Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mkuu papiso nimekupm tokea asubuh iyo number iliyofungwa baada ya kununua umeme wa elfu 31500 na sijaupata mpaka leo na mpaka leo number imefungiwa,nlipiga customer care nikaambiwa et imekuwa reported imeibiwa kitu ambacho sijawahi fanya mkuu.kuibiwa simu big NOOOO

Nimepokea SMS kumi na tano yako sijaiona kaka zingine nimeshazijibu na kuzitatua hiyo yako mbona simple nikiiona nitaifungua na umeme ntakurushia system haiongopi wala haifichi kitu mkuu
 
papiso
Naomba jedwali la commissions za mmpesa kwa mawakala please
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Papiso naomba msaada wako tafadhali, nimefanya malipo ya NECTA kwa M pesa kiasi cha sh elf 50,
nikatumiwa msg ya malipo yenye receipt no.

Sasa nkijaribu kufanya Online registration inaniambia refference no na receipt no does not match,
naomba msaada wako tafadhali no yangu ya simu niliyofanyia malipo nimeKu PM,taarifa zote ziko kwenye system.
Natanguliza shukrani.
 
Okey nitumie email yako nikutumie kama unataka hardcopy cjui ntakupataje mkuu ninazo nyingi tu
unaweza uka-attach hapa kwa faida ya wengi nadhani huwa ni page moja tu lile lenye bei ya mtu akituma kiwango fulani mpaka fulani commission ni kiasi fulani
 
unaweza uka-attach hapa kwa faida ya wengi nadhani huwa ni page moja tu lile lenye bei ya mtu akituma kiwango fulani mpaka fulani commission ni kiasi fulani

Tatizo nimejaribu ku upload baadhi ya data zimefail vilevile siwezi ku transfer data from my email ya ofisi kwenda kokote hasa kwenye simu ila naweza kukuforwardia ilo jedwali mkuu nikiwa ofisini
 
Tokea mwaka mpya wa budget huanze umeleta kupanda kwa bei za Huduma za mawasiliano mfano Meseji moja ilikuwa inagharibu kama shilingi 45 au 50 sasa ivi inakaribia 70 imagine kupiga hasa nje ya mtandao ni majanga jenga mazoea ya kupiga *149*01# kujiunga na vifurushi vyetu anza kutumia baada ya kupokea Meseji ya kuunganishwa usikimbilie kutwanga tu waweza lia
 
Ila mkuu bado upo enzi za simu za Siemens unatuma plain badilika bwana kuna whatsap viber tango tweeter hata Facebook au hata jamii forum we unakomaa na SMS kaka

Kwa maneno haya mbona umananishangaza? Je wewe ni mtoa huduma wa voda? Kama mnataka watu tutumie hizo wasap na viber kwanini mmeweka sms??

Je nasisi ambao hatuna uwezo au hatutaki kutumia hizo smati phone tusiwasiliane???? Embu nieleweshe mkuu umemanisha nini!!??
 
Kwa maneno haya mbona umananishangaza? Je wewe ni mtoa huduma wa voda? Kama mnataka watu tutumie hizo wasap na viber kwanini mmeweka sms?? Je nasisi ambao hatuna uwezo au hatutaki kutumia hizo smati phone tusiwasiliane???? Embu nieleweshe mkuu umemanisha nini!!??

Samahani kwa kuninukuu vibaya nilikuwa nina mpa another alternative Mdau Huduma SMS ni nzuri tena sana na ndio maana Voda wameipa kipaumbele sana katika vifurushi vyetu
 
Kaka tokea nianze kazi sijapata kuona mkoa wenye matatizo kama kigoma sijui kwa nini management hawalitii mkazo kutatua hilo tatizo moja kwa moja

Ufumbuzi haupo kabisa na pia suala la kurejeshewa airtime nalo vp inapokuwa makosa ni yenu wenyewe.
 
mkuu nitumie hlojedwali la commission za mawakala email yangu ni;mtebemsusa@gmail.com
 
Halafu naomba msaada wa kueleweshwa kwamba ukiwa una mtafta mtu kwa njia ya trancing call halafu cm yake inaita but haipokelewi system inaweza tambua alpo? naomba huo msaada mkuu.
 
Inakuaje voda inawateja wengi kuliko airtel lakini airtel wapo ktk ten large tax payers TRA vodacom wasiwepo?mbinu gani mnatumia kukwepa kodi?

Hauna taarifa za kutosha. Mwaka jana 2013 ktk wiki ya TRA ya mlipa kodi, Top 3 companies zilizopewa certificate ya TRA compliance na zilizoibuka Top ktk kulipa kodi iko hvi;
1. Tanzania Cigarette Company (TCC)
2. Vodacom Tanzania Limited
3. Tanzania Breweries Limited.


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hauna taarifa za kutosha. Mwaka jana 2013 ktk wiki ya TRA ya mlipa kodi, Top 3 companies zilizopewa certificate ya TRA compliance na zilizoibuka Top ktk kulipa kodi iko hvi;
1. Tanzania Cigarette Company (TCC)
2. Vodacom Tanzania Limited
3. Tanzania Breweries Limited.


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wabongo kweli mnapenda kukosoa ndio Vodacom ndio wanaongoza kulipa kodi kupita makampuni yote ya simu mwaka Jana na si vibaya na kusema
 
Halafu naomba msaada wa kueleweshwa kwamba ukiwa una mtafta mtu kwa njia ya trancing call halafu cm yake inaita but haipokelewi system inaweza tambua alpo? naomba huo msaada mkuu.

Ndio mkuu sehemu halipo inaonekana laivu bila chenga
 
Kwa moyo wa kujitolea ulionao na namna unavyoendelea kunisaidia, Nimefarijika sana Mkuu Papiso,
Mungu Akuzidishie afya njema,
 
Huduma ya kujurishwa.kwa meseji, alionipigia wakati sipo hewani, naweza kuipataje, msaada taf.
 
Back
Top Bottom