Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Thnx kwa kumuelimisha huyo kijana utakuta mtu anatumia smartphone ana app kibao kwny cm yake ame install na muda wote zipo ON alafu mtu analalmik anakatw salio huko ni kutokujua matumiz ya smartphone ushauri'KAMA utaki kutumia internet kwny cm yako kwa muda ambao upo bize jarib kuzima hiyo 3Gau 2G kwny cm yako weka off!!!' alafu Anglia kama salio lako litapungua!!!
 
Mimi nliachana nao muda tuu hawa jamaaa tangu walete vurugu kwenye package zao ila naona ss wamezirekebisha ingawa siwezi rudia line yao tena
 
Wezi wakubwa yaani nilisha achana nao mda kuanzia mpesa mpaka ea time
 
Kama hutaki kuwatumia namba yako PM wao wataota ili kujua tatizo lako nini kimesabisha? Acha ubishi
 
Nakubaliana na mleta mada. Nami hilo nimeshanipata sana,
na wala situmii mtandao kwa simu hiyo. Kwa kero hiyo nimehamia......
 
Kama hutaki kuwatumia namba yako PM wao wataota ili kujua tatizo lako nini kimesabisha? Acha ubishi babu
 
Vodacom mnakera sana, tena mno. Siku hizi mimi nimeacha kutumia line yenu kwa sababu ya wizi wenu huu. Siku moja baada ya kuona kuwa hela inapungua bila kujua niliamua kufanya jaribio.

Nikaweka sh. 100 kutoka mpesa. Kisha nikanunua bundle ya dakika 20 (voda - voda). Nikajaribu kupiga simu ya voda naambiwa sina salio la kutosha. Nikapiga customer care wakaniaambia eti nilipaswa baada ya kununua hiyo bundle niwe na salio jingine kwenye simu yangu.

Nikatambua kumbe ndio maana bundle yako inapokwisha na salio lote kwenye simu yako linakuwa limeisha. Nikawambia huu ni uwizi usivumilika. Toka siku hiyo nikasema voda na mimi basi, labda mpesa tu.

Despite being a loyal vodacom customer since 2000, now enough is enough! Jirekebisheni
 
Kama hutaki kuwatumia namba yako PM wao wataota ili kujua tatizo lako nini kimesabisha? Acha ubishi

Kuwatumia namba haisaidii chochote. Mimi yalishanipata hayo, nikawapigia na kuwaeleza na hakuna walichofanya. Mamsap wangu walifyeka 3500/- akawapigia wakasema watarekebisha na hakuna walichofanya.

Vodacom customer care is useless, jerekebisheni na aacheni biashara za wizi. Wateja ndio tunawakimbia hivyo!
 
Thnx kwa kumuelimisha huyo kijana utakuta mtu anatumia smartphone ana app kibao kwny cm yake ame install na muda wote zipo ON alafu mtu analalmik anakatw salio huko ni kutokujua matumiz ya smartphone ushauri'KAMA utaki kutumia internet kwny cm yako kwa muda ambao upo bize jarib kuzima hiyo 3Gau 2G kwny cm yako weka off!!!' alafu Anglia kama salio lako litapungua!!!

Na wale wanaotumia nokia tochi nao wanatumia smatifone?? Acheni wizi bana semeni ela zetu mnapeleka wapi!! Na sio kuleta visababu visivyo na maana hapa!!! Mxiiuuuuuu..
 
Kaka mbona kawaida hiyo Hapo ....kifurushi /package etc ikikata unatakiwa kufunga data connection lazivyo hela yote itakwisha kwasababu hizo appln zilizo on km watsup etc zinakula hela ya ndani ukitumia net au uki open appln kama jamii forum, ni kawaida tuu mkuu sema kuavoid hii ki2 muwe mnaweka package ya mwezi hizi za kila Siku matokea yake pack inakata hujui afu unaendelea tumia internet ndo inapelekea hela yako inatumika

Hii ni wengi ambao hawajaishtukia. Apps zikiachwa on huku bundle ikiwa imeisha lazima salio liliwe.
 
hamna mtandao wenye unafuu.
jana niliongeza salio la sh 500 kwenye lain ya tigo
imepita kama dk kumi nataka kupiga cm naambiwa cna salio
nawapigia wananiambia nimejiunga na tigo bima.
 
Kaka mbona kawaida hiyo Hapo ....kifurushi /package etc ikikata unatakiwa kufunga data connection lazivyo hela yote itakwisha kwasababu hizo appln zilizo on km watsup etc zinakula hela ya ndani ukitumia net au uki open appln kama jamii forum, ni kawaida tuu mkuu sema kuavoid hii ki2 muwe mnaweka package ya mwezi hizi za kila Siku matokea yake pack inakata hujui afu unaendelea tumia internet ndo inapelekea hela yako inatumika

Kwa muda mrefu nilishatenganisha shughuli za internet na simu ili kuondoa mitafaruku, nikihitaji matumizi ya internet basi nahitaji computer na modem yake malipo yake yanaeleweka maana furushi la mwezi halitaisha hadi siku ya mwisho nitakapoitumia, haijalishi natumia au situmii lakini inasaidia kuondoa utata unaokupata na makato makubwa.

Uzoefu wangu unaonyesha kwamba utaratibu wa kuongeza salio kidogokidogo unakugharimu zaidi kuliko huu wa kuchukua furushi kwa wiki moja, wiki mbili au mwezi. Jaribu hii ya furushi la wiki, wiki mbili au mwezi utashangaa unavyookoa pesa.

Malalamiko yako siyo Kwa Voda tu, hiyo kitu ni kwa makampuni yote ya simu duniani, usishangae kuona wanaoendesha makampuni hayo ni wale wale walioko Asia, Ulaya, Marekani, Australia na Africa, ila tu kiutaratibu kila nchi inabidi wajisajili na wazawa wanapewa nafasi ya ubia lakini kuna vibosile wenyewe wenye kumiliki hiyo kitu kimataifa.
 
Thnx kwa kumuelimisha huyo kijana utakuta mtu anatumia smartphone ana app kibao kwny cm yake ame install na muda wote zipo ON alafu mtu analalmik anakatw salio huko ni kutokujua matumiz ya smartphone ushauri'KAMA utaki kutumia internet kwny cm yako kwa muda ambao upo bize jarib kuzima hiyo 3Gau 2G kwny cm yako weka off!!!' alafu Anglia kama salio lako litapungua!!!

Mimi natumia line ya Voda kwenye simu yangu ya Siemens 50 haina mambo yenu ya internt
 
Mimi nliachana nao muda tuu hawa jamaaa tangu walete vurugu kwenye package zao ila naona ss wamezirekebisha ingawa siwezi rudia line yao tena

Guga we mjanja ulistuka mapema nakupongeza
 
Ninachotaka ni kujulishwa tu kuwa makato ni ya nini
Mkuu ningefahamu wanakata kwa sababu gani kuna haja gani ya kuleta malalamiko humu. Nimekuwa nikipiga customer care yao wanachofanya ni kukupa option nyingi za kubofya namba.

Ukibofya bado wanakwambia kwa kuwa huja bofya kuchagua huduma yoyote samahani then wanakata line.
 
Jana 28 Jan 2014 saa 6:43 mchana nilweka vocha ya sh 500 ktk line yangu ya Voda kwa lengo la kujiunga na Kifurushi chao kipya cha CHEKA BOMBASTIC
Dakika tano baadae nilipotaka kujiunga nilijibiwa kwa sms kuwa salio langu halitoshi
Nilipouliza salo nilijibiwa salio ni Tsh. 477.91
Saa 7:15 nilipiga simu. Kuongea na mhudumu akanijibu ni kweli na kwamba sidaiwi chochote na kwamba baada ya saa tatu marekebisho yatafanyika
Hadi leo saa 7:15 mchana sijatumia line hiyo naangalia salio ni Tsh 439.57
Hii ndiyo staili mpya ya kuibia wateja. Kama si wizi ni nini?

Cheki kama kuna applications ambazo zipo on ......
 
Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka
 
mh! we kivipi? usije ukawaibia watu hapa, una ushahidi gani kuthibitisha wewe si tapeli?
 
Back
Top Bottom