Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kweli nilifikiri ni mimi tu kama mhadhirika na hawa jamaa wa voda kumbe tupo wengi! Kwa upande wangu nipo njiani kutafuta msaada wa kisheria kuwashitaki! Hawa jamaa kwa sasa biashara naona inawaendea vibaya ama vipi!
 
Hameni huko wandugu mbona mnateseka hivyo? Voda ni majizi namba 1 wakifuatiwa na mitandao mingine.

Kweli kabisa. Bora niwe najiunga kifurushi cha airtel cha 10,000 kwa wiki niphase out kabisa huu mtandao wa majambazi
 
Kweli kabisa. Bora niwe najiunga kifurushi cha airtel cha 10,000 kwa wiki niphase out kabisa huu mtandao wa majambazi

Yaani huku airtel sawa tunaibiwa lakini si sawa na wizi mkubwa wa vodacom
 
Ha ha ha. Ina maana airtel wanadokoa ila haya mavoda yanachota

Vijamaa vya airtel vijizi lakini vinaiba kistaarabu yaani kama una debe la mahindi vinadokoa kikombe kimoja cha chai tofauti na voda wao wanakwiba debe zima.

Kingine airtel ukiwasiliana nao kwa email yao ya msaada hayapiti masaa 24 wanakupigia wenyewe na mnatatua tatizo lako. Hebu wajaribu kuwapigia voda kama utawapata. Majanga yaani vodacom majanga
 
kweli voda wana phd ya wizi coz hata mimi kuna siku nilinunua muda wa maongezi kwa mpesa by da tym nataka kujiunga ela ikawa imekatwa nikapiga kuwauliza,wakaniambia system zao hazionyeshi hiyo ela ilipoenda labda nipige after 1 hr,nikaona isiwe tabu nikapiga kesho yake, imagine wakasema tena bado system haionyeshi ela ilipokwenda, basi nikaamua kuachana nao, ikabidi ninunue muda mwingine mpesa nikajiunga na kifurushi cha mwezi,ili nipumue coz ukika unaweka ela mara kwa mara lazima ugawane nao nusu kwa nusu
 
Vijamaa vya airtel vijizi lakini vinaiba kistaarabu yaani kama una debe la mahindi vinadokoa kikombe kimoja cha chai tofauti na voda wao wanakwiba debe zima. Kingine airtel ukiwasiliana nao kwa email yao ya msaada hayapiti masaa 24 wanakupigia wenyewe na mnatatua tatizo lako. Hebu wajaribu kuwapigia voda kama utawapata. Majanga yaani vodacom majanga

hao jamaa ni noma hata mimi juzi kati nilipigwa buku2 ukiuliza wanakwambia ujinga tu
 
Msije mkalogwa mkanunua bundle la mwezi kama nilivyofanya mimi. Nimenunua bundle la la Mwezi la gb 1. Nimetumia siku 3. Tena katika whats app.

Baada ya siku 3 naambiwa eti eti zimebaki bundle 365mb. Leo asubuhi zimebaki bundle 46mb. Wezi wakubwa hawa vodacom.

Msije kufanya makosa niliyofanya mimi i thought nina save kumbe ndo ninaibiwa. Nilikuwa naitetea sana inaposemwa vibaya hii kampuni. Kwa tukio hili sina imani nao tena. Wezi wakubwa.
 
Ni wezi hawa mbwa mimi nataka kuhama mtandao,kwanza vifurushi vyao vimebadilishwa bila kuwataarifu wateja,bei zao zimebadilika kimyakimya,halafu ukijiunga kwenye unlimited wanakuwekea limitation,ukidownload kitu baada ya muda net inakua slow yani wanakera they are stupid
 
Kweli myasemayo. Anachosema mleta mada kinanisibu na mimi. Nanunua unlimited lakini ni useless kabisa. Nilidhani ni simu yangu inatatizo lakini ni smartphone mpya kabisa tena ya apple.

Wananikera sana hawa hata sijui nihamie wapi nadhani zantel huenda wana nafuu. Voda ni useless kabisa hawa.
 
Wamiliki wamevadilika lini na je sio waingereza waliokuja na slogan ya kazi ni kwako?
 
Mm jana usiku nimewapigia customer service yao hakuna anaejua anachofanya , pesa yangu wamekata bila sababu kila mmoja anasema ebu piga baada ya masaa mawili - kipiga hamna huduma ya kueleweka!

Shiiit Vodacom wamekua vibaka wa mtandaoni hawana tofauti na mbwa mwitu.

Nitawahama soon manake hata huduma zenu saiv hazieleweki kabisa.
 
vipi zantel waungwana na tgo even mimi nataka nihame for good!
 
Zantel wako vizuri sana, tofauti kbs na voda.
 
Msije mkalogwa mkanunua bundle la mwezi kama nilivyofanya mimi. Nimenunua bundle la la Mwezi la gb 1. Nimetumia siku 3. Tena katika whats app. Baada ya siku 3 naambiwa eti eti zimebaki bundle 365mb. Leo asubuhi zimebaki bundle 46mb. Wezi wakubwa hawa vodacom. Msije kufanya makosa niliyofanya mimi i thought nina save kumbe ndo ninaibiwa. Nilikuwa naitetea sana inaposemwa vibaya hii kampuni. Kwa tukio hili sina imani nao tena. Wezi wakubwa.


Kipindi kibaya hiki ndugu kumbuka kuwa uchaguzi upo karibu
 
Nimesha wahama siku nyingi,sema line naitumia kwa mpesa mara mojamoja.huko nako majanga
 
hahahha, vodacom?111...unalipa elf6 kwa wiki wanakupa 2gb wakati tigowanakupa 10g kama skosei, akili ya kuambiwa!....
 
Back
Top Bottom