Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Acha maelezo ya abunuasi ,soma tena ulichoandika vizuri usikurupuke kutulisha ngusugimtaji wa laki 6 kupata milioni 3 inawezekana kabisa. wateja wakitoa ukafika laki 6 unaenda kutoa cash bank mpesa unarudishiwa laki 6 yako unaendelea na kazi. hiyo laki 6 unaweza kufanya miamala hata ya milioni 10 kwa siku.
huyo atakuwa ni wakala mkuu....hamna kazi ngumu wanafanya cha ajab ndiyo wanufaika....hii system inawanyonya sana mawakala wadogo...Kuna kingine zaidi ya usemacho. Au we wakala mkuu. Ama umemix na business zingne otherwise ni uongo mtakatifu. Wakala?
nani kakudanganya tikiti!! utamuuzia nani? njoo kwenye mbogamboga; kila mmoja analima kwake za matumizi na wafanyakazi/watumishi wamestuka wanalima hoho, chinese, sukuma wiki, kabichi kwenye makopo na salfet. kuuza masokoni kwataka moyo hasa..!Biashara mtandao
Unavuna ulichopanda
Watu hawajuagi tu bora kulima matiki au pilipili zinalipa badala ya kuhangaika na umessenger au ukuwadi wa hela za watu
Huu upigadebe wa hela sio
Kweli wewe kisandu kabisa kama sio deomtaji wa laki 6 kupata milioni 3 inawezekana kabisa. wateja wakitoa ukafika laki 6 unaenda kutoa cash bank mpesa unarudishiwa laki 6 yako unaendelea na kazi. hiyo laki 6 unaweza kufanya miamala hata ya milioni 10 kwa siku.
Mimi nimepata kamisheni ya 19,476/=.Kamisheni zenyewe za kipumbavu sana. Yaani mtu anatoa laki mbili yeye anakatwa elfu 5 af wewe wakala unaambulia mia sita. Huo si Ugolo? yaani hamna biashara ya kijinga kama uwakala huu. Kwa jicho LA nje watu wanaona kama ni biashara nzuri ila ukiingia ni upuuzi tu. Kuna watu ndio wanafaidi kama wakala mkuu na voda wenyewe ila we unaepingwa jua na kuzungufusha pesa yako ni njaa tu. Unapewa mpaka sh 100 kwa muamala wa elf 10? Ndio maana Mzee wakala hapo juu anawenge anaulizia kamisheni saa moja asubuhi ya tar 1 as if tar 1 imaisha bila kupewa hyo kamisheni ya elf 43 kwa mwezi.
Mimi M-PESA nimepata kamisheni ya 19,476/=.....hii sio biashara kabisa unakuwa na mtaji wa laki 5. alafu kamisheni mwezi mzima unalipwa elfu 43...naifunga mwezi huu bora nikauze mifuko mipya ya makamba.
Elfu kumi na Tisa kwa mwezi mzima? Vp mfanyakazi na frem unalipa sh ngapi? Af kuna pimbi humu anaongea utumbo wa nzi .eti alikuwa na laki 6 akapata m 3. Nshamwambia akafie mbele hope kesha rest in peace. Kampuni za simu zibadilike aisee twende nusu kwa nusu, otherwise tcra ichunguze vzr. Kunauzi unakuja wa kuwachana hawa watu wa mitandao watuondolee upuuzi wa mawakala wakuu coz hakuna kazi ya maana wanayoifanya zaidi ya kusubiri wewe urisk pesa zako ye achukue kamishen kubwa we uambulie elfu kumi na Tisa.Mimi nimepata kamisheni ya 19,476/=.
Unajua unatakiwa uwekeze sh ngapi upate hyo kidgo unayotuambia hapa? Acha kudandia treni kwa mbele DadaDuuuuuh lakini vijana tunataka kupata faida kiasi gani? Ndio turizike hakuna biashara isiyokuwa Na changamoto tujaribu kuwa wavumilivu ni Bora hio ya kupata kidogo sio kukaaaa kijiweni kuongelea siasa
ungepata hiyo hela zaidi hata ya hyo laki ila Ukumbke biashara ya daladala haipo costant kwamba kila siku upate LAKI au zaidi..kuna leo kupanda kesho kushuka kuna gari kuharibika,kuna dereva kuumwa,kuna ajali,nk ila hyo 420k alopata yeye ni uhakika na zaidi ya yote labda iongezeke ila sio kupungua.Ha ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hivi
Kula tano👊Pamoja na mleta mada kuwa ameshapata malipo yake,naomba kumsaidia ili siku nyingine asije kulalamika. Commission huwa zinalipwa kuanzia tarehe 1-5. Hii ni kwa mitandao yote. Kwa hiyo unaweza kuwasiliana na wakala wako mkuu baada ya tarehe 5 km utakuwa hujapata. Na kwa wale wanaovunjwa moyo kufungua hii biashara msidanganywe,hakuna biashara rahisi na nzuri kufanya km hii ya miamala ya pesa. Kikwazo pekee kwenye hii biashara ni majambazi tu.
Kuna mtu hapo amesema alifanya miamala ya thamani ya milioni 33 na akapata laki 4 na 20. Lkn hajasema mtaji wake ulikuwa bei gani. Unaweza kufanya hata miamala ya thamani ya bilioni 1 Kwa mtaji wa laki 5 na ukapata milioni na nusu kwa mwezi. Hizo ni pesa za wateja wanaokuja ku-depost na ku-withdraw. Nimefanya hiyo biashara tangu mwaka 2011 hadi leo. Pesa zako muda wote zipo Salama,na ni pesa ambayo ukitaka ikusaidie inakusaidia hapohapo. Maana muda wote ama itakuwa kwenye simu au unayo cash. Na wakala ukitaka kutoa pesa zako hukatwi. Hiyo nyumba iliyopo kwenye avatar yangu,nimejenga kwa hiyo biashara. Na nilimvua mtu kwa milioni 14 nikaivunja nikajenga hiyo. Wale mnaotaka kufungua msikatishwe tamaa,karibuni tufanye biashara.
usitumie nguvu nyingi waelekeza halafu unaniumiza unavyotoa siri nnje mkuuu..waache waende FOREX tulia mkuuu kula maisha,hao wanamwamini ONTARIO tu ila wewe hawakuelewi...Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
uwakala wa mitandao yote na Benki unatosha kabisa mkuu..usichanganye biashara hzo hzo znatosha..Uza pesa achana na kuchanganya biashara ya pesa na Vitu..Hii biashara kwanza inabidi uwe wakala wa mitandao yote na pia benki kubwa zote......lakini pia uichanganye na biashara nyingine kama duka au steshenari
miamala ya 33M lakini mtaji wake sio 33M nina uhakika huo...sasa kama mtaji wako sio hiyo 33M wewe unaumia nini? Pokea fungu lako Kausha..endelea kutafuta pesa zaidi.Miamala ya m 33 unapata kamishen ya laki 4, amakweli huwo ni unyonyaji