Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom mmeshindwa sehemu nyingi sana,mimi nimewahi kununua luku kwa mpesa wakakaa siku 3 ndio wanakutumia umeme na hii imekuwa zaidi ya mara mbili, na hata leo hii pia nimenunua luku nimeshakaa zaidi ya masaa matatu hawajaniletea majibu ila ela wamekata, mkae mkijua kwamba mtu anaponunua kitu anakuwa na shida nayo kwa mda huo sio kwamba apate kwa mda mnaojisikia nyinyi. biashara hii imewashinda waachieni wanaoweza hapa nawaza kutupa laini yenu tu.wezi nyie wakubwa
 
Vodacom mmeniangusha sana kwenye upande wa data...ukijiunga na kifurushi cha data, unapata taarifa kuwa kifurushi kimekwisha baada ya kutumia pesa yote kwenye account.

Airtel wenzenu wanatuma msg unapofikia mwisho wa kutumia. Naamini nyie mmeondoa hiyo facility maksudi kabisa. Msiporekebisha hili tutaandamana kwa regulator- TCRA
 
Sasa ni dhahili mawasiliano na mazungumzo ya wateja wa vodacom ambao ni wanasiasa wenye mtizamo usio endana na chadema mawasiliano yao yapo hatarini kufuatiliwa kwa vile imeshajulikana wazi kuwa Salim Mwalimu ndie alikua anaiba mazungumzo hayo na kupeleka chadema!
 
Vodacom mmeshindwa sehemu nyingi sana,mimi nimewahi kununua luku kwa mpesa wakakaa siku 3 ndio wanakutumia umeme na hii imekuwa zaidi ya mara mbili,na hata leo hii pia nimenunua luku nimeshakaa zaidi ya masaa matatu hawajaniletea majibu ila ela wamekata,mkae mkijua kwamba mtu anaponunua kitu anakuwa na shida nayo kwa mda huo sio kwamba apate kwa mda mnaojisikia nyinyi.biashara hii imewashinda waachieni wanaoweza hapa nawaza kutupa laini yenu tu.wezi nyie wakubwa

Habari kamanyora, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza tunaimani umekwishapokea token zako kwa sasa. Pole sana
 
Last edited by a moderator:
Vodacom mmeniangusha sana kwenye upande wa data...ukijiunga na kifurushi cha data, unapata taarifa kuwa kifurushi kimekwisha baada ya kutumia pesa yote kwenye account. Airtel wenzenu wanatuma msg unapofikia mwisho wa kutumia. Naamini nyie mmeondoa hiyo facility maksudi kabisa. Msiporekebisha hili tutaandamana kwa regulator- TCRA

Habari DuppyConqueror tafadhali tunaomba ututumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni dhahili mawasiliano na mazungumzo ya wateja wa vodacom ambao ni wanasiasa wenye mtizamo usio endana na chadema mawasiliano yao yapo hatarini kufuatiliwa kwa vile imeshajulikana wazi kuwa Salim Mwalimu ndie alikua anaiba mazungumzo hayo na kupeleka chadema!

Kero yako tumeisikia kesho tutamfukuza kazi.
 
ndugu mteja,

una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- ni tatizo gani? (m-pesa, sms, calls, internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- maeneo gani? (tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

vodacom tanzania
vodacom sasa nashangaa mmepotea kwenye intanet.mimi nipo morogoro mjini,intanet ipo slow sana huku.si tatizo langu tu.sasa sijaelewa kwanini.hili tatizo limeanza mwezi huu tu
 
Habari ndugu mteja, tunapenda kukufahamisha kuwa endapo kadi ya simu haitotumika kwa muda wa siku 90 hufutwa na kurudisha sokoni, tumekuwa tukiwashauri wateja wetu wanaokwenda nje kuwa wajitahidi angalau kutuma japo SMS moja kila mwezi ili kuepuka suala hili.

Na wanaoenda jela mwaka mmoja mnafanyaje kuwasadia???

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nimetumiwa text msg jana ndio nimeipata sasa hivi na taarifa zilizokusudiwa kunifikia ni irellevant saa hizi hili mnaliongeleaje? Na hata msg niliyojibu bado haijamfikia mlengwa mpaka tukapigiana simu.

Sihitaji tena huduma ya text msg ni upuuzi mtupu, wakati nilipokuwa mteja wa Tritel tulikuwa wateja tuna mkataba na Tritel ikitokea mtandao ndio umesababisha ukose biashara au upate hasara kulikuwa na kipengele cha kuwashtaki kudai fidia je nyinyi mna hicho kipengele?
 
Kwann speed ya intaneti ni ndogo sana????

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Habari ndugu mteja, tunapenda kukufahamisha kuwa endapo kadi ya simu haitotumika kwa muda wa siku 90 hufutwa na kurudisha sokoni, tumekuwa tukiwashauri wateja wetu wanaokwenda nje kuwa wajitahidi angalau kutuma japo SMS moja kila mwezi ili kuepuka suala hili.


Sio fresh aisee sasa na wanafunzi wanaoenda shule miezi 5 je

Fanyeni 6 months
3 months mnaonea sana
 
mm kunakipindi nilipoteza cm nikaenda vodashop bukoba kurenew mhudumu akaniuliza pass word nikamwambia akasema pesa wamechukua nikamwambia anipe jina la aliechukua akakataa lkn ukweli walichukuwa wao voda!!

Habari Kayabwe, namba ya siri hutakiwi kumpatia mtu yeyote na hata mfanyakazi wa Vodacom akikuomba usimpatie. Tafadhali tutumie taarifa zaidi kuhusu hili nasi tutashirikiana nawe.
Tunaimani tumeelewana vyema kama ambavyo tumezungumza kwa njia ya simu, pesa yako iliibwa kabla hujafika dukani kwetu. Tafadhali zingatia kuwa namba ya siri ni siri yako. Ahsante
 
Back
Top Bottom