Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mpawa imekuwaje anaingilia kukata pesa kwenye mpesa bila kutoa taarifa kwa sms kama amekataIpo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpawa imekuwaje anaingilia kukata pesa kwenye mpesa bila kutoa taarifa kwa sms kama amekataIpo mkuu.
Call 100Mpawa imekuwaje anaingilia kukata pesa kwenye mpesa bila kutoa taarifa kwa sms kama amekata
Daah wamefikia hapo, nadhani na mm wananivutia nguvu mana mpawa wananidai 48k tangu 2020Mpawa imekuwaje anaingilia kukata pesa kwenye mpesa bila kutoa taarifa kwa sms kama amekata
Sidhani kama mko serious na kuboresha huduma zenu. Nitakuwa mpole kurudia hoja zilizosemwa na watu wengi hapa:
1. Gharama zenu za bandle za internet ni kubwa sana - japo serikali ilisema mtazishusha mmekataa. Kmf. recently mlikuwa na bandle ya 'Ya Kwako tu' kwa siku ilikuwa 1024 MB kwa Tsh. 1000 lakini sasa ni elfu 2. elfu moja unaweza kupata MB 400 tu. that is a dramatic change.
2. Bandle zenu zinaisha haraka sana as if kuna mtu Vodacom anafanya kazi ya kuzipunguza. Jana niliweka bandle ya 2000 (1000 MB) ziliisha within 30 min. na nilikuwa siangalii movie bali news za kawaida tu za internet na video chache sana na fupi za youtube.
Watu wanaposema watahama hawatanii. Kwa mfano mimi nimedhamiria kwa dhati kuacha huduma zenu za internet. Unfortunately natumia 3G Vodafone smart tablet inayotumia line yenu tu. Nadhani kwa vile mna wateja wengi kama mimi na wengine mnadhani hakuna shida. Lakini bila shaka mtapoteza income na kibiashara sio healthy kujiamini that much! Mimi natafuta modem ya Airtel au TTCL (whatever cheaper network) ili niachane na nyinyi.
Umejaribu kulinganisha kiasi cha data MB/GB kilichopimwa na kifaa chako kikawa ni tofauti na kile kinachopimwa na Airtel/Vodacom?Nilikuwa natumia Airtel kwenye internet ila sasa nililazimika kutumia Voda. Aise, matumizi ya Bundle VodaCom ni kama kuna namna isiyo ya kawaida. Zinakwenda kasi mno. Nilifanya majaribio. GB 3 Airtel na GB 3 Vodacom kwa matumizi yanayofanana na muda unaofanana, voda iliniishia haraka. Hapa nafikiria kutafuta Line ya Airtel ambayo nitaitumia kwenye Internet tu. Ulaji wa voda sio wa kawaida.
Nasemea sms za kawaida hawatumi na simu ipo hewani mda woteMkuu naomba niseme SMS zinatumwa. Ila kuna shida kwenye Push Sms kama haupo online msg huwa haijitunzi ili ije baadae.
Juzi niliweka hela Mpesa kwa Agent message ilirudi kwa agent haikurudi kwangu. Ninayo Mpesa app ikabidi niangalie kupitia App naona salio limesoma.
Toka juzi Hadi Leo sms haijaingia bado na sio Mara ya kwanza hata nikitumiwa hela mpaka niingie kwenye App ndo ntaona salio.
Vodacom acheni ushenziiiii
Lipo ila ndo halikai kabisa, yaani mauzauza [emoji2955][emoji2955]Vodacom mturudishie bundle letu la 1024MB kwa tshs1000 achen wizi bas
Vodacom takataka kabisa, yaani mtu anapiga simu from no where kunifungia huduma za mpesa na nyie mnakenua meno na visamvu vyenu kwenye meno mnaifunga kweli! Takataka