Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hata M pesa nako wizi mtupu nilikopa m pawa 15.000/= ilinibidi nilipe ndani ya mwezi nikachelewa kulipa ...nikatumiwa pesa 150.000/= nikaamuwa Ngoja nipunguze deni nikatoka 10.000 kwenye mpesa nikatia kwenye m pawa nikalia deni....kilichofuata wamepokea 10.000 niliyolipa kwa hiyari ukaenda na kwenye mpesa wakalamba ten....sasa piga huduma kwa wateja haupati option ya kuongea na mtoa huduma...
Vodacom, hivi designer wa matangazo yenu ya sms mnazotutumia ni nani? ,mnaandika vitu vingine very nonesense hadi mnakera! kuna li sms mnalituma kila siku asubuhi limeandikwa "SHANGWE SHANGWENA" Ni nini hiki? mnakera na sms zenu za matangazo za hovyo hovyo, mnadhani wateja wenu wote ni wanafunzi wa sekondari au? nyie mnakera sana,,,nimebaki kuwa mteja wa MPESA tu kutokana na kua nafanya kazi sehemu ambayo wanatumia kampuni yenu kulipitisha miamala otherwise, i dont recomend mtu anunue sim card yenu!
 
Naomba mnikumbushe namba za kupiga ili kujiunga na bando lolote, nimesahau baada ya kukaa muda mrefu pasipo kutumia line ya Voda ila leo nimerudi baada ya kusajiri line yangu
 
Mdogo wangu ameibiwa sim jana saa 12 jioni akablock namba jana hiyo hiyo leo anakwenda kurenew namba anaambiwa salio lilishahama tangu saa 10:09.

Muda huu alikuwa na sim yake. sasa tunashindwa kujua hela alioa nani..... any one can help? na ni hela nyingi sana...

Msaada tafadhali
 
kwanini mnakuwa wezi namna hiii????? why??? yani unaweka airtime ya 500 sh halafu baada ya masaa hamna kitu wakati umetuma message moja tu kwanini lakini? Thanks God it is not my hotline.....
 
Inaonyesha kwenye huu uzi hakuna mhusika wa Vodacom, mbona malalamiko na maswali yetu hayapati majibu kwa wakati?
 
Wezi hawa, hawawezi kuja kujibu kwasababu wanatambua wizi wao.. Kuna katabia siku hizi wanakuunga kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, then unakuta wanakata salio bila taarifa. Na kuwapigia sasa huduma kwa wateja ni mlolongo
 
Vodacom siku hizi hawataki kuongea na mteja kwenye namba yenu ya huduma kwa wateja mtoa maelezo mnakata mbona mitandao mingine tuna ongea na wa mfanya kazi
 
Nilipokuwa dar na sehemu zinginezo vifurushi vilikuwa sawa nimefika tanga vifurushi havifai hata kuviangalia mna Mitzi miwili sijajiunga hebu mrekebishe basi
 
Wezi hawa, hawawezi kuja kujibu kwasababu wanatambua wizi wao.. Kuna katabia siku hizi wanakuunga kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, then unakuta wanakata salio bila taarifa. Na kuwapigia sasa huduma kwa wateja ni mlolongo
Ni kweli kabisa ndugu
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Me nina wazo; Mnaonaje kama mngeboresha kweye facebook lite mkaweka angalau picha za bure ata wale ambao hawana bando wakajihisi kufurahia huduma zenu. Ni hilo tu naomba kuwasilisha
 
Vodacom mnachukua hatuna gani kuhakikisha kuwa hisa zenu huko DSE zinavutia wanunuzi? Mimi nina hisa zenu nataka kuuza Brokers wanasema haziuziki!!!
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Tatizo langu n kwenye vifurshi, kipengele cha DAR SUPA UNI ambapo Kuna baadhi ya laini hazina kifurushi kile Cha 1000 Bali kina 500 na 3000 nn sababu
 
hivi nyinyi voda mbona mna kiburi sana? makamu wa Rais ameshawapa maelekezo kwanini hamtekelezi, hivi vimesegi vyenu vinatukera yani kwa siku mnanijazia inbox yangu na mapromotion yenu kitoto kwanini lakini?

Makamu wa Rais amewashauri vizuri lakini mna mpuuza, nawapa siku 7 kama mkiendelea hivi sina budi kutupa choooni kisimcard chena, hakuna kubembelezana hapa dengelek.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Hivi nyie Vodacom mnashindwa kutuma sms moja tu baada ya kuuliza salio?
Sioni sababu ya kutuma sms nyingi baada ya mteja kuuliza salio,hao wataalamu wenu wanajishushia heshima kwa vitu kama hivyo mnaonekana vilaza tu.

Kingine unakita mteja anapokea sms zile zile za matangazo yenu yasiyo na maana kila siku wakati mtandao wenyewe umeshakuwa wa kitapeli,mlichobakiza ni kuiba masalio ya wateja wenu tu wakati huduma zenyewe ni poor.

Ndio maana wateja hawaishi kuwahama kila siku kwa sababu ya mnayowafanyia..
Badilikeni,hata hamjishtukii kwa mnayowafanyia wateja wenu.
 
Back
Top Bottom