Vodacom!!! Ni mtandao mkubwa sana,lakini nashindwa kupata katika ufahamu wangu wa akili. Ukubwa wa Vodacom ni upi? Kama upo,wanaweza kuhili ukubwa huo??
Tarehe 25/09/2014 nifika Makao makuu yao. Kujua utaratibu gan nifuate kwa ajili ya kuswap line Yangu iloyouzwa kinyamela na Wakala Mkuu 072481 kwa mtu nisie mjuwa.
Huyo mtumiaji wa Till Ya Frank John Ngowi akapgiwa simu tarehe hyo hyo atae fetha zake ifikapo tarehe 1/10/2041. Nikapeleka document zangu tarehe 6/10/2014 wakajirithisha nikaondoka zangu. Juzi nikapgiwa tena simu lete document zako orgnal wakati nishapeleka zaidi ya mara 2(hawana umakini). Kilicho nisikitisha zaidi Mwizi wangu mpaka tarehe 6 alikuwa hajatoa ela.
EMBU NISAIDIENI NYINY WENYE DHAMIRA YA KUTUSAIDIA.
Au nielekezeni kwa mkuu wa kitengo Maana line toka mwaka jana inafanya kazi kwa document zangu.