Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kampuni au taassisi yoyotee hata ukoloni ulipo kaa kwa muda mrefu na kupata mafanikioo zinajisaau ndo matokeo yakee mfano mzuli NSSF walikuwa na wateja weeeengi mwisho wakavulunda watu wakasepa,pia NMB hivyoo hivoo
CHAMSINGI VODA MBADILIKE MAPEMA
LA SIVYO MTAPOTEZA WATEJAA SOON
 
Kampuni au taassisi yoyotee hata ukoloni ulipo kaa kwa muda mrefu na kupata mafanikioo zinajisaau ndo matokeo yakee mfano mzuli NSSF walikuwa na wateja weeeengi mwisho wakavulunda watu wakasepa,pia NMB hivyoo hivoo
CHAMSINGI VODA MBADILIKE MAPEMA
LA SIVYO MTAPOTEZA WATEJAA SOON

Hakuna pa kukimbilia, hii ni mitandao yote. Airtel nao wameingia kwenye hii game leo.
 
Au kuna hujuma ndani ya uongozi kwamba wapo viongozi walioingia kwa nia ya kuiua vodacom? Maana haya ni mawazo ya kijinga kwa wakati huu na aliyeyatoa na kushawishi lazima ni kiongozi ndani ya Vodacom. Wachunguzane wenyewe, au hii ni namna ya kufidia zile vocher fake?
 
Pole sana mkuu, nilihangaika na vodacom nikieleza matatizo yao haya ya wizi lakini kuna kipindi watu walichukulia utani hapa jamvini, leo nina takribani miezi mitano toka kuwahama na haijatokea siku yeyote niliyojuta.

Wiki iliyopita wameifunga line yao baada ya kubakiza Tsh 4.12 takribani kwa miezi mitano.

Karibu Airtel.

washenz sana hawa voda leo ndio nmeiweka artel yangu nmeweka buku tu nmepewa mb 300 msg 1000 na dk30. Sasa niyagande haya majizi voda ya nn? Wakafie mbali huko
 
Mkuu ni kweli Airtel wamepandisha gharama, pengine baada ya kuona watu wengi wanahamia huko(kutafuta faida), lakini kwa gharama za vifurushi ni bora kubaki Airtel.

Mkuu, binafsi kuhamia airtel issue haikuwa vifurushi tu lakini wizi uliokithiri wa vodacom, wengi wetu tumetumia simu hizi na mitandao toka enzi kabla hata ya vifurushi kuja kwenye miaka michache iliyopita, na hakukuwa na lawama/malalamiko ila shida inakuja unaooweka salio/vocha na bila hata ya kuitumia inakwisha hapo ndipo pasipo na majibu.

hawa voda wezi mno juzi kati nilimtumia hela kwa M pesa ndg yangu aliyeko kijijin lakn cha ajabu kila akienda kutoa wanamtumia msg kuwa akaunt yako haina hela. Ile hela ilikaa karibia wiki nzma haitoki itabid ndg yangu akanipigia simu kuwa kila nikitoa wanasema hakuna hela uzuri mm sikufuta msg nikawapandia hewan wakaanza kunambia huku inaonesha hela imetolewa . Aisee! Wakanipandisha hasira nikaenda kwenye ofisi zao nikawawakia kweli wakaanza hela ipo lakn imepungua kwasababu kila alivyokuwa anajaribu kuitoa ilikuwa inakatwa. Nikawaambia msiniletee ujinga mtakataje hela wakat muamala haujakamilika ikabidi wairudishe kwangu tena.

Hawa voda sijui kampuni ya ccm
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda
 
Me nahama sasa hivi nahamia zantel hivi inakuwaje mtu upandishe bei then ushushe bundle na dk....bora wangeziaacha palepale
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda... Ivi wana akili timamu?😡
 
Viwango mlivyoweka Vodacom kwa sasa ni vya kipuuzi kuliko kawaida. Mb 60 nazifanyia nini? Acheni kutuibia. Hii ni namna ya kurudisha faida kwenye promotion mnayoendelea nayo, we are not that stupid. Rudisheni viwango vya zamani otherwise you will loose. Kwa sasa Airtel are far better than you. Acheni upuuzi.!!
 
Hawa Jamaa ni Washenzi Sana.

Hivi inawezekanaje 500 na 1000 Upate kiwango sawa cha MB???.
 
Back
Top Bottom