Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

CHAZA ni kweli alf10 parefu,
Je ni watanzania wangapi wanaibiwa kama hizo au chini ya hapo,hapo wanalindana wanajua nini wanafanya,hizi Kampuni za simu zimeshakuwa Bank sasa sijui BOT zimesajiliwa au vp na je wanatambu wizi unaoendelea kwenye haya Makampuni..
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mleta uzi haya masaibu yamenikuta sasa hivi, nimeweka kifurushi cha wiki cha 7,000 na nikaongeza 5000 juu sasa hivi salio ni Tsh. 0 kabisaaaa kama sio huu uzi nilikua naenda kununua Tshs. 20,000, ili nijiunge net ya mwezi mzima.

Sijui kama kilaptop changu leo kinakunywa sana net, ila na hao jamaa wa customer kero ni taabu kweli kweli wakiona unawauliza maswali magumu wanakakukatia simu!

Wale wa bluu niliwahama siku nyingiiii, hawa wekundu ndio hivyo tatizo la wale wekundu wa morroco tangazo lao ni la kinyanyasaji sana. bora nirudi TTCL tuu, liwalo na liwe
 
Mkuu sijapozwa wala nini, na mimi nimeambiwa jibu hilo ambalo sasa inaelekea ni standaed answer kwa fedha zinazopotelea mtandao wa VODACOM.
Kupoteza kiasi hicho cha pesa kwa saa tatu inaingia akili kweli,uongozi wa Voda unajua kuna mchezo mchafu kama huo tena kwa majibu mepesi..
 
Unajua voda ck hizi ni majanga, mie nilikuwa mteja wao mzr sn lkn ck hizi nimeikumbuka line yangu ya ai......el coz ya makato ya voda hasa bundle zao, ndo uzuri wa ushindani mmeishanipoteza na mtazidi kupoteza wateja wenu zaidi, na jamaa wameongeza mteja. Shauri yenu , inabidi mbadirike (voda).
 
Swali ni kwamba,pesa za wateja wa mpesa ziko salama kweli?
 
Mimi walikuwa wakinilamba kidogo kidodo, nilipogundua siku hizi naongeza salio la buku tu kwa ajili ya kufanya transaction za kibenki na mpesa tu.

Kuitumia kupiga ni mara chache sana, imekuwa ya kupokelea tu. Air tel yangu naitambulisha taratibu kwa ndugu na marafiki kabla ya kuhamia kabisa.
 
hawa vijana wa customer care cjui wanawaokota wapi. one tym laini yangu ya internet ili-expire nikawaendea kurenew.wananiambia niwape majina ma5 ya watu niliowasiliana nao.

wakanikomalia licha ya kuwaambia laini ni ya internet sio ya kuwasiliana na watu. wamejaza mburula watupu hawa jamaa.
 
hawa vijana wa customer care cjui wanawaokota wapi. one tym laini yangu ya internet ili-expire nikawaendea kurenew.wananiambia niwape majina ma5 ya watu niliowasiliana nao.wakanikomalia licha ya kuwaambia laini ni ya internet sio ya kuwasiliana na watu.
wamejaza mburula watupu hawa jamaa.

Ah ha ha ha ha....! Sasa mkamalizanaje?! Bora ungewapa majina ya watu watano ulio watumia Email au ungewapa tovuti tano unazo shughulika nazo mara kwa mara...!
 
Heheeeee nyie mlivyokua mnaiba kwa kutumia PD proxy hamkumbuki hata moja vilaza wakubwa

Hatuwezi kuhahalilisha ujambazi kwa kutumia ujambazi.....kama watu walikuwa wanaiba kw akutumia PD proxy, basi wachukuliwe hatua......lakini sio kwa njia ya kulazimishana (in this case KUIBA) gharama za service ambayo mteja hatumii/bila dhamira yake.......

Wala sio kubwa mkuu ni za kawaida kabisa

Mkuu kama unaelewa hizi gharama zinachajiwa vipi na Vodacom tusaidie tupate kuelewa.....how do these people charge your phone........huku niliko nikitaka matumizi ya internet kwenye simu yangu nanunua package ya mwezi na wala hii gharama haingiliani na pesa nitakazokuwa naweka kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mawasiliano ya simu....kwa hiyo najua kabisa how much nina-spend kwenye internet na how much kwenye mawasiliano ya simu....

...sasa kwa maelezo ya Lole Gwakisa....inaelekea yeye aliweka TShs 10K.....na baada ya muda imeisha bila ya yeye kujua imeishaje........watu wengine wanasema eti kwakuwa aliacha ON matumizi ya data!!!......kwanini hivi vitu visitenganishwe? ukiweka pesa yako kwenye simu hata iwe TShs 100K....iwe ni kwa matumizi ya mawasiliano ya simu.....na pale unapotaka kutumia internet unatuma ujumbe/code ili kununua package unayoitaka.......either kununua kupitia salio lako kwenye simu au kununua upya kabisa......

Kinachonishangaza ni kusikia huko bongo ukishaweka pesa yako kwenye simu tu.......ni lazima uhakikishe "eti data iwe OFF kwenye simu yako".....WHY?....hii ni kama kulazimisha gharama kwa mtu hata kama hatumii service yenyewe!......hence huu ni WIZI
 
Mimi nilifikili ni mimi tuu, kumbe niwengi wamekumbwa na masaibu hayo.
Ijumaa saa 22:47:23
Nilikua na salio 13,613.
Nilipiga simu kwenda No.nilio iunganisha My number 1 kwa muda wa dk 17: sec 23.
Nilipo angalia salio nilikuta 2,325.
Nijaribu kufuatilia bila mafanikio.
Uamuzi nilio chukua hizo 200x200 zangu nawanyima,
Tuone kama itakua bilioni tena!
 
Vodacom eeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Jamani mbadirike.

Unakuta mtu hio vocha yenyewe nimeungaunga, Alafu mnachukua kizembezembe namna hio!

Au ndo mshaanza kuakusanyia hao swaiba zenu Nyinyiem za kampeni?
Kama jibu ni ndio, basi punguzeni kasi mtatiuaaaaa!!!!
 
Hii mitandao wote ni wizi lakini voda ni kiwanda cha wizi. Kama ilivyo chadema kiwanda cha uongo.
 
Hatuwezi kuhahalilisha ujambazi kwa kutumia ujambazi.....kama watu walikuwa wanaiba kw akutumia PD proxy, basi wachukuliwe hatua......lakini sio kwa njia ya kulazimishana (in this case KUIBA) gharama za service ambayo mteja hatumii/bila dhamira yake.......

Mkuu kama unaelewa hizi gharama zinachajiwa vipi na Vodacom tusaidie tupate kuelewa.....how do these people charge your phone........huku niliko nikitaka matumizi ya internet kwenye simu yangu nanunua package ya mwezi na wala hii gharama haingiliani na pesa nitakazokuwa naweka kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mawasiliano ya simu....kwa hiyo najua kabisa how much nina-spend kwenye internet na how much kwenye mawasiliano ya simu....

...sasa kwa maelezo ya Lole Gwakisa....inaelekea yeye aliweka TShs 10K.....na baada ya muda imeisha bila ya yeye kujua imeishaje........watu wengine wanasema eti kwakuwa aliacha ON matumizi ya data!!!......kwanini hivi vitu visitenganishwe? ukiweka pesa yako kwenye simu hata iwe TShs 100K....iwe ni kwa matumizi ya mawasiliano ya simu.....na pale unapotaka kutumia internet unatuma ujumbe/code ili kununua package unayoitaka.......either kununua kupitia salio lako kwenye simu au kununua upya kabisa......

Kinachonishangaza ni kusikia huko bongo ukishaweka pesa yako kwenye simu tu.......ni lazima uhakikishe "eti data iwe OFF kwenye simu yako".....WHY?....hii ni kama kulazimisha gharama kwa mtu hata kama hatumii service yenyewe!......hence huu ni WIZI
Mkuu Ogah tatizo ambalo naliona hapa ni uaminifu wa wafanyakazi wa VODACOM katika kuhandle transactions za wateja.
Sioni kama tatizo la kuweko ON au OFF data aps na settings kama ndio source ya tatizo.
Hii mimi imenitokea kwa mara ya kwanza kabisa katika kutumia huduma za Voda, kwa salio LOTE kuliwa kwa mkupuo.

Kwamba data services ziko ON ni uongo mkubwa kwani toka jana nilipo lalamika niliweka hizo data settings ON na kucharge salio la Tshs 50,000 na matumizi ni ya kawaida kabisa, hii ikiwa na maana mwizi aidha amedhibitiwa au bado hana access na personal data za wateja.

Nimenote kuwa wizi wenyewe wa Tshs 20,000 ulifanyika tarehe 29/12/2013,jumapili mchana, most probably wakati ambao supervisors hawako kazini
Hapo hakuna lugha rahisi zaidi ya kusema kuna kirusi cha wizi ndani ya VODACOM.

Nimewasiliana na wafanyakazi zaidi ya watatu ndani ya VODACOM , ukiacha wale wa Customer Care, na wamenithibitishia kuwa huo wizi upo,licha ya Front Desk yao kukataa with a wooden face.
 
Uzembe wako mwenyewe afu wawalaumu voda, wakuibie wewe una nini cha kuibiwa

Mkuu ni beneficiary wa makato wanayokata nini...jamaa wanakera sana juzi nimeweka pesa nijiunge ikawa inagoma huku salio linazidi kuisha taratibu mpaka ikabaki zero sasa nimehamia airtel sina wasiwasi.
 
Back
Top Bottom