Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Habari LORDVILLE ujumbe unaotoa taarifa kuwa kifurushi kimeisha hutumwa kwa mteja. Tufahamishe endapo hupokei ujumbe huo.

Ujumbe unatumwa baada ya kumaliza kifurushi na kula fedha ndio utaratibu wenu mnaboa sana mpaka now natumia tigo
 
Last edited by a moderator:
Jana nimeweka hela Tshs 1,000 lakini nikashindwa kujiunga na kifurushi cha 800/=. Kuangalia salio lishabaki 700/= muda huo huo. Hii si haki kabisa, acheni hizo bana. Tukianzisha uzi hapa mtasema tumetmwa kuwachafua kumbe mnakera sana aisee.

Mtu unatoka kazini unapitia vocha dukani kisha unafika home unaweka haikubali< na dukani mbali huwezi kurudi tena,

Mkuu hii kitu imenitesa sana ila off data connection weka vocha then on it lakin ukiweka bila Ku off ukawa eneo lenye3g network utaendelea kulalamika mkuu. Kuna baadhi ya app huwa zinaji update zenyewe .
 
Customer care wa Vodacom hawajui kitu kabisa mimi nishangombana na yule jamaa pale vodashop morogoro kwani hajui anachofanya kabisa yule pimbi
 
Nyie voda Wapuuzi simu yangu INA 1100 nimeshindw kununua internet bill kikomo eti Salio halitoshi mfuuu zenu
 
Kuanzia asubuhi hakuna huduma ya vifurushi. Pesa zote zilizokuwa ktk simu kama airtime wamekomba licha kwamba sijapiga wala kutumia internet. Hakuna hata tangazo kuwajulisha wateja nini kinaendelea.
 
Garama duhh ipo juu sana, punguzeni hasa za internet
 
Habari wana JF! Naombeni kuelekezwa namna ya kujitoa kwenye sms ninazotumiwa kwa namba 15369, zinatumwa kwa kurudiwa mara nyingi sana, sms 1 inatumwa mpaka mara 4 na inakula salio. Na kama hauna salio utakapoweka tu zinalamba pesa yote uloweka. Sitaki tena huduma hii.
 
Vodacom!!! Ni mtandao mkubwa sana,lakini nashindwa kupata katika ufahamu wangu wa akili. Ukubwa wa Vodacom ni upi? Kama upo,wanaweza kuhili ukubwa huo??
Tarehe 25/09/2014 nifika Makao makuu yao. Kujua utaratibu gan nifuate kwa ajili ya kuswap line Yangu iloyouzwa kinyamela na Wakala Mkuu 072481 kwa mtu nisie mjuwa.
Huyo mtumiaji wa Till Ya Frank John Ngowi akapgiwa simu tarehe hyo hyo atae fetha zake ifikapo tarehe 1/10/2041. Nikapeleka document zangu tarehe 6/10/2014 wakajirithisha nikaondoka zangu. Juzi nikapgiwa tena simu lete document zako orgnal wakati nishapeleka zaidi ya mara 2(hawana umakini). Kilicho nisikitisha zaidi Mwizi wangu mpaka tarehe 6 alikuwa hajatoa ela.
EMBU NISAIDIENI NYINY WENYE DHAMIRA YA KUTUSAIDIA.
Au nielekezeni kwa mkuu wa kitengo Maana line toka mwaka jana inafanya kazi kwa document zangu.

Habari, tafadhali tutumie taarifa zako zikihusisha majina uliyotumia kuomba uwakala PM. Pole sana
 
Hili limenikuta sahivi Mimi,halafu bando halikai hata kidogo,sidownload wala siruhusu back ground application kuoperate

Je mmeanZisha utaratibu wa kukata bando kwa dakika?
Habari Deo Corleone tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe unatumwa baada ya kumaliza kifurushi na kula fedha ndio utaratibu wenu mnaboa sana mpaka now natumia tigo

Customer care wa Vodacom hawajui kitu kabisa mimi nishangombana na yule jamaa pale vodashop morogoro kwani hajui anachofanya kabisa yule pimbi
Pole sana, tungependa utusaidie namba ya simu tuweze kusaidiana hili mkuu service
 
Last edited by a moderator:
Habari wana JF! Naombeni kuelekezwa namna ya kujitoa kwenye sms ninazotumiwa kwa namba 15369, zinatumwa kwa kurudiwa mara nyingi sana, sms 1 inatumwa mpaka mara 4 na inakula salio. Na kama hauna salio utakapoweka tu zinalamba pesa yote uloweka. Sitaki tena huduma hii.

Habari BatteryLow tafadhali andika neno ONDOA kisha tuma kwenda namba 15369. Pole
 
Last edited by a moderator:
Nyie voda Wapuuzi simu yangu INA 1100 nimeshindw kununua internet bill kikomo eti Salio halitoshi mfuuu zenu

Halafu me mbona nanunua vifurushi vinakataaa kuna tatizo gani?

Kuanzia asubuhi hakuna huduma ya vifurushi. Pesa zote zilizokuwa ktk simu kama airtime wamekomba licha kwamba sijapiga wala kutumia internet. Hakuna hata tangazo kuwajulisha wateja nini kinaendelea.
Poleni sana na tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
kwanini mtu ukikosea kutuma m.pesa kwenda mitandao mingine kama vile tigo.inakuwa vigumu kurejeshewa pesa na pia unaongea na mhudumu anakuambia eti sio mtandao wetu huu!mimi napendekeza ni bora angalieni namna ya kuwasadia wateja wenu pale inapotokea suala hilo.
 
Mtandao wenu hapa Kinyerezi upo chini sana, kupiga simu ni kwa shida, internet ndio kabisa huwezi kufanya chochote. Njoni mshuhudie wenyewe kwani nimekuwa natoa taarifa hizi mpaka nimechoka sasa imebidi niwahame. Ukiwa Kinyerezi mwisho ukielekea kaskazini mashariki kilometa 1 tu unapoteza mawasiliano. Kwanini msijenge mnara eneo hili? Kitu gani kinawashinda, mbona tigo, airtel wote wana minara eneo hili. Chukueni hatua, mnapoteza sana wateja eneo hili
 
Hili la VODA KUKATAA kuweka bando ya SH 1000 (INTERNET BILA KIKOMO) WAKATI HIYO PESA IMO INASHANGAZA KWELI
 
kwanini mtu ukikosea kutuma m.pesa kwenda mitandao mingine kama vile tigo.inakuwa vigumu kurejeshewa pesa na pia unaongea na mhudumu anakuambia eti sio mtandao wetu huu!mimi napendekeza ni bora angalieni namna ya kuwasadia wateja wenu pale inapotokea suala hilo.
Habari Japhet, hakuna ugumu wowote katika kurudisha pesa iliyokosewa endapo utapiga simu huduma kwa wateja muda mfupi baada ya kukosea kabla aliyepokea pesa hajaitoa.
 
Back
Top Bottom