Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
voda why you?!!
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Vodacom Tanzania[/F
mr voda habari yako!
mie niko poa! tatizo kwa upande wangu lipo kwenye huduma ya data hasahasa 3g! huduma hii nafikiri hadi sasa unafahamu ni kwa kiasi gani imekuwa na umuhimu kwa kila mtu mwenye uhitaji wa data! sasa hapa wilaya ya ngara mkoa kagera huduma hii mmeiweka katika roaming hali inayoifanya,
a,) isipatikane kwa kila mmtu mwenye simu yenye intenent 3g.
b) hata kwa wale wenye simu zenye uwezo wa kuipata hiyo net work voice call inadrop down kila baada ya sekunde kadhaa,
c) lakini pia haipatikani kwa uhakika kwa maana kwamba ipo upande mmoja tu wa mji upande mwingine hasa nyanda za chini ya na pembezoni mwa mlima ni majanga ispokua 2g!
mi naonelea kuwa kulingana na uhitaji wa huduma hii ni bora kama ule mnara wa karibu na magereza au niseme benki ambao ndio tegemeo la wengi ungepewa jukumu hili! kuliko huu mpya mliouweka hapa karibu na msikiti na kuupa hii roaming sevice!
naomba kuwasilisha!
Habari Edson Ndile tafadhali tutumie taarifa PM zikihusisha namba unayotumia na sample ya namba ambazo zikikutumia ujumbe unachelewa kufika.Voda huduma Zime dolora a mtu anatuma SMS inakaa zaidi ya masaa 3 had 4 au anakupigia sipatkani imekuwa kero. Kama kuna uwezekano ongezen booster za mtandao ili kupunguza msongamano (network jam)
Pole sana Sonia G, tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Pole mkuu.Jamani nyie vodacom mmenikera na mnaendelea kunikera kwa kunikata hela za hivyo vichwa vya habari vya nipashe nimewapigia zaidi ya mara sita mnaahidi kutoa ila hamtoi nmeweka vocha sijaitumia ila sahivi imebaki nusu afu hao customer care wenu kila anayepokea Ananipa maelekezo yake mnanichefu kesho nikiamka salama hilo vumbi nitalowawashia mtajuta
Habari Mandingo, ingia hapa kuona vifurushi vyetu vya Uhuru wa Kweli vyenye data pekee. Pia unaweza kujiunga na vifurushi hivi vinavyokupa SMS kibao https://www.vodacom.co.tz/productsandservices/prepaid/cheka_bombastikJamani vodacom mimi kama mteja wenu naomba mtuwekee kifurushi kipya cha mb na sms tu kwa sisi tunaoshinda mtandaoni. Hatuna mda wa kupiga cm. Mtujali tafadhari.
Ahsante kwa marejesho Bakari, tutayazingatia.Wajanja night irudi 4gb itakua poa sana halafu gharama za.vifurushi kwenda mitandao yote mmepungza dk na bando sio poa wala nini bora mngeacha vilevile au mngeshusha mitandao mingine isingewakamata daima..
Habari Shigella, ahsante kwa mrejesho wako na tutazingatia masuala haya. Tungependa kujua lini ulipata tatizo la wizi wa dakika tuweze kusaidiana. AhsanteKwakweli mtandao mkubwa kama Vodacom inasikitisha na kuaibisha pale inapoweka swala usanii ndani ufanisi wao wa kazi, nikianza na dk za cheka kuna usanii mtupu unaoendelea hapo ndani mpaka uwizi wa dk, mbili mkijua mnahitaji wateja wengi boresheni huduma zenu yaani network kwani hapo kuna kero kubwa sana ktk hilo, internet yenu ni tatizo kubwa ipo slow sana sana, namalizia na wafanyazi ndani ya kampuni sio wote ila wengi wao wanafanya kazi kama wana hisa ndani, wanafanya kwa ulegevu na kuangalia watu kama nyanya mbichi alimradi kakaa ktk kiti cha huduma jirekebisheni. Vodacom bado kazi ipo
Habari Joseph, kifurushi chetu cha mwezi kinapatikana kwa Tsh 20,000 tu na unatumia bila mpaka, pia kuna vifurushi vingine vya mwezi na wiki kulingana na mahitaji ya mteja. Bofya hapa tafadhali https://www.vodacom.co.tz/internetservices/prepaidpackages/internet_bombastikMe naomba kuuliza Kwann vifurushi vyenu vya siku vinashinda vya mwezi (mb)