Wanakusanya pesa za kampeni
You got it right!.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakusanya pesa za kampeni
Kama hutaki kuwatumia namba yako PM wao wataota ili kujua tatizo lako nini kimesabisha? Acha ubishi
Thnx kwa kumuelimisha huyo kijana utakuta mtu anatumia smartphone ana app kibao kwny cm yake ame install na muda wote zipo ON alafu mtu analalmik anakatw salio huko ni kutokujua matumiz ya smartphone ushauri'KAMA utaki kutumia internet kwny cm yako kwa muda ambao upo bize jarib kuzima hiyo 3Gau 2G kwny cm yako weka off!!!' alafu Anglia kama salio lako litapungua!!!
Kaka mbona kawaida hiyo Hapo ....kifurushi /package etc ikikata unatakiwa kufunga data connection lazivyo hela yote itakwisha kwasababu hizo appln zilizo on km watsup etc zinakula hela ya ndani ukitumia net au uki open appln kama jamii forum, ni kawaida tuu mkuu sema kuavoid hii ki2 muwe mnaweka package ya mwezi hizi za kila Siku matokea yake pack inakata hujui afu unaendelea tumia internet ndo inapelekea hela yako inatumika

Mimi nliachana nao muda tuu hawa jamaaa tangu walete vurugu kwenye package zao ila naona ss wamezirekebisha ingawa siwezi rudia line yao tena
Mkuu ningefahamu wanakata kwa sababu gani kuna haja gani ya kuleta malalamiko humu. Nimekuwa nikipiga customer care yao wanachofanya ni kukupa option nyingi za kubofya namba.Ninachotaka ni kujulishwa tu kuwa makato ni ya nini
Jana 28 Jan 2014 saa 6:43 mchana nilweka vocha ya sh 500 ktk line yangu ya Voda kwa lengo la kujiunga na Kifurushi chao kipya cha CHEKA BOMBASTIC
Dakika tano baadae nilipotaka kujiunga nilijibiwa kwa sms kuwa salio langu halitoshi
Nilipouliza salo nilijibiwa salio ni Tsh. 477.91
Saa 7:15 nilipiga simu. Kuongea na mhudumu akanijibu ni kweli na kwamba sidaiwi chochote na kwamba baada ya saa tatu marekebisho yatafanyika
Hadi leo saa 7:15 mchana sijatumia line hiyo naangalia salio ni Tsh 439.57
Hii ndiyo staili mpya ya kuibia wateja. Kama si wizi ni nini?