Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

ni kweli sometimes tumekariri hatuna muda wa kusoma ila ukisema product mpya ni ukanjanjq mtupu!!!!!
 
View attachment 168205 Napenda kuja na masikitiko yangu kuhusu kampuni ya mawasiliano ya vodacom inavyotuletea usumbufu kwetu sisi wateja wa malipo ya kabla, sasa imekuwa kawaida kwa kampuni ya vodacom kubadili vifurushi vyake kila kukicha mara utakuta muda wa maongezi dakika 25 sms400 mb300 ukilala kesho utakuta dakika 22 sms500 mb150 . Leo mudawa maongezi dk 20 sms200 mb75 mda si mrefu utakuta mabadiliko tena , sasa imekuwa hatuwaelewi na ukiwapigia cm utaambiwa kuna tatizo kesho tena mabadiliko mengine ! Mi nawaambia kama mnafanya biashara kuwa serious na bizzness acheni ubabaishaji kuweni na msimano waangalie i wenzeni tigo na airtel ukuti mabadiliko kila kukicha

Dah! Hawa watu walivyo nijubu kua muda wangu wa kuwasiliana nacustomer care bure umekwisha, kua inanipasa kulipia sh. Mia ili kusaidiwa nilichoka hata kama mia hainipigigi chenga.
 
View attachment 168205 Napenda kuja na masikitiko yangu kuhusu kampuni ya mawasiliano ya vodacom inavyotuletea usumbufu kwetu sisi wateja wa malipo ya kabla, sasa imekuwa kawaida kwa kampuni ya vodacom kubadili vifurushi vyake kila kukicha mara utakuta muda wa maongezi dakika 25 sms400 mb300 ukilala kesho utakuta dakika 22 sms500 mb150 . Leo mudawa maongezi dk 20 sms200 mb75 mda si mrefu utakuta mabadiliko tena , sasa imekuwa hatuwaelewi na ukiwapigia cm utaambiwa kuna tatizo kesho tena mabadiliko mengine ! Mi nawaambia kama mnafanya biashara kuwa serious na bizzness acheni ubabaishaji kuweni na msimano waangalie i wenzeni tigo na airtel ukuti mabadiliko kila kukicha
hey guys!this is not fair.mwanzo mlikuwa mnatoa 100MB,since mnasema mnatoa free facebook ambayo nadhani ni kiini macho mkashusha mpaka 70 MB,leo hii najiunga nakuta ni 50MB.dah msifanye hivyo ndugu zangu hata kama ni kutaka faida hii ni too much.jaribuni kuangalia pia swala la huduma zaidi.ni hayo tu. NIMEIKUTA KWENYE PAGE YA TIGO HII
 
minadhan hata watoa huduma wao wanaelimu majitaka unawauliza maswali yakufikirisha wanatoa majibu yakuudhisha alafu bado kwenye akant zetu wanachapuachapua tu kidogo 150 imepotea ivi ukiangalia salio m-pesa wanakata m-pawa ndokabisa hawana lolote wezitu tena hawa TCRA sijua wana 10% yawizi huu?

mwakajana walitwambia tusajili line zetu makampuni yajulikane ya idadi gani ya wateja afu wakayataka yaweke bei moja kwenda mitandao yote vichekesho nipale tulipo furahia wiki 3. tu lakini sasa kila uchao mambo yanarudi kulekule mfano 499 unapata dk 15 mitandao yote airtel. na 499 unapata dk 20 nazaidi kwenda airtel tigo sijuagi kwakua sinaga kabisa voda nao ndotaabu hata sikumbuki kwakua kila siku wanabadili inawezakua naleo wesha badili nyie mamlaka yamawasiliano mnafanya nini?

aundio mnataka mpaka mambo yazidi muombe pesa yavikao nasemina kuchukua hatua?
 
mi jana nusu ninnue tigo ila nlikosa kitambulisho kusajili maana internet sa hv wako slow sana nkienda ofis zao wanazingua tu nna mpango wa kuwahama maana mara kwa mara mtandao unapotea
 
Nimenunua air tme ya 5,000 kwenye mpesa ili nijiunge na kifurushi cha wiki cha 4,999. Nikapata message kuwa nimefanikiwa kununua muda wa maongezi wa 5,000. Kujiunga nikaambiwa salio halitoshi. Kucheki salio nina 0, kucheck kwenye mpesa 5,000 imetoka.

Ni kitendo cha dk kama 2 hivi. Asubuhi nikapiga customer care, wakasema wanaona nimenunua 5,000 ila hawaoni imekwenda wapi, niwapigie baada ya masaa 3.

Nimejaribu kupiga hadi nimechoka maana hawapokei.
Naomba msaada, nifanyeje?
 
Vunja kadi, hama mtandao, karibu airtel wao wanaiba kistaarabu na ukiwasiliana nao hasa kwa email wanakujibu haraka iwezekanavyo. Achana kabisa na hayo majizi ya voda yanaiba kwa nguvu tena kibabe na ukiwapigia simu unaambulia majibu ya kishenzi kama hayo. Pole.

Mitandao yote ni wezi ila voda wamezidi.
 
voda ukiweka 5000, jua umeliwa. Nafkiri wameziset mashne zao kudetect.,kama uwa wanafidia ivi. Mie nshalizwa mara kibao. Saiv naish na mwendo wa kopa, lipa
 
voda ukiweka 5000, jua umeliwa. Nafkiri wameziset mashne zao kudetect.,kama uwa wanafidia ivi. Mie nshalizwa mara kibao. Saiv naish na mwendo wa kopa, lipa

Hameni huko wandugu mbona mnateseka hivyo? Voda ni majizi namba 1 wakifuatiwa na mitandao mingine.
 
Vodacom wamevuka kwenye wizi wako kwenye ujambazi kabisa. Shukuru wewe umepigwa buku tano tu, watu wameishapigwa hadi laki moja.
 
Sijui wakiona hizi chuki juu yao wanajisikiaje au ndio mteja kwao sio mfalme bali ----............
 
Aisee inawezekana ni kweli maana last week 27/06 nimenunua muda wa maongezi nikaweka kifurushi cha mwezi, juzi tar 01/07 naambiwa kimeisha nikaishia kucheka tu
 
voda ukiweka 5000, jua umeliwa. Nafkiri wameziset mashne zao kudetect.,kama uwa wanafidia ivi. Mie nshalizwa mara kibao. Saiv naish na mwendo wa kopa, lipa

Eti eeehe. Watakuwa wanapiga hela nzuri sana
 
Back
Top Bottom