Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka
  • Fanyieni kazi ubora wa huduma ya kifedha hasa utumapo fedha benk toka kwenye simu huchelewa sana fedha kuweza onekana katika account ya benki husika, au uamishapo fedha toka benki kwenda kwenye namba ya simu pia fedha huchelewa kufika kwenye simu. UKILINGANISHA NA HUDUMA ZA KIBENKI TA TIGO PESA huwa ni hapo kwa hapo within 5 seconds fedha inakuwa tayari imeonekana kama ni benk au katika simu
  • Bila shaka nimeeleweka.
 
Ulipokua off mtandao wa Voda ulikua tip top labda mpesa kwenda au kutoka benk ndio ulisumbua kidogo.

Tangu wewe urudi ofcn VODA imekua majanga. mpesa hakuna service. msg zinaenda baada ya masaa mpaka matano. Nadhani wewe ni saboteur hapo voda. Kamalizie viroba vyako tuachie voda yetu
 
Nipo ofisini sasa hapa makao makuu tatizo la masuala ya kibenki yana upana wake coz yana involve two systems mmoja wapo akizembea kidogo ni Tatizo Mpesa iko poa ila inachangamoto nyingi ila kama wewe ni mtumiaji wa Mpesa na unampunga mrefu linda password yangu name jenga tabia ya kubadili Mara kwa mara
 
Hakuna sehemu ngumu kama kuiba hela kwenye Mpesa pesa yako iko salama sana
 
Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka

Mimi nilishahama.
 
Tumia jina lako halisi au kampuni yenu kama TCRA wanavyofaya. Watu kama nyinyi msaada wenu ni mkubwa hivyo ni vizuri kuwa verified user!
 
Last edited by a moderator:
Tumia jina lako halisi au kampuni yenu kama TCRA wanavyofaya. Watu kama nyinyi msaada wenu ni mkubwa hivyo ni vizuri kuwa verified user!

Hana lolote. huyu ni kama yule aliyekwenda uingereza na rambirambi ya mjane.
 
Last edited by a moderator:
LUKU LUKU Vodacom mliniingiza matatizoni nimenunua hamna token et system ipo busy! Sasa kama ipo busy kwa nini mmechukua hela yangu tunaishi nyumba za kupanga wenzenu sasa ikitokea ivo ukawalaza watu giza you can imagine.

Usajili wenu majanga- mtu nimesajili vodashop mara mnatuma message laini yako itafungwa kaisajili angalieni basi mfumo wenu wa usajili..
 
Mmeniibia sana kila nikinunua mda kupitia mpesa mmnakomba. Nimehama
 
Tumia jina lako halisi au kampuni yenu kama TCRA wanavyofaya. Watu kama nyinyi msaada wenu ni mkubwa hivyo ni vizuri kuwa verified user!
kama kaamua kusaidia watu atumie jina halisi,na hapo hata yeye atajitangaza countrwide kama huduma yake itapendeza watu.
 
Last edited by a moderator:
LUKU LUKU Vodacom mliniingiza matatizoni nimenunua hamna token et system ipo busy! Sasa kama ipo busy kwa nini mmechukua hela yangu tunaishi nyumba za kupanga wenzenu sasa ikitokea ivo ukawalaza watu giza you can imagine.

Usajili wenu majanga- mtu nimesajili vodashop mara mnatuma message laini yako itafungwa kaisajili angalieni basi mfumo wenu wa usajili..
Pole sana unaweza nitumia namba ya meter plz
 
Baada. Ya off yangu najiandaa kuingia ofisini najua kuna watu wana matatizo na mtandao wetu na wamejaribu kupiga simu ila imeshindikana kwa namna Moja au nyingine chukua nafasi hii funguka na ninakuhaidi kukuasaidia coz Nina access ya system zote nadhani nimeeleweka
Mkuu hebu fuatilia huu wizi wa pesa yangu 20,000/= na sikupata jibu la maana.
Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.

Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.

Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.

Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom

UPDATE
=====
VODACOM wamefanya ustaarabu wa kunipigia baada ya kuona detail ya transaction hapo juu, na kuiona kwenye mtandao wa Jamiiforums.
Kimsingi wameapologise kwa mtafaruku uliotokea lakini wamenieleza nifike ofisini kwao kuona aian ya simu ninyotumia isije ikawa data apps ziko wazi.
Na kweli baada ya maongezi ya kuchunguza, mobile data setting ilikuwa ON, na mimeizima sasa.

Hata hivyo ni vema nitaenda kupata maelezo ya kuyeyuka kwa salio langu , karibu 20,000, kwa siku moja.
Wanabodi mtajulishwa inawezekana kuna wenye tatizo kama langu.

UPDATE
=====
Nimeonana na waheshimiwa sana wa Customer Care pale Block 4 Mlimani City.
Cha kusikitisha ni wao kushindwa kuchukua malalamiko yangu na kuyafanyia kazi, na hii ni licha ya kuwaelewesha kuwa hili tukio nalijawahi kunitokea na hii kuwa ni mara ya kwanza.

Hawa jamaa wa Customer Care ni kama mabalozi waliopewa jukumu la kusafisha kampuni ya VODACOM hata kama inanuka kwa wizi uliodhahiri.
Kitu ambacho hawajui ni kuwa nilifanya due diligence kupitia wafanyakazi ndani ya VODACOM walionidhihirishia kuwa kuna wafanyakazi wasio waaminifu ambao wana access na personal security settings za wateja.

Na wafanyakazi hao huwa "wapiga kishenzi" fedha za wateja.

Kwa kifupi mtu wa Customer Care ameshindwa kuniconvince na maelezo yake ya upotevu wa Tshs 20,000 katika mtandao wa VODACOM.
 
Mpaka natoka ofisini sijapata mtu ambaye yuko serious.

Kwa wale ambao hawaamini Vodacom tuna system mbalimbali ila muhimu ni mbili ya kwanza ni I cap au morpheas hii inacheza na laini taarifa zako zote za matumizi hupatikana hapa mahali ulipo kufunga na kufungua laini kuzindua laini na kufuta laini Mara nyingi hii system ikibuma kazi huwa zinasimama upande wa call centre
Nyingine ni hii ya Mpesa ambayo INA deal na account zote hii ikibuma Huduma za Mpesa husimama nchi nzima taarifa zote zimefadhiwa humu na server zote ziko London
 
Suala la luku mpaka naondoka halijatatuliwa pesa ziko pending Mara nyingi system za tanesco zinatuaribia sana
 
LUKU LUKU Vodacom mliniingiza matatizoni nimenunua hamna token et system ipo busy! Sasa kama ipo busy kwa nini mmechukua hela yangu tunaishi nyumba za kupanga wenzenu sasa ikitokea ivo ukawalaza watu giza you can imagine.

Usajili wenu majanga- mtu nimesajili vodashop mara mnatuma message laini yako itafungwa kaisajili angalieni basi mfumo wenu wa usajili..

Suala zima la usajili liko simple sana ukisha sajili kwa mfano kwa wakala hapo sio mwisho form zinakusanywa na kuletwa makao makuu huku moja baada ya moja huingizwa kwenye system wakati hii process inaendelea unakuwa na usajili wa mpito na hii processes huchukua muda mrefu na hapo ndio una pata hizo messages
 
Mpaka natoka ofisini sijapata mtu ambaye yuko serious
Kwa wale ambao hawaamini Vodacom tuna system mbalimbali ila muhimu ni mbili ya kwanza ni I cap au morpheas hii inacheza na laini taarifa zako zote za matumizi hupatikana hapa mahali ulipo kufunga na kufungua laini kuzindua laini na kufuta laini Mara nyingi hii system ikibuma kazi huwa zinasimama upande wa call centre
Nyingine ni hii ya Mpesa ambayo INA deal na account zote hii ikibuma Huduma za Mpesa husimama nchi nzima taarifa zote zimefadhiwa humu na server zote ziko London

Vodacom CS Support mna taarifa na huyu mtu????
 
Nipo ofisini sasa hapa makao makuu tatizo la masuala ya kibenki yana upana wake coz yana involve two systems mmoja wapo akizembea kidogo ni Tatizo Mpesa iko poa ila inachangamoto nyingi ila kama wewe ni mtumiaji wa Mpesa na unampunga mrefu linda password yangu name jenga tabia ya kubadili Mara kwa mara

binafsi last week nililalamika sana kuhusu makato yenu, yani niliweka vocha elfu hamsini, ikawa nikiamka nakutana na meseji mara umenunua huduma hii , umejiunga na nin, nk nk mambo ambao hata sijaomba...nilipopiga customer care nikaambiwa itakuwa najiunga bila kujua kama kubonyeza nyota kununua miito nk nk, sasa touch screen nifanyeje labda??

alaf wadada wana nyodo kama nini...eti kaka naona huelewi basi asante kwa kupiga kastamakea, anakata simu dahhhh mteja mnamfanyia ivo badala ya kumsikiliza??alaf mnaniita mteja wa hadhi ya juu, wapi na wapi?

mm ofsini napiga simu za ofisi bure kote kote, sasa nikajiuliza inakuwaje then vocha ya elfu 50??tena nimeweka tar2 ikaisha tarehe 12, inakuwaje?na mm maisha yangu ni ya hadhi ya chini?

alaf cha ajabu nikipiga customer care nasikia KARIBU KWENYE KITENGO CHA WATEJA WA HADHI YA JUU...kweli mm nina hadhi iyo au manjonjo yenu? juzi nimeweka elfu mbili tu airtel nimepewa dakika 50 mitandao yoteeeeeeee,sms 500 na mb , wakati voda mnanipa sms 100 tu na mb na dakika za voda to voda tuuu...kwa pesa iyo iyo...mkuu washauri wakuu wenu waboreshe mnakamua mnoo!

Siku izi natumia voda 4receiving calls ila na recharge airtel kwa ajili ya kupiga cm...maisha ni magumu kuwa price sensitive ndo mpango mzima!!!!!!!!
 
Vodacom CS Support mna taarifa na huyu mtu????

Carina umesahau hii ni jamii forum unajuaje labda Mimi nipo kwenye hiyo idara and I believe everything in here is confidential my aim is there help those in need what do you think they can do to me hack my info from jamii forum give me a break
 
ishu nyingine ni kuwa jitaidi kuwa na committed staffs siku izi ukitaka kupata simu ya mchumba yupi anaongea na nani au mme au mmke anachat na nani unapata kwa commission ndogo sana, offcourse inalinda maadili ila inaongoza kwa kuvunja ndoa.

mmuache kutuwaweka watu part time na kuwalipa ela ndogo eti laki na nusu part time, iyo inaleta mianya ya corruption... kama unapisha nipe elfu 20,000/- then taja hata namba tano then uniambie unataka kujua nini au nani anachat na nani nikultetee statements.

na nashauri mngekuwa kama tigo, ,mteja akidelete message na kwenye system inafutika ila kuna binti aliniambia juzi kuwa kama mteja akidelete nyie voda mnaweka kwenye delete box ila staff wenu wanaweza kuendelea kuzisoma zoote,nikabisha nikachat na kufuta, jion akanieleza kila kitu nilichofanya iyo ni mbaya ndugu, privacy ni muhimu zaidi, ndoa zetu ziko at risk kwa vi elfu 10 isirini tu.........
 
Back
Top Bottom