Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nilikua naipenda voda Sana.Juzi niliweka muda wa maongezi 2000 na sikujiunga na kuamka ipo 1300.Nikitaka kufanya huduma za Mobile kiganjani ati uweke salio na wakati Airtel ni free.Daah piga chini !!!!!,View attachment 1371003

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulipoanza Kuutumia Mtandao wa Vodacom ulituambia ( ulitushirikisha ) hadi leo hii unauhama rasmi ndiyo unatushirikisha hivi?
 
Ungehama tu kimya kimya,umuhimu wa kuanzisha uzi haukuwepo
Tunayaona mambo kwa mitazamo tofauti. Linaweza kuwa duni kwa mtu mmoja likawa na maana kubwa kwa mtu mwingine.

Ni vyema kila mmoja kuheshimu maoni ya mwenzie, hayupo mwenye mawazo bora zaidi ya mwingine.

Alisikika manager masoko voda
 
Vodacom now nawashitaki mahakamani kwanini umeniibia salio langu LA simu Mara kadhaa Kwa kuniunga kwenye huduka ambazo sijawahi hata kufikiri kurequest nizitumie? Kama huu ushuzi mlio anzisha uitwao UNSUB?

Hakika mmezoea sasa tutakutana mahakamani Kwa fidia ....nimechoka na usumbufu huu

Vyuma vimekaza harafu hivi hivi mnanyakua visalio Kwa vihuduma vya ajabu ajabu.....hivi Mimi MZEE wa miaka 47 UNSUB ya nini? Harafu ndiyo nini? Hata maelekezo hakun...

Nandaa malalamiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vodacom now nawashitaki mahakamani kwanini umeniibia salio langu LA simu Mara kadhaa Kwa kuniunga kwenye huduka ambazo sijawahi hata kufikiri kurequest nizitumie? Kama huu ushuzi mlio anzisha uitwao UNSUB?

Hakika mmezoea sasa tutakutana mahakamani Kwa fidia ....nimechoka na usumbufu huu

Vyuma vimekaza harafu hivi hivi mnanyakua visalio Kwa vihuduma vya ajabu ajabu.....hivi Mimi MZEE wa miaka 47 UNSUB ya nini? Harafu ndiyo nini? Hata maelekezo hakun...

Nandaa malalamiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mzee
 
Tarehe 24/02/2020 niliamisha pesa kutoka M-Pesa kwenda kwenye M-Pesa MasterCard ili niweze kufanya malipo kiasi Cha TZS 35,000/= lakini akikuweka kwenye M-Pesa MasterCard na pesa ilikatwa katika account yangu ya M-PESA. Nikawasiliana nao mara ya kwanza wakanipa pending paka masaa 72 itakuwa tayari, yakasisha hakuna matokeo, nitawasiliana nao Tena wakaniweka pending paka Masaa Tena 72 hakuna matokeo nitawasiliana nao mara tena nikawaambia basi wasitishe huo muamala tu pesa iludishwe kwenye account yangu ya Mpesa wakasema hiyo haiwezakani. Wakanambia tena nisubiri tena masaa 72.

Yamekamilika leo paka sasa hakuna Pesa iliyowekwa kwenye M-Pesa MasterCard au kurudishwa kwenye account yangu ya M-Pesa.

Je, kuna mwanaJF ambaye alishakutana na changamoto kama hii na alifanyaje tushee kidogo mawazo juu ya hili. Mpaka nimeshapoteza imani sasa ya kutumia M-Pesa MasterCard. Bora kutumia card za bank. Sijawahi pata upuuzi kama huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hata mimi imenitokea mara kadhaa na juhudi za kuongea na customer care hazikuzaa matunda sasa nimeachana nao.
Hapo Vodacom Tanzania namba ya huduma kwa wateja ni majanga, wanataka mufanye mawasiliano kwa mitandao ya kijamii au kuna menu chache za sauti ambazo kuna matatizo kibao hayapo kwenye category za menu zao, sasa ilitakiwa uongee na mhudumu moja kwa moja haupati nafasi hiyo.

Nabaki najiuliza hawa vodacom hawajui kuna watu wengi wapo vijijini na vitochi hawawezi kutumia hiyo mitandao ya kijamii.
Na kuna wengine wanapiga simu huku wanaendesha gari (wamevaa head set au wanatumia hands free mode), kutokana na mazingira hayo hawawezi ku-chat huko kwenye mitandao ya kijamii.

Sijui hapo Vodacom kaingia kiongozi mbongo au wamejaa wabongo vitengo vyote?
 
Vodacom mna shida gani?Huku kasulu niliko hakuna intanet siku ya 4,inaonekana E tu!Nini kinaendelea?
 
Huduma kwa wateja kwa kupitia namba 100 ipo ovyo kweli. Haitupatii kile mteje unaitaji au kutarajia unapopiga. Maelezo na maelekezo hayatoshelezi kutatua shida tulizo nazo, iki mlicho fanya sio uboreshaji ni kuaribu.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Ahsanteni kwa hii PAGE. Kuna wizi sasa hivi umejitokeza kwa MAWALA WA M-PESA. Sasa sijui na wao wanajua hama lah! Jana kuna ndugu yangu kaenda kwa WAKALA kutoa pesa, akaomba namba ya WAKALA akapewa na yule WAKALA, Baada ya kuingiza Namba ya WAKALA na kufanya utaratibu wote wa kutoa pesa, jina likaja la yule WAKALA. Ndugubyangu akamuuliza WAKALA kuwa jina lako unaitwa ERICK KIMALIO? WAKALA akajibu ndiyo. Na ndo jina lake.

Baada ya hapo akathibitisha kutoa pesa. Ila tu baada ya kuthibitisha jina likaja jingine na Namba ya WAKALA nyingine na siyo ya yule ERICK KIMALIO.

Tumeangaika sana kuwapigia simu ila ikashindika kupata msaada. Kuna mda tulipiga simu kwa kutumia Simu yangu, Dada mmoja muhudumu wa VODACOM akatuambia tumsomee Namba ya risiti ya Muamala aliyofanya, tukamsomea akasema kuwa huo Muhamala haupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumechoka kulalamika kila siku, maoni yetu na ushauri wetu haufanyiwi kazi, ni kama mumetuchoka tuna hasira sana na iko siku tutafanya maamuzi magumu
Nyie mnaojiita watumishi wa vodacom nashindwa kuelewa hizi mb mnazotoa kwa ajili ya facebook mnamaanisha nn.Sababu ukiangalia mb zenyewe zinatumika kwa speed ya 2G inakuwa haina maana,ni wizi na utapeli tu huo.

Ukiangalia vifurishi vyenu navyo saiv ni wizi wa mchana kweupe,kwa sababu huwezi kunipa kifurushi cha siku halafu ndani ya masaa mawili eti mb zimeisha ma wakati huo labda umeingia google kuangalia rate za dola.Jaribuni kuangalia na kufikiria gharama za maisha ya mnaowahudumia ambao ni wateja wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaifahamu hii voda
Screenshot_20200326-125157_Samsung%20Internet.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom