Manyunyuyote
Member
- Feb 1, 2017
- 66
- 39
Ni kweli hayo ni maneno yangu na ni kweli yako sahihi maana huyo Kelvin Twissa umemtaja kimakosa maana hajawahi kuongoza kampuni kama VODACOM kama nilivyosema.
"Unasema taifa lina watu milioni 50 na hutaji hata mmoja aliyewahi kuongoza na kwa mafanikio kampuni kama VODACOM. Taja basi hata mmoja tuone kama wewe si mwongo na Mafuruki yuko sahihi" - Post #105
NB: Umesahahu haya ni maneno ya nani mkuu MANYUNYUYOTE ??
Umekubali kwamba hiyo ni kauli yako ?