Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Mafao anayopata baada ya mkataba kuisha yanamtosha kuishi kama malaika yeye na ukoo wake sasa ajira nyingine ya nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzawa ni nani ni KABURU MWEUSI hayo ni maneno ya mwl nyerere
 
Mkuu nilivyoelewa hakuna anayekubishia umiliki wa UK ila wao wameishia SA bila kuitaja UK
Wewe ndo unachanganya whatever Vodacom TZ makes the lion share goes to Vodafone Plc as owns Vodacom SA! Technically Vodafone UK is the owner! SA owns MTN n not Vodacom. Vodacom SA is just a caretaker just like a caretaker for Safaricom!
 
Msiwe mnakimbilia hoja za kisiasa kama unavyofanya, huo pia ni ubabaishaji. Kama wapo watanzania waliotuangusha ni hawa wanaofanya kazi na waliowahi kufanya kazi VODACOM kwa miaka 19 leo.

Unasema taifa lina watu milioni 50 na hutaji hata mmoja aliyewahi kuongoza na kwa mafanikio kampuni kama VODACOM. Taja basi hata mmoja tuone kama wewe si mwongo na Mafuruki yuko sahihi.

Kuhusu Mafuruki kuwa Board Chairman basi tunabishana na mtu asiyejua nini maana ya Executive Director. Na huo ni ujnga mwingine kwamba hamuwezi kuongoza kampuni hizi ishieni kupata vyeo vya kutumwatumwa huku na kule.

Vyeo hivyo vitawafanya mjenge nyumba, mjenge plots, estates nk. Lakini kuwa Managing Director sahauni. Hamfai.
 
Huu mjadala nafikiri unapaswa kujadiliwa kwa mapana na bila hisia. Hiyo ndio njia pekee itakayopelekea kujua hasa chanzo cha tatizo ni nini hasa??

Mara zote zikitoka list ya walipa kodi wakubwa Tanzania huwa kuna majina mengi ya waarabu na wahindi. Je hii inamaanisha wahhindi na waarabu ndio walipa kodi tuu??
Au inamaanisha wahindi na waarabu ndio wako vizuri kwenye usimamizi wa biashara/kampuni??

Tukiwatoa Mzee Mengi na Mzee Massawe ni watanzania gani wengine wanamiliki kampuni kubwa zinazofanya operation karibu sehemu kubwa ya Tanzania?? Kama wapo namba za revenues za kampuni hizo zikoje??

Na je kuna mtanzania anaemiliki kampuni nje ya nchi ambayo revenues zake ni zaidi ya 50m us $??
 
Mufuruki ni Mhaya na mhaya na majivuno+dharau ndio mahala pake, haiwezekan kwenye Watanzania zaidi ya mili. 50 eti hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza Vodacom, kina Mwanyika wasingekubalika kushika zile nafasi ACCASIA au nao sio Watz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimesema watanzania ni wezi, wababaishaji, wapiga majungu na fitina na ndiyo maana sisi wengine tulikimbia nchi. Huyo Mwanyika yuko wapi sasa hivi?
 
Fuckny nyie!
Vodacom na serikali wapi na wapi?
Alafu mnabwabwaja tu upinzani si mna waomi mbona hamkwenda omba hii post?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema watanzania ni wezi, wababaishaji, wapiga majungu na fitina na ndiyo maana sisi wengine tulikimbia nchi. Huyo Mwanyika yuko wapi sasa hivi?
Unauhakika gani kama huyo mmisri naye siyo mwizi?
 
Na mtoto anapoona baba yake akiitikana serikali naye anaona anaweza tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuckny nyie!
Vodacom na serikali wapi na wapi?
Alafu mnabwabwaja tu upinzani si mna waomi mbona hamkwenda omba hii post?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata kama nafasi za Board Memebrs na Directors zingetangazwa au zilitangazwa hawa wapiiga kelele wasingeweza kuomba wanajijua hawafai, wanafaa kutumwatumwa na si kuongoza kampuni.

Tatizo la taifa kuwa YESMAN kwa kila kitu ni hili. Unatumika kumridhisha bosi wako matokeo yake unajiondolea uwezo wa kuwa creative.

Endeleeni kuongozwa na vitoto vilivyoanza kazi juzi vikitokea Uingereza, MIsri, Uganda nk.
 
Unafaa kuwa waziri wa Africa mashariki,,,hongera sana

Kwa kweli unajua sana mambo haya,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watz waliowengi washazoea ushindi wa mezan, wanasahau kuwa mwekezaji yeyote anataka faida tena faida kubwa kwa kadiri iwezekanavyo kwa kila pesa aliyowekeza ni ukweli kuwa watz bado wana safari ndefu kuweza kuongoza multinational companies, eti wao wanasema kigezo cha uraia wa mtu kitumike sana, kwenye hizi MnCs ni zaidi ya hapo!! kingine aina ya sera za uchumi tokea uhuru nazo ni shida tupu! halafu mwenye pesa zake ataamua nani awe ndo kiongozi wa kampuni, tukumbuke hii sio TTCL ambayo unaweza muweka kada wa chama kama Kindamba alivyowekwa TTCL. Kingine hivi kuna makampuni mangapi ya Tanzania ambayo yamewekeza nje ya Tanzania kiasi cha kuweza kutisha katika ukanda wa EA na so kukawa na pool kubwa ya managers,MDs, directors? ambao wana exposure ya kutosha? CRDB wapo Burundi na wanapumulia mashine.Watz hawapendi kuambiwa ukweli, halafu wao wakiwa na watu kiduchu huko ughaibuni ambao wako na vyeo basi wanaona hiyo ni justification ya kupewa kuongoza makampuni ya kigeni ambayo yapo nchini. Kingine hata baadhi ya watz walioaminiwa na kupewa kuongoza large companies mwisho wa siku ilikuwa majanga mfano Mafuru na NBC au Bade na Barclays n.k. Tusisahau viwanda mahotel na makampuni mengi yamekufa mpaka ikaamuliwa yabinafsishwe,sasa kama kungekuwa na watz wenye uwezo huo wa kutukuka leo hii hata isingehitajika voda/airtel/halotel na wengine TTCL ingetosha!!!
 
Sabab ya kuwa kuna watanzania wanaweza kuwa MDs wa kampuni kubwa kama Vodacom na nyinginezo ilkuwa n sabab tu ya kumkataa Mkenya.....hawa jamaa(wakenya) wapo vzur sana kweny Economic Espionage....amini kwamba yule mama alkuwa anakuja kuiua Vodacom na kuireplace Safaricom Tanzania

Taasisi zote za kibiashara za Tanzania zilizowahi kuingia ubia na Kenyan Firms ziliishia pabaya, anza na General Tyre vs Yana Tyre, SBL vs EABL, njoo kwa Precision ilivyokuwa inang'aa mpaka CCM wakataka kuipa hadhi ya Shirika la ndege la Taufa kwa ATCL kuinunua Hisa za Precision.....

Sasa hiv kuna kampuni ya chai kule mufindi na Njombe iliyokuwa ikijulikan kama Rift Valley Tea Company(ina kampuni tanzu 5 za chai) imenunuliwa na wakenya DL Group lkn wanachofanya n dhahir kabisa wana plan ya kuua zile plabtations ili kuimarisha viplot vyao vya chai Kenya. Hawajafanya investment yyte zaid ya kuuza properties walizozikuta na kukata miti kwa wingi mno kuuza magogo ...miti waliyoikuta imepandwa ili kuendeleza uoto wa kieneo kwa ustawi wa chai na vyanzo vya maji.

Yule mama angepewa Vodacom, tungekuwa tunaongea mengine muda huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani kama huyo mmisri naye siyo mwizi?

Maana na wewe huna uhakika kama aliwahi kuwa mwizi tusubiri aibe tuone. Lakini watanzania tunaowasema humu hatuhitaji kuthibitishiwa wizi wao.

Wewe mwenyewe hupingi wizi wa wa Tanzania. Tatizo lako unaona mwizi mtanzania ni nafuu kuliko mwizi mmisri.

Kaka mwizi ni mwizi tu. Wekeni program ya kutokuwa wezi, kutokuwa wavivu, kuacha majungu, kuacha fitina, kuthamini wanaochapa kazi.

Mkifanya hivyo basi ndani ya miaka 15 ijayo ndiyo mfikirie kuongoza kampuni kubwa kama hiyo VODACOM na mkikimbilia huku mitandaoni tutawatetea.
 
Wakenya ni manyang'au tu,,,
Ni kama mende wa chooni tu,,

Wakikaaga kwenye 18 zangu siwaachagi,,nawafyatua tu funza hawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kapewa promotion yuko bongo muda mrefu sana

mpuuzi mpuuzi tu
 
Kisheria Board of Directors ndiyo inahusika kutunga sera zote za uendeshaji wa kampuni kama ambavyo washika hisa wanataka: Kiingereza naweza kusema hivi "The Board of Directors is a Principal Policy Organ of the Company" .

Executive Director ni mtendaji wa kila siku wa shughuli za kampuni akitekeleza sera zote na maelekezo (Policies and Directives) ambazo zimetolewa na Board of Directors. Kikubwa zaidi ni kwamba The Executive Director anawajibika kwa Board of Directors.

Haya siyasemi mimi bali The Companies Act of Tanzania ambayo ni sheria iliyotungwa na bunge ndiyo inasema hivi. Wewe utasemaje naongea siasa ??

Kwenye Organogram ya kampuni yoyote ile The Chairman of the Board yuko juu kuliko The Executive Director. Sasa nauliza huyo Ali Mafuruki anayesema hakuna watanzania wenye uwezo yeye alifikaje hapo juu na kuwa Chairman of the Board.

Halafu kuna watanzania wameongoza makampuni mengi tu zaidi ya Vodacom. Wapo wakina Deo Mwanyika wameongoza makampuni mazito kama BARRICK na ACACIA, wakina Laurent Mafuru ni Certified Bankers wamefanya kazi kwenye mabenki makubwa Uingereza.

Kuna watanzania wengi ambao siwezi kuwataja lakini wanaongoza makampuni makubwa ndani na nje ya nchi. Watafute....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…