Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni au taassisi yoyotee hata ukoloni ulipo kaa kwa muda mrefu na kupata mafanikioo zinajisaau ndo matokeo yakee mfano mzuli NSSF walikuwa na wateja weeeengi mwisho wakavulunda watu wakasepa,pia NMB hivyoo hivoo
CHAMSINGI VODA MBADILIKE MAPEMA
LA SIVYO MTAPOTEZA WATEJAA SOON
Pole sana mkuu, nilihangaika na vodacom nikieleza matatizo yao haya ya wizi lakini kuna kipindi watu walichukulia utani hapa jamvini, leo nina takribani miezi mitano toka kuwahama na haijatokea siku yeyote niliyojuta.
Wiki iliyopita wameifunga line yao baada ya kubakiza Tsh 4.12 takribani kwa miezi mitano.
Karibu Airtel.
Mkuu ni kweli Airtel wamepandisha gharama, pengine baada ya kuona watu wengi wanahamia huko(kutafuta faida), lakini kwa gharama za vifurushi ni bora kubaki Airtel.
Mkuu, binafsi kuhamia airtel issue haikuwa vifurushi tu lakini wizi uliokithiri wa vodacom, wengi wetu tumetumia simu hizi na mitandao toka enzi kabla hata ya vifurushi kuja kwenye miaka michache iliyopita, na hakukuwa na lawama/malalamiko ila shida inakuja unaooweka salio/vocha na bila hata ya kuitumia inakwisha hapo ndipo pasipo na majibu.