleza juu ya malalamiko yao, sio kuomba namba ya simu ya mteje
 
Nimekua mmoja wa watumiaji wa muda mrefu wa vodacom na hadi nje ya Tanzania tulikua tunaumia kwa kupigiwa n akutuma na kupokea msg tuwapo mfano DRC tukiroam na Vodacom CD, lakini ghafla mmebadili mfumo wenu, makato yamekua ya kutisha upigiwapo simu, yani hata kama una salio la elfu kumi ukapigiwa simu ukaongea nayo dakika moja, unakuta elfu kmi yote imeondoka japo wewe ndo uliyepigiwa,msg moja kutuma mnakata mia700,huo ni wizi kwa kweli, mmekithiri.

Sasa hivi madereva wanaokwenda Transit tumeamua kununua line za Airtel na Zantel.

Unapigiwa simu hukatwi kama mnavyofanya nyie Vodacom Tz, Mtandao wa M Pesa nao ni tatizo, hasa maeneo ya Mbeya na Tunduma.
 
Pia kuna kipindi watu walikua wakitupigia simu tuwapo DRC zilikua zinaingia kwa watu wengine tena kwenye namba za kiCongo badala ya kuingia kwenye namba halisi ilopigwa. imesababisha matatizo kwenye ndoa za watu, maana wamekua wakilalamika wanapiga cm zinapokelewa na watu wengine!, NiliwaInbox fb kwenye page yenu, mkaniambia mnashughulikia lakini hadi leo hamjawahi kutufahamisha isue ilikua ni ninic.

Kwa kweli huduma imewashinda.
 
nilipeleka simu mlimani city vodacom. ilikuwa haitoi sauti , week nzima ikaisha nilipowafata na mikaratasi yangu ya warranty ,daah nilichoka yaani kumbe hata kazi haijafanyiwa bali ni story tu.
 
nilisajili laini yangu ya voda. nikaitumia miezi kadhaa, nikasafiri kama miezi 3 nje ya nchi. niliporudi ,laini kapewa mtu mwingine ,mnaboa
 
Mnamsaidiaje mtu alie vijini mfano malinyi hakuna huduma za voda shop! nimeibiwa simu nimeomba msaada kua nikombali naomba muiblock simu isitumike tena mmeshindwa wakat nimewapa imei no za simu na anaye tumia nimewapa kwan simu imesetiwa kila unapotoa line mwenye simu anapata ujumbe kama simu yake inatumika!hakuna technologia ya kuziunguza simu za wizi?
 
Hilo tatizo la kukuta salio limeyeyuka kinyemela pasipo kujua, kuwa na salio la kutosha kujiunga kufurushi unachohitaji lakini unaambiwa huna salio la kutosha sio la mmoja hata mimi limeshawahi kunitokea mara kadhaa, sasa nyie vodacom tz mkikimbiwa na wateja kutafuta nani mchawa wapeni wateja majibu na ufafanuzi unajitosheleza juu ya malalamiko yao, sio kuomba namba ya simu ya mteje

Ukiwa unaingiza vocha hakikisha unazima data connection
 
Mnamsaidiaje mtu alie vijini mfano malinyi hakuna huduma za voda shop! nimeibiwa simu nimeomba msaada kua nikombali naomba muiblock simu isitumike tena mmeshindwa wakat nimewapa imei no za simu na anaye tumia nimewapa kwan simu imesetiwa kila unapotoa line mwenye simu anapata ujumbe kama simu yake inatumika!hakuna technologia ya kuziunguza simu za wizi?

Pole sana kwa kuibiwa simu micky mouse, kwa sasa hatuna huduma ya kufunga simu bali tunaweza kukusaidia kufunga nambari yako ya simu. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Wezi wakubwa nyie, nimeenda Dukan kwenu pale mwanza mnaniuzia modem tsh 30000 ? Alafu naona tangazo kumbe ni 25000, sasa familia yangu nahama nayo, umezidi uwizi kuanzia kwenye bundle zenu hadi m pesa

Habari Mkwano, tafadhali tutumie nakala ya risiti uliyopewa pindi uliponunua modem hiyo kwa msaada zaidi. Pole sana
 
nilisajili laini yangu ya voda. nikaitumia miezi kadhaa, nikasafiri kama miezi 3 nje ya nchi. niliporudi ,laini kapewa mtu mwingine ,mnaboa

Habari ndugu mteja, tunapenda kukufahamisha kuwa endapo kadi ya simu haitotumika kwa muda wa siku 90 hufutwa na kurudisha sokoni, tumekuwa tukiwashauri wateja wetu wanaokwenda nje kuwa wajitahidi angalau kutuma japo SMS moja kila mwezi ili kuepuka suala hili.
 
nilipeleka simu mlimani city vodacom. ilikuwa haitoi sauti , week nzima ikaisha nilipowafata na mikaratasi yangu ya warranty ,daah nilichoka yaani kumbe hata kazi haijafanyiwa bali ni story tu.

Habari NYANYADO, tafadhali tuwasiliane PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom