Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 149
Huduma za mindandao bado
Ni shida si voda tu
Ni shida si voda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vodacom, hivi designer wa matangazo yenu ya sms mnazotutumia ni nani? ,mnaandika vitu vingine very nonesense hadi mnakera! kuna li sms mnalituma kila siku asubuhi limeandikwa "SHANGWE SHANGWENA" Ni nini hiki? mnakera na sms zenu za matangazo za hovyo hovyo, mnadhani wateja wenu wote ni wanafunzi wa sekondari au? nyie mnakera sana,,,nimebaki kuwa mteja wa MPESA tu kutokana na kua nafanya kazi sehemu ambayo wanatumia kampuni yenu kulipitisha miamala otherwise, i dont recomend mtu anunue sim card yenu!
Wezi hawa, hawawezi kuja kujibu kwasababu wanatambua wizi wao.. Kuna katabia siku hizi wanakuunga kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, then unakuta wanakata salio bila taarifa. Na kuwapigia sasa huduma kwa wateja ni mlolongoInaonyesha kwenye huu uzi hakuna mhusika wa Vodacom, mbona malalamiko na maswali yetu hayapati majibu kwa wakati?
Ni kweli kabisa nduguWezi hawa, hawawezi kuja kujibu kwasababu wanatambua wizi wao.. Kuna katabia siku hizi wanakuunga kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, then unakuta wanakata salio bila taarifa. Na kuwapigia sasa huduma kwa wateja ni mlolongo
Wanajua mishe zao, ndo maana hawana cha kujibu.Inaonyesha kwenye huu uzi hakuna mhusika wa Vodacom, mbona malalamiko na maswali yetu hayapati majibu kwa wakati?
Me nina wazo; Mnaonaje kama mngeboresha kweye facebook lite mkaweka angalau picha za bure ata wale ambao hawana bando wakajihisi kufurahia huduma zenu. Ni hilo tu naomba kuwasilishaNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Ndugu mteja,

Tatizo langu n kwenye vifurshi, kipengele cha DAR SUPA UNI ambapo Kuna baadhi ya laini hazina kifurushi kile Cha 1000 Bali kina 500 na 3000 nn sababuNdugu mteja,