Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Kaka,
Unapokuja huku mitandaoni jiadhari na kutaja majina maana huui unaongea na akina nani na wana taarifa gani. Jina la Kelvin Twissa umelitaja mwenyewe na kukuambia kwamba alitoroka kazini tuna taarifa za tangu anaondoka na hata Disciplinary HEaring ilivyoenda.

Tujadili hoja tusitaje majina.
 
Twisa ame base kwenye marketing na CEO ni zaidi ya marketing only.

Na kama ana vigezo kwa nini hayupo tena Vodacom??
 
Hapa nimekuelewa. Lakin je swali langu.. wanafaa. Maana kuna vitu vingi wana consider ili upate nafasi. Walia apply..? Waliitwa usahili?
Kumbuka makampun ambayo ni private huwa yanatafuta the best only.
So ishu kwamba ni mtanzania sio tatizo.. but ana uwezo? To know that nafikiri Interview ingegundua mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nafasi zilitangazwa za Directors na ndizo hizi. Hawakuomba. Walijijua ni wabovu na wakajijua wataishia kulalamika mitandaoni na baadhi yenu mtawa-support kama anavyofanya Malcom Lumumba.

 


Mosi, hivi aliyeomba majina ya watanzania yatajwe ni mimi au wewe mkuu ? Au umesahau hoja yako ya mwanzo kabisa ?

Pili, kwenye miiko ya kazi nadhani huwa mnafundishwa Confidentiality. Mambo ya Disciplinary Hearing ambayo yamefanyika Under Camera kuna haja gani ya kuyaanika hapa kwenye umma??

Tatu, Kevin Twissa mimi nimemtaja kama mfano wa watanzania waliowahi kuwepo Vodacom na kuonyesha uwezo mzuri. Tena nikasema "Alikuwepo Vodacom SIYO Yupo Vodacom" hayo mengine sitataka kuyazungumzia kwasababu ntakuwa napiga majungu.

I rest my case.
 
Kongole mkuu. Umeiweka point yangu kwenye maneno rahisi kabisa.
 
Kuna nafasi zilitangazwa za Directors na ndizo hizi. Hawakuomba. Walijijua ni wabovu na wakajijua wataishia kulalamika mitandaoni na baadhi yenu mtawa-support kama anavyofanya Malcom Lumumba.
Kuna kaukweli fulani. Tunaweza watetea umu but then kazi haikufuati wewe bali wewe ndio unaifuata kazi.
So hata kama una qualification lazima uende kupeleka maombi au interest zako.
Otherwise ukikaa pemben hawata ku consider

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tusiende mbali, hivi unataka kuniambia kwamba huko Vodacom hakuna watanzania wenye uwezo wa kuwa CEO's kweli ?? Kama ni hivyo basi watanzania tutakuwa ni watu wa ajabu sana.
 
Mkuu habari za ulipo, niomba unisaidie wazo la kibiashara tofuti na hayo hapo juu ambalo litaweza kuniwezesha kumiliki soko la hapa Tanzania.
 
Pili, kwenye miiko ya kazi nadhani huwa mnafundishwa Confidentiality. Mambo ya Disciplinary Hearing ambayo yamefanyika Under Camera kuna haja gani ya kuyaanika hapa kwenye umma??
Ukiangalia comments za watu wengine zilikuwa zinaonyesha watanzania sio waadilifu yaani janja janja nyingi.

Sasa kama hiyo ni sababu mojawapo inayotukwamisha kuukwaa u-CEO kwa nini mambo ya disciplinary hearing yasijadiliwe??

Mi naona ni sahihi kuyadili sababu yanaendena na muktadha wa kuhoji uadilifu wa mtu ambae ndio atakuja kuwa CEO.
 
Hiyo habari ya kwamba Kenya waliiba mitambo General Tyre ni story story za vijiwe vya kahawa na mtu makini hutakiwa hata kuongelea hilo. Mitambo yenu ipo pale Arusha imetulia kama vitu vilivyoko museum usiwasingizie Wakenya.
Kwahiyo tulizima mitambo,baada ya kuchoka hela turizokuwa tunapata kwa kuuza matairi EA yote!!
Dar!! Kweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh umetuchoka kweli.....makini unalo sema linaukweli WaTznia Wengi hawatumie ujuzi/ fani zao walizo soma kujaajili au kuendeleza maisha baada ya kuacha au kufukuzwa kazini.....imagini unakuta pro wa chuo kikuu anafuga kuku wa mayayi mualimu wa sekondary anafunga hivo hivo mualimu wa primary hivo Meneja mstaafu wa benki nayeye vile vile......inaonekana tuna kosa competence kipindi tuko kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malcom,
Ninaheshimu sana mijadala na hakuna post yangu hata moja niliyokwambia unitajie watu. Wapo waliokuomba humu nadhani umechanganya ukadhani ni mimi.

Narudia usitaje jina la mtu ukidhani tutaungana nawe katika positive way unayompa wakati watu wanajua negative way yake usiyoijua.
 
Naona umeamua kuaga baada ya kuja hoja ya uadilifu wa mtu uliemtolea mfano.

Ukiendelea kuwa na siku njema jua kwamba hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuwa CEO Vodacom hadi tunavoongea sasa hivi.

Ndiyo maana huyu Malcom nimemwambia asitaje majina ya watu akidhani amemwaga ugali wakati wenzake nao wanajua kumwaga mboga.

Waingereza wanasema "if you are living in glass house don't throw stones".
 
"Unasema taifa lina watu milioni 50 na hutaji hata mmoja aliyewahi kuongoza na kwa mafanikio kampuni kama VODACOM. Taja basi hata mmoja tuone kama wewe si mwongo na Mafuruki yuko sahihi" - Post #105

NB: Umesahahu haya ni maneno ya nani mkuu MANYUNYUYOTE ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…