Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Jamani vodacom mimi kama mteja wenu naomba mtuwekee kifurushi kipya cha mb na sms tu kwa sisi tunaoshinda mtandaoni. Hatuna mda wa kupiga cm. Mtujali tafadhari.

See my claim of 09/10/2014, #1645 page 165/170 and 168/170 with reply

Hi dear customer, the above quoted post ranks number 1645, kindly let us know the problem you are facing.
 
Pole sana, tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi. Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Mlinitaka niwa PM namba kadhaa kwa tatizo ninaloripoti Mara kwa Mara but hakuna hatua iliyofuata baada ya hapo, hivi tatizo ni nini? tutafutieni ufumbuzi wa tatizo hili ni serious tatizo! au kama kuna njia nyingine ya kuripoti tatizo nijuzeni nifuate hatua hizo kuliko shida zinazoendelea! au mmezidiwa tupungue!, najitahidi kila namna kuripoti lakini halifanyiwi kazi hamuamini? tumeni watu waje waone, mpaka Moderm yenu nilishaacha kutumia!! Mtandao ni shida sana tusaidieni!
 
Hao jamaa wa mlimani city hasa wanaohusika na data ni matapeli wa hawajui kilichowaweka pale bora wasiwepo hawana msaada wowote wanakula mshahara bure
 
Vodacom acheni 'upumbavu', na wizi wa kila siku!

Mtu umejiunga na vifurushi vya intaneti, sms na dakika za maongezi, kisha unaweka salio halafu in less than 3hrs unaambiwa akaunti yako ina Tsh 0?!!!!

Mf. jana nilikuwa nina unlimited internet bundle of 24hs(of which i subscribed jana jioni). Leo asubuhi(19/10/2014) muda wa saa tatu nimeongeza salio la 5,000Tshs nikajiunga na kifurushi cha Tsh 899 kikiwa na muda wa maongezi(mitandao yote), sms na internet bundle. Toka nijiunge na kifurushi hicho nimepiga simu moja ya dakika moja na sekunde sita(Vodacom to Vodacom). Lakini muda wa saa tano na dk 50 (1150Hrs). nikajikuta nikiambiwa salio langu ni Tsh 0.

Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja nikaambiwa na mhudumu(JINA NINALO), hakuna maelezo yeyote katika system jipige baada ya saa moja na nusu.Ambapo most likely nitakutana na mhudumu mwingine kumweleza tatizo lile lile tena.

Nahitaji Kurudishiwa fedha yangu NILIYODHULUMIWA.Then muache tabia za kijinga.
-Kama ni PM, Kuongea na huyo mhudumu nimekwishafuata utaratibu wote.
 
Hao jamaa wa mlimani city hasa wanaohusika na data ni matapeli wa hawajui kilichowaweka pale bora wasiwepo hawana msaada wowote wanakula mshahara bure

Mkuu mimi nimeomba msaada, naambiwa tutafute tena baada ya saa moja na nusu!Sasa unajiuliza ndani ya muda huu yeye kama mhudumu anafanya nini? Mimi kama mteja anategemea niendelee ku_hold shida yangu kwa saa moja na nusu zaidi? Muda huo niwe ninafanya nini?

Hii tabia inakera na inakera sana.
 
Vodacom acheni 'upumbavu', na wizi wa kila siku!

Mtu umejiunga na vifurushi vya intaneti, sms na dakika za maongezi, kisha unaweka salio halafu in less than 3hrs unaambiwa akaunti yako ina Tsh 0?!!!!

Mf. jana nilikuwa nina unlimited internet bundle of 24hs(of which i subscribed jana jioni). Leo asubuhi(19/10/2014) muda wa saa tatu nimeongeza salio la 5,000Tshs nikajiunga na kifurushi cha Tsh 899 kikiwa na muda wa maongezi(mitandao yote), sms na internet bundle. Toka nijiunge na kifurushi hicho nimepiga simu moja ya dakika moja na sekunde sita(Vodacom to Vodacom). Lakini muda wa saa tano na dk 50 (1150Hrs). nikajikuta nikiambiwa salio langu ni Tsh 0.

Nimejaribu kupiga simu huduma kwa wateja nikaambiwa na mhudumu(JINA NINALO), hakuna maelezo yeyote katika system jipige baada ya saa moja na nusu.Ambapo most likely nitakutana na mhudumu mwingine kumweleza tatizo lile lile tena.

Nahitaji Kurudishiwa fedha yangu NILIYODHULUMIWA.Then muache tabia za kijinga.
-Kama ni PM, Kuongea na huyo mhudumu nimekwishafuata utaratibu wote.

Mimi kwa jinsi nisivyoshughulikiwa tatizo langu hata namba wakisema nitume PM situmi maana napata mashaka hata tunaowasiliana nao hapa jukwaani labda sio wenyewe VODACOM coz nilipopiga simu kutoa matatizo ya kukatwa kifulushi changu cha mwezi mzima bila kukitumia nikaambiwa naunganishwa na watu wa makao makuu na watanipigia muda si mrefu,sasa ni wiki sijapata call yao na pesa ya kifulushi wamebeba
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Mimi sina mengi sana nashukuru kwa kujitokeza hapa kwa nini niunganishwe na huduma ya mziki bila ridhaa yangu inauma sana
 
Mimi kwa jinsi nisivyoshughulikiwa tatizo langu hata namba wakisema nitume PM situmi maana napata mashaka hata tunaowasiliana nao hapa jukwaani labda sio wenyewe VODACOM coz nilipopiga simu kutoa matatizo ya kukatwa kifulushi changu cha mwezi mzima bila kukitumia nikaambiwa naunganishwa na watu wa makao makuu na watanipigia muda si mrefu,sasa ni wiki sijapata call yao na pesa ya kifulushi wamebeba

Mkuu, mimi ninashidwa kuelewa..ni kwamba
1. Hawajui?
2. Wanajua na kupuuza?
3. Kama wanajua na kupuuza, kwanini unafiki wa kuja kujiulizisha hapa na
kuleta thread ya kinafiki kana kwamba wanasaidia watu?
4. Wanaiba kwa maana wamefilisika?
5. Hawajafilisika ila wanakusanya(WANAIBA) kwa wateja wao kwa ajili ya
fedha za uchaguzi mwakani?
6. Wanaona hatuwezi kufanya lolote kwasababu wanahisi wana wateja wengi
kuliko Kampuni nyingine za simu au?
Mbona sehemu nyingine Vodacom Nigeria, Vodacom South Africa na hata jirani hapo Kenya hakuna usumbufu huu?
 
Kwa mawazo yangu nafikili kama sio mfumo wao wa mitambo kujichanganya na wao kupuuzia basi watakua wanakwiba mdogomdogo
 
Habari Shark pesa huwekwa katika akaunti maalum, endapo una ndugu yako akaunti imefutwa mshauri afike dukani kwetu na pia kama ni mrithi pia anaweza kufika dukani kwetu na vithibitisho akiwa na namba ya mteja kwa msaada zaidi.

Jana nimeweka hela Tshs 1,000 lakini nikashindwa kujiunga na kifurushi cha 800/=. Kuangalia salio lishabaki 700/= muda huo huo. Hii si haki kabisa, acheni hizo bana. Tukianzisha uzi hapa mtasema tumetmwa kuwachafua kumbe mnakera sana aisee.

Mtu unatoka kazini unapitia vocha dukani kisha unafika home unaweka haikubali< na dukani mbali huwezi kurudi tena,
 
Mkuu mimi nimeomba msaada, naambiwa tutafute tena baada ya saa moja na nusu!Sasa unajiuliza ndani ya muda huu yeye kama mhudumu anafanya nini? Mimi kama mteja anategemea niendelee ku_hold shida yangu kwa saa moja na nusu zaidi? Muda huo niwe ninafanya nini?

Hii tabia inakera na inakera sana.
That is poor customer service huwezi kama mhudumu umwache mteja ana hanging bila kujua what next vodacom jipangenii
 
Jana nimeweka hela Tshs 1,000 lakini nikashindwa kujiunga na kifurushi cha 800/=. Kuangalia salio lishabaki 700/= muda huo huo. Hii si haki kabisa, acheni hizo bana. Tukianzisha uzi hapa mtasema tumetmwa kuwachafua kumbe mnakera sana aisee.

Mtu unatoka kazini unapitia vocha dukani kisha unafika home unaweka haikubali< na dukani mbali huwezi kurudi tena,

Mkuu nafikiri huu ni utaratibu wa Vodacom. Miye mwenyewe tatizo hilo lipo kwangu yaani ukiongeza tu salio umeliwa...! Sasa hivi Voda naigopa kama ugonjwa wa ukoma.
 
Malalamiko yamezidi hadi wamekimbia. Kama wamezidiwa watuambiwe tupungue.
 
makambako njombe tatizo 1,internet iko chini kiasi kwamba unalord kitu usikimalizie

2,ikifika jion saa 11 hadi saa 3 ucyandao husumbua jumla hasa upande wa Call
 
Mkuu nafikiri huu ni utaratibu wa Vodacom. Miye mwenyewe tatizo hilo lipo kwangu yaani ukiongeza tu salio umeliwa...! Sasa hivi Voda naigopa kama ugonjwa wa ukoma.

Sijibu kwa niaba ya hao mlowaandikia ila nawapa elimu ndogo tu ya bure. Zima internet alafu weka vocha yako ukoshajiunga ndio washa internet.hakuna uchawi mwingine zaidi ya kufanya hivyo.vinginevyo mtalialia tu na hata wao wakiangalia kwenye mitambo yao watakua na majibu ya ushahidi kuwa hela imetumika kwenye internet. Anza kufanya hivyo leo alafu lete mrejesho hapa. Hata uende mtandao gani mambo ni yaleyale tu.Vinginevyo tumia kinokia cha tochi
 
VODACOM TANZANIA, kudadeki, kuna mdada hapa Vodashop ya Iringa, Zebra ya stand, anaitwa ANITA, mweupe ana bana nywele ana macho ya paka hivi, DADA ANA MAJIBU MABAYA, DHARAU, KIBURI na MAJIVUNO kudadeki sijawahi kuona.

Hivi hajui watu tuna haraka na shida, yeye anatoa majibu ya ****nya hapa. Aisee, tuheshimiane, if possible naomba SASA hivi mumwambie. Mwambieni NINJA alie kuja renew line, na wale wadada wawili na yule babu uliowajibu nyodo ndio wametoa taarifa. Aisee, mtandao mbovu, navumilia, sasa na huduma tena mbovu..... Aaaggghhh :banghead:
 
Hawa dawa yao ni kuanzisha kampeni ya Kuzikataa na kuzitupa hizi line zao ki chini chini.....subiri tu mi nishaliwa hela zangu na vifurushi ukiwapigia hamna cha maana wanachokujibu
 
Back
Top Bottom