Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Jamani customer care Vodacom wana matatizo gani? Hawapatikani ..nimetumia vodacom kwa miaka mingi lakini sasa naona nashindwa.
 
Vodacom mmenisajili special number halafu sikufanikiwa ku activate hyo number ndani ya masaa 24 mkampa mtu Mwingine hlo halina tatizo

Shida inakuja mmempa huyo mtu Mwingine number na anaitumia ikiwa na majina yangu na nimesajili kwa kitambulisho changu Cha taifa
Nimewafuatilia Basi muondoe Hilo jina langu mnanizungushaaaa

Shida Ni Nini?na huyo anakiri kuwa anatumia namba yenye jina langu na hate Mpesa hawez kutumia kwa sababu mm nduo mwenye pass word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda polisi maana jamaa anaweza akafanya uhalifu huko utaenda kuungana na akina Seth na Rugemarila pale Segerea.
Shauri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wenzenu wanatoa fb bure na picha juu kwa mb 50 every. Day for everyone so why don't you offers us the same like your mate company?

Ntawagunya tena kama nilivyofanya mwaka 2001 try to take my advice
 
NYIE VODA fanyeni tupige mitandao yote kwa gharama ileile tufurahie yajayo na tuko tayari
 
Nilikuwa kwenye harakati za kununua salio, sasa badala ya kuandika 3,500 (elfu tatu mia tano) nikaandika 35,000 (elfu thelathini na tano). Na hofu yangu kubwa ni kuwa hii hela italiwa muda wowote....maana yaweza kuwa kifurushi kimeisha wakaanza kukata kwenye salio bila kujua..matokeo yake nitakuja kukuta salio ni sifuri.

Na nina kazi nyingine na hii pesa, siwezi kutumia pesa yote hiyo kwenye simu.
 
ah ah acha kupanick mzee ..watu walinunua kifurushi cha million...nenda *150*01# nenda 11 halafu nenda 7 hapo utazuia bando lisikatwe hata kama internet ipo on..utanunua vufurushi vya 3500 mara 10
 
Back
Top Bottom