Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Kaka,
Hapo ndipo watanzania msipojua hata historia yenu. Kutoa mfano wa CRDB kuongza kuyashinda mabenki ya kigeni halafu ulinganishe na VODACOM au AIRTEL huo ni ushamba wa kutojua historia. Sasa kwa sababu nihsitoria tunaieleza hivi.

Kwanza CRDB ni sekta ya benki yenye historia tofauti na telecom. CRDB iko tangu mwaka 1986 na ilikuwa parastatal (ya serikali) na ilikuwa na wateja tangu ikiwepo. Wakati wake kulikuwa na benki kadhaa kama NBC, TPB, Benki ya Nyumba na zingine kadhaa.

Privatisation ilipoanza mwaka 1994, waliotaka kuinunua NBC walikuta imejikita ingawa ina hasara lakini CRDB ilikuwepo, Ndipo zikaanza kuingia benki za kigeni kama Meridian Biao Bank, Standard Chartered, City Bank. Zingine zikaja baadaye kabisa kama Exim Bank.

Hizi benki za kigeni zote zimeikuta hiyo CRDB unayosema ina wateja na inaendelea.

Tuje kwenye Telecom industry. Wakati VODACOM inakuja imeanza upya kabisa maana wateja wa mobile walikuwa wachache. VODACOM ilikuta kampuni mbili tu yaani MOBITEL na nyingine ya Malysia nimesahau jina lake lakini alikuwemo Rugemalila.

Kama unakumbuka VODACOM ilianza na mteja wa kuwanza kupiga simu ingawa sikumbuki mwaka vizuri, nadhani mwaka 2000 maana nilikuwa sijaondoka nchini.

VODACOM ikapanda juu toka siku ya kwanza. Ikapata wateja wengi na ikaongoza tangu mwaka huo hadi miaka mitano iliyopita.

Hivyo, VODACOM imeanza from the scratch, imeanza na mteja mmoja, yule aliyepiga simu. CRDB haikuanza hivyo. Kinyume chake benki za kigeni zimeikuta CRDB ipo tayari.

Hivyo huwezi kulinganisha Dr. Kimei wa CRDB na Managing Directors walioongoza VODACOM tangu haina mteja hata mmoja na ikafikia hadi kuwa mtandao unaoongoza.

Dr. Kimei angepelekwa VODACOM wakati inaanza angechemsha tu kwani watu wanasahau kwamba kuna mtanzania mwezake aliwahi kupewa kuiongoza VODACOM anaitwa Idris Rashid, tena aliwahi kuwa Gavana wa BoT.

Lakini alipofika VODACOM hakumaliza miaka miwili akashindwa akakimbia huku na kule sasa hivi hata hasikiki anasikika kwenye vibenki vidogovidogo.

Watu wanasahau hata ile CRDB ambayo inatoa upinzani mkubwa kwa mabenki ya kigeni, na yenyewe imekuwa ikiongozwa na Watanzania tangia uwepo wake! Sasa how come tushindwe kuwa na mtu wa kuendesha Vodacom!!

Dr Kimei alikuwa ni muingereza ?
Kaka nilitaka kuwataja wakina Dr Kimei lakini nikaona nisiwataje tu kuheshimu faragha zao na kuepusha majungu. Kuhusu suala la DM kutoka Corporate World hilo hata mimi nimeliona sema nalo sikutaka kulisema. Unajua kipindi kile Prof Luoga amechaguliwa kuwa gavana wa BoT walilamika sana watu na kusema kwamba siyo mchumi lakini sheria ilisema mtu yoyote mwenye uzoefu na mambo ya benki ya corporate affairs.

Halafu kikubwa hii nafasi imekaa kiutawala zaidi kuliko Kiutaalamu. Yote tisa hata akitokea mtanzania mzuri bado watasema hafai. Mimi nimeamua kuwa mpenzi msomaji tu sasa.
 
Kaka,
Hapo ndipo watanzania msipojua hata historia yenu. Kutoa mfano wa CRDB kuongza kuyashinda mabenki ya kigeni halafu ulinganishe na VODACOM au AIRTEL huo ni ushamba wa kutojua historia. Sasa kwa sababu nihsitoria tunaieleza hivi.

Kwanza CRDB ni sekta ya benki yenye historia tofauti na telecom. CRDB iko tangu mwaka 1986 na ilikuwa parastatal (ya serikali) na ilikuwa na wateja tangu ikiwepo. Wakati wake kulikuwa na benki kadhaa kama NBC, TPB, Benki ya Nyumba na zingine kadhaa.

Privatisation ilipoanza mwaka 1994, waliotaka kuinunua NBC walikuta imejikita ingawa ina hasara lakini CRDB ilikuwepo, Ndipo zikaanza kuingia benki za kigeni kama Meridian Biao Bank, Standard Chartered, City Bank. Zingine zikaja baadaye kabisa kama Exim Bank.

Hizi benki za kigeni zote zimeikuta hiyo CRDB unayosema ina wateja na inaendelea.

Tuje kwenye Telecom industry. Wakati VODACOM inakuja imeanza upya kabisa maana wateja wa mobile walikuwa wachache. VODACOM ilikuta kampuni mbili tu yaani MOBITEL na nyingine ya Malysia nimesahau jina lake lakini alikuwemo Rugemalila.

Kama unakumbuka VODACOM ilianza na mteja wa kuwanza kupiga simu ingawa sikumbuki mwaka vizuri, nadhani mwaka 2000 maana nilikuwa sijaondoka nchini.

VODACOM ikapanda juu toka siku ya kwanza. Ikapata wateja wengi na ikaongoza tangu mwaka huo hadi miaka mitano iliyopita.

Hivyo, VODACOM imeanza from the scratch, imeanza na mteja mmoja, yule aliyepiga simu. CRDB haikuanza hivyo. Kinyume chake benki za kigeni zimeikuta CRDB ipo tayari.

Hivyo huwezi kulinganisha Dr. Kimei wa CRDB na Managing Directors walioongoza VODACOM tangu haina mteja hata mmoja na ikafikia hadi kuwa mtandao unaoongoza.

Dr. Kimei angepelekwa VODACOM wakati inaanza angechemsha tu kwani watu wanasahau kwamba kuna mtanzania mwezake aliwahi kupewa kuiongoza VODACOM anaitwa Idris Rashid, tena aliwahi kuwa Gavana wa BoT.

Lakini alipofika VODACOM hakumaliza miaka miwili akashindwa akakimbia huku na kule sasa hivi hata hasikiki anasikika kwenye vibenki vidogovidogo.
Halafu watu wanatoa mf. wa Kimei si waje na list ya CEOs wanaoongoza MnCs ambazo ni successful East Africa pamoja na Tzee watu wanatoa mfano mmoja miwili then wanatoa hitimisho! hata hiyo CRDB ilikuwa na mdenish then alikuwepo muhindi japo top alikuwepo kimei sasa why bado wageni walisaidiana na Kimei? ukija nmb kulikuwa na yule mama mzungu aliyeondoka juzijuz hapa.Kukataa kujifunza na kudai kupewa nafasi kisa tu ni Mtz ni ujuha Safaricom ya Kenya CEO wake wala si mkenya!!
 
Ndiyo maana jamaa yako nimemuuliza hivyohivyo anaishia kutuletea watu ambao ni wazembe kazini kwa utoro.

Hakuna discipline znri katika maisha kama kukubali kujifunza na kwa kile unachokijua kuwa stable kukisimamia bila woga.

KWa haya mawili watanzana wanafanya kinuyme chake
 
Mleta mada nadhani ni mkenya..., manake umekuwa unashabikia sana na kuwataka wa Tz wawakubali tu wa Kenya wawaongoze hata ndani ya nchi yao.

Mleta mada embu tueleze kuna makampuni mangapi ambayo yapo Kenya na yanaongozwa na wa Tz?..., wakenya ni watu ambao wa najulikana sana kwa tabia zao za roho mbaya, hususan kwenye sehemu wanayoona ina maslahi na wa Tz, ndio maana hata wa ganda huwa hawataki kufanya kazi na wakenya kwakuwa wakenya ni watu wenye majungu sana na wana fitina sana...., yaani huwa hawako tayari kabisa kuona watu wa nchi nyingine wakifaidika.

Nimekuwa kwenye mission nyingi sana za pesa ambazo some of them zilikuwa zinasimamiwa na wa Kenya, ilifikia kipindi furani tulikuwa tunakataa kabisa, kuwa kama wasimamizi ni wa Kenya sisi hatutaki, kwakuwa wa Kenya wana roho mbaya sana kwa wasiokuwa wakenya na huwa wanajiona kama wao wana akili sana na waelewa sana.

Bahati nzuri nilisoma chuo kimoja nje na ndani ya darasa langu kulikuwa na wa Tz watatu na wakenya kama saba hivi...., haijawahi hata siku moja wa Kenya waliwazidi wa Tz darasani..., lkn wakenya huwa wana ujinga furani wa kuamini kwamba wao wana akili sana kuliko wa Tz.

Wa Kenya wanazuia bidhaa nyingi za Tz zisiingie kwao, wanaziletea figisu figisu. Products za Azam zinapata tabu sana Kenya, beer za Tz zinapata tabu sana Kenya, Gas toka Tz inapata tabu sana Kenya, Mbao toka Tz zinapata tabu sana...., ukiwa mfanyabiashara serious utajua kwanini wakenya ni watu wa ovyo sana linapokuja suhala la maslahi. We jiulize kuna makampuni mangapi ya Tz yako Kenya?...., kuna mabenki mangapi ya Ki Tz yamefunguliwa Kenya?..., kisha jiulize wao wana makampuni yao mangapi Tz?..., wana mabenki mangapi hapa.

Mkenya hata akiwa Tz na akiwa anafanya kazi hapa na akawa boss, basi atawanyanyasa sana wa Tz na atawainua sana wa Kenya wenzake.

Hivyo all in all naipongeza sana serikali ya Tz kumnyima kibari cha kufanya kazi yule mdada wa Kenya, tena ingewapitia na wengine ili vibari vyao vikiisha wasipewe tena. Waganda waje, wa rundi waje, wa Zambia waje hatuna nao matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeamua kuaga baada ya kuja hoja ya uadilifu wa mtu uliemtolea mfano.

Ukiendelea kuwa na siku njema jua kwamba hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuwa CEO Vodacom hadi tunavoongea sasa hivi.
Acha utani wewe....Shwain kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15] Umelewa nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nilitaka kuwataja wakina Dr Kimei lakini nikaona nisiwataje tu kuheshimu faragha zao na kuepusha majungu. Kuhusu suala la DM kutoka Corporate World hilo hata mimi nimeliona sema nalo sikutaka kulisema. Unajua kipindi kile Prof Luoga amechaguliwa kuwa gavana wa BoT walilamika sana watu na kusema kwamba siyo mchumi lakini sheria ilisema mtu yoyote mwenye uzoefu na mambo ya benki ya corporate affairs.

Halafu kikubwa hii nafasi imekaa kiutawala zaidi kuliko Kiutaalamu. Yote tisa hata akitokea mtanzania mzuri bado watasema hafai. Mimi nimeamua kuwa mpenzi msomaji tu sasa
.
Hapo nilipo-highlight ndipo ilipo hoja yangu! Kwamba si lazima kuwa na mtu wa telecom bali mtu mwenye uzoefu wa kuongoza taasisi za kibiashara; na hawa wapo wengi sana! Hata yule Omar "something" niliyemtaja wala hakutokea kwenye telecom bali alitoka kwenye masuala ya fedha! By the time nadhani alitokea Internationa Finance Corporation!
 
View attachment 1054930
Waafrika alieturoga alituweza sana.

Mwaka jana Vodacom ikateua raia mwanamama mmoja kutoka Kenya kuja kua mkurugenzi wake, maneno yakawa maneno kua kwani tumekosa mtanzania wa kushika hizo nafasi na mambo kede kede, serikali ikamnyima kibali cha kazi. Dada wa watu akaendelea na maisha yake huko kwao Kenya.

Sasa Vodacom wameteua mwarabu kutoka Misri kua mkurugenzi wake, zile kelele za mwaka jana hazisikiki tena, maana yake hatutaki waafrika wenzetu ila tunataka watu wenye ngozi nyeupe. Kwanza tunaweza kumnyima mkenya kibali cha kufanya kazi Tanzania ila tukampa mwarabu wa Misri, sijui akili za wapi hizi.

Kwa hiyo ikifika kwa ngozi nyeupe hadithi za wazawa zinakufa, ila ikiwa ni mweusi mwenzetu hadithi za wazawa wapewe fursa ndio zinaibuka.

Binafsi hua sikubaliani na hoja ya uzawa, kwenye ulimwengu ulioendelea watu wenye uwezo binafsi wanataftwa kutoka kila mahali wakafanye mabadiliko na kuongoza taasisi za nchi nyingine. Uingereza ilimkodi Gavana wa benki ya Canada ili awe Gavana wao awasaidie kurekebisha uchumi, mkuu wa Google ni mhindi na mifano iko mingi.

Hoja yangu ni kwamba, kwa nini mkenya tulimkatalia kwa hoja ya uzawa alafu tumekubali mwarabu wa Misri?
Ujinga wa Jiwe na vijibwa vyake huwa unatia fora sana, you wonder kwanini walimnyima kibali cha kazi Mwana-Afrika Mashariki mwenzetu lakini wakatoa kwa Mmisri - au ni kwa sababu Misri wamemkopesha hela za Stiegler's Gorge?
 
Kaka,
Hapo ndipo watanzania msipojua hata historia yenu. Kutoa mfano wa CRDB kuongza kuyashinda mabenki ya kigeni halafu ulinganishe na VODACOM au AIRTEL huo ni ushamba wa kutojua historia. Sasa kwa sababu nihsitoria tunaieleza hivi..
Kwa mtu mwenye akili moja kwa moja anajua wewe ndo mshamba!!
Kwanza CRDB ni sekta ya benki yenye historia tofauti na telecom. CRDB iko tangu mwaka 1986 na ilikuwa parastatal (ya serikali) na ilikuwa na wateja tangu ikiwepo. Wakati wake kulikuwa na benki kadhaa kama NBC, TPB, Benki ya Nyumba na zingine kadhaa.
Kwahiyo?! Hivi unafahamu maana ya management wewe?! Yule Omar Issa ambae alikuwa CEO wa Celtel alitokea sekta ipi?! Mchechu ambae aliiongoza NHC kwa mafanikio makubwa alitokea sekta ipi? Idris Rashid ambae alienda kuwa MD wa TANESCO alitokea sekta ipi?!

Unashindwa kutofautisha kati ya technical positions na management positions!

Privatisation ilipoanza mwaka 1994, waliotaka kuinunua NBC walikuta imejikita ingawa ina hasara lakini CRDB ilikuwepo, Ndipo zikaanza kuingia benki za kigeni kama Meridian Biao Bank, Standard Chartered, City Bank. Zingine zikaja baadaye kabisa kama Exim Bank.

Hizi benki za kigeni zote zimeikuta hiyo CRDB unayosema ina wateja na inaendelea.
Kwahiyo unataka kusema mafanikio ya CRDB ni kwa sababu ipo kabla ya hizo benki zingine?! Yaani bado unaita wenzako washamba ikiwa unaishia kutoa hoja nyepesi kama hizi?! Kama ndivyo, kwanini NBC isiwe ndiyo the most successful bank kulinganisha na CRDB?! Kwanini Benki ya Posta isiwe ndio the most successful bank kulinganisha na NMB?!
Tuje kwenye Telecom industry. Wakati VODACOM inakuja imeanza upya kabisa maana wateja wa mobile walikuwa wachache. VODACOM ilikuta kampuni mbili tu yaani MOBITEL na nyingine ya Malysia nimesahau jina lake lakini alikuwemo Rugemalila.
Umesahau kwa sababu hujui lolote zaidi ya majigambo yako! Na kwavile hujui, wacha nikukumbushe kwamba Vodacom wameingia wakati kuna Mobitel na Tritel ambao walikuwa pale jengo la SIDO karibu na Tanganyika Library! Btw, kama kutangulia ndo kunafanya kampuni iwe bora zaidi, kwanini basi nafasi ya Vodacom isingekuwa ya Mobitel/Buzz/Tigo?! Vodacom wameingia Tanzania wakati Mobitel/Buzz wakiwa na takribani miaka 6!
Kama unakumbuka VODACOM ilianza na mteja wa kuwanza kupiga simu ingawa sikumbuki mwaka vizuri, nadhani mwaka 2000 maana nilikuwa sijaondoka nchini.
Nikukumbushe wewe ambae unaonekana unatakiwa kukumbushwa mengi! Nakumbuka vizuri wakati bro anamaliza pale UDSM mwaka 2000, ndipo Vodacom walikuwa wanakaribia kuanza kutoa huduma!
VODACOM ikapanda juu toka siku ya kwanza. Ikapata wateja wengi na ikaongoza tangu mwaka huo hadi miaka mitano iliyopita.
Umesema moja ya sababu za CRDB kuwa juu ni kwa sababu walianza mapema zaidi kulinganisha na foreign banks! Kama hiyo ni hoja, ni kwanini basi Vodacom wakawaacha Buzz ambao walikuwa in business kwa takribani miaka 6!! Sitaitaja Tritel kwa sababu mifumo ya Tritel ilikuwa tofauti na Buzz na hao Vodacom!!!
Hivyo, VODACOM imeanza from the scratch, imeanza na mteja mmoja, yule aliyepiga simu. CRDB haikuanza hivyo. Kinyume chake benki za kigeni zimeikuta CRDB ipo tayari.
Voadcom walianza from the scratch lakini bado waliwaacha Buzz ambao walikuwa in busines kwa takribani miaka 6 kabla yao, na kwahiyo hoja yako haina mantiki!
Hivyo huwezi kulinganisha Dr. Kimei wa CRDB na Managing Directors walioongoza VODACOM tangu haina mteja hata mmoja na ikafikia hadi kuwa mtandao unaoongoza.
Hoja nyepesi kabisa hii manake kama ingekuwa na uzito, basi Tanzania Postal Bank ingekuwa kubwa kweli kweli! Lakini tukiachana na TPB, basi angalau NBC ingekuwa ni kubwa kuliko CRDB! Na ni kichekesho kudai mafanikio ya Dr Kimei ni kwa sababu alianza hapo kabla ya foreign banks hazijaingia kwenye game wakati anayefahamu masuala ya kibenki anafahamu moja ya sababu iliyozifanya foreign banks kuwa pale ni kwa sababu wakati wanaingia walikuwa very selective! Hawa wali-target corporate market kwenye nchi iliyokuwa na uhaba wa corporate customers! Walifanya hayo wakiamini the poors are unbankable hadi walipokuja kuamshwa usingizini na NMB kwamba even the poors are bankable, and all you need to know is their needs! NMB walitumia vizuri ideas za Hernando de Soto Polar, a Peruvian Economist aliyepata kusema usione mtu anaishi kwenye nyumba ya udongo ukadhani ni useless creature in the economy!
Dr. Kimei angepelekwa VODACOM wakati inaanza angechemsha tu kwani watu wanasahau kwamba kuna mtanzania mwezake aliwahi kupewa kuiongoza VODACOM anaitwa Idris Rashid, tena aliwahi kuwa Gavana wa BoT.
Omar Issa alienda Celtel akitokea industry ipi?!
Lakini alipofika VODACOM hakumaliza miaka miwili akashindwa akakimbia huku na kule sasa hivi hata hasikiki anasikika kwenye vibenki vidogovidogo.
Yaani hivi sasa nikukumbushe hadi uliyosema mwenyewe kwamba:-
VODACOM ikapanda juu toka siku ya kwanza. Ikapata wateja wengi na ikaongoza tangu mwaka huo hadi miaka mitano iliyopita.
Sasa ikiwa Vodacom iliongoza tangu mwanzo kwa miaka yote hiyo, how come tena Dr. Idris Rashid akimbie "mziki mnene" wa Vodacom?! Hivi unafahamu Dr. Idris Rashid aliingia Vodacom wakati haijafikisha hata mwaka mmoja?
 
Kwa mtu mwenye akili moja kwa moja anajua wewe ndo mshamba!!
Kwahiyo?! Hivi unafahamu maana ya management wewe?! Yule Omar Issa ambae alikuwa CEO wa Celtel alitokea sekta ipi?! Mchechu ambae aliiongoza NHC kwa mafanikio makubwa alitokea sekta ipi? Idris Rashid ambae alienda kuwa MD wa TANESCO alitokea sekta ipi?!

Unashindwa kutofautisha kati ya technical positions na management positions!

Kwahiyo unataka kusema mafanikio ya CRDB ni kwa sababu ipo kabla ya hizo benki zingine?! Yaani bado unaita wenzako washamba ikiwa unaishia kutoa hoja nyepesi kama hizi?! Kama ndivyo, kwanini NBC isiwe ndiyo the most successful bank kulinganisha na CRDB?! Kwanini Benki ya Posta isiwe ndio the most successful bank kulinganisha na NMB?!
Umesahau kwa sababu hujui lolote zaidi ya majigambo yako! Na kwavile hujui, wacha nikukumbushe kwamba Vodacom wameingia wakati kuna Mobitel na Tritel ambao walikuwa pale jengo la SIDO karibu na Tanganyika Library! Btw, kama kutangulia ndo kunafanya kampuni iwe bora zaidi, kwanini basi nafasi ya Vodacom isingekuwa ya Mobitel/Buzz/Tigo?! Vodacom wameingia Tanzania wakati Mobitel/Buzz wakiwa na takribani miaka 6!
Nikukumbushe wewe ambae unaonekana unatakiwa kukumbushwa mengi! Nakumbuka vizuri wakati bro anamaliza pale UDSM mwaka 2000, ndipo Vodacom walikuwa wanakaribia kuanza kutoa huduma!
Umesema moja ya sababu za CRDB kuwa juu ni kwa sababu walianza mapema zaidi kulinganisha na foreign banks! Kama hiyo ni hoja, ni kwanini basi Vodacom wakawaacha Buzz ambao walikuwa in business kwa takribani miaka 6!! Sitaitaja Tritel kwa sababu mifumo ya Tritel ilikuwa tofauti na Buzz na hao Vodacom!!!Voadcom walianza from the scratch lakini bado waliwaacha Buzz ambao walikuwa in busines kwa takribani miaka 6 kabla yao, na kwahiyo hoja yako haina mantiki!
Hoja nyepesi kabisa hii manake kama ingekuwa na uzito, basi Tanzania Postal Bank ingekuwa kubwa kweli kweli! Lakini tukiachana na TPB, basi angalau NBC ingekuwa ni kubwa kuliko CRDB! Na ni kichekesho kudai mafanikio ya Dr Kimei ni kwa sababu alianza hapo kabla ya foreign banks hazijaingia kwenye game wakati anayefahamu masuala ya kibenki anafahamu moja ya sababu iliyozifanya foreign banks kuwa pale ni kwa sababu wakati wanaingia walikuwa very selective huku wakidhani the poors are unbankable hadi walipokuja kuamshwa usingizini na NMB kwamba even the poors are bankable, and all you need to to know is their needs! NMB walitumia vizuri ideas za Hernando de Soto Polar, a Peruvian Economist aliyepata kusema usione mtu anaishi kwenye nyumba ya udongo ukadhani ni useless creature in the economy!
Omar Issa alienda Celtel akitokea industry ipi?!
We jamaa muongo sana! Idris Rashid alikuwa aliteuliwa CEO wa Vodacom early 2001 ! Unataka kusema from 2001 to 2004 Vodacom ilikuwa hoi hadi Rashi akimbie?!
Hahahahahaha, kama akijibu hizi hoja mimi JF naacha na sirudi tena. Hata ingekuwa ni mimi hizi hoja ningekimbia kuzijibu. Mkuu ahsante sana, uwe na usiku mwema.
 
Mnataka kuwaambia uma kwamba Tanzania hakuna hata mtu mmoja anaeshindwa kuingoza kampuni!?, hv hata kwenye sekta hiyo pia ya MD hakuna hata Mtanzania aliekuwa na sifa ya kuwa MD!!?
Daaaaah This is ridiculous and very shame for Tanzania to showing them we not ready even for that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda atajiongeza maana kwa sasa Tz hakuna mtandao wa ovyo kama vodacom. Mambo yote tigo/zantel
 
Hahahahahaha, kama akijibu hizi hoja mimi JF naacha na sirudi tena. Hata ingekuwa ni mimi hizi hoja ningekimbia kuzijibu. Mkuu ahsante sana, uwe na usiku mwema.
Unajua nimelazimika kusoma michango yake kwenye hii mada! Yaani ana tatizo lakini hajui kwamba ana tatizo! Yaani "watanzania nyinyi wa huko hivi, watanzania nyinyi mlio local vile" na yote hayo yakiashiria Watanzania ni mabogasi! Halafu anataka kuaminisha watu kwamba telecom industry ni very complex industry ambayo, ambayo kuiweza kwake ni ama uwe telecom guru au rocket scientist, na kama ni Mtanzania, basi hata uwe Quantum Physicist basi huwezi kuongoza kampuni ya simu hususani Vodacom!
 
Hongera kwa bwana mdogo Hisham Hendi. Ila huo ndio utakuwa mwisho wa career yake after three years.
Voda com dont believe that an MD will still perform after three yrs. So he shouldnt expect a contract renewal after three yrs.
Historically, the recent past two Vodacom MDs are on retirement leave.
Huwezi toka Voda ukaenda tena uswahilini kuajiriwa kama sijui meneja wa nini! Huu ndio mwisho wa career. Akitoka hapo akawe mkulima tu.
kwanini mkuu asiajiriwe tena.?? nn kisababisha hayo yote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala LA Dada wa Kenya,na msuguano wa Kenya na TZ,ni kubwa kuliko unavyolifahamu,
Kwanza hatuna Vita ya kiuchumi kati yetu na Misri,tuna vita ya kiuchumi kati yetu na Kenya,unajua kilichotokea kwenye kiwanda cha General Tyre?watu waliingia pale kijasusi,wakashika uongozi,wakahujumu kiwanda,kikafa,mitambo ikahamishiwa Kenya,sasa HV ni Yana,sio General tyre tena,
Ukiruhusu kampuni kubwa kama Vodacom,iwe na CEO kutoka nchi,ambayo,MNA ugomvi nayo wa kiuchumi,ikihujumiwa uchumi wa nchi utayumba balaa,
Hivi vitu ni vikubwa sana.Kuna CEO wa Huawei,mchina,kashikwa kule CANADA,na USA inataka apelekwe USA,akashitakiwe kwa wizi wa tekinolojia,China na USA ni wapinzani kwenye uchumi,ukilala umeliwa.
Uwezi kusikia USA,imegombana na India,wakati wahandisi na madakitari kibao kutoka India wanafsnya kazi kwenye vitengo nyeti pale USA.
Hatuna shida na Zambia,watu wake wamejaa Tazara,hatuna shida na SA,wala Uganda,lakini Kenya,tuna shida nao sana,wakipata nafasi,wanaweza kuifanya nchi hii soko LA bidhaa zao.
Unakumbuka ishu ya vifaranga?
Nashukuru Maghufuri kwenye vita ya kiuchumi,ameiwezea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....umemaliza kila kitu Bosi...Kuna watu wanawaza kupinga tu...[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mkuu Wtzania ni watu waajabu sana ukiamua umpeleka katika discplinary commite atakushughurikia paka akupata hatuna element ya (proffessionalism)....kuna jama moja kwenye kampuni private alikua human resource manger 3rd in command katika kampuni hiyo alikua na tabia ya kulewa wakati wakazi na kuajili ndg zake (not competent) alipelekwa DC mara ya kwanza kapewa onyo Kali, alivo badilishwa CEO akarudia hizo tabia zake...akapelekwa tena kwenye DC jama moja akatafuta faili lake alikua amelificha kalileta for reference CEO mpya hakua anajisi zaidi ya kumpa mafao yake na ku terminate contract yake.....jama kaenda makwao Kigoma kaanza kuwa shughurikia, yule alie leta faili lake sasa hivi hatembee miguu yote inaoza lazma ikatwe yule mgine 2nd in command kavimba tumbo paka alifariki mwaka jana, CEO alikua Muhindi amerudi kwao bila sababu.....na wengine tumeacha kazi kwa Usalama wetu arafu jama anajigamba.....kwahiyo hao ndo wasomi wetu Tz ni Dr Phd bado tuna mawazo primitive licha ya kua wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulikuwa na nafasi gani kwenye hiyo Kampuni? Hata kuandika shida, nakubaliana na wewe HR alikuwa tatizo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nimelazimika kusoma michango yake kwenye hii mada! Yaani ana tatizo lakini hajui kwamba ana tatizo! Yaani "watanzania nyinyi wa huko hivi, watanzania nyinyi mlio local vile" na yote hayo yakiashiria Watanzania ni mabogasi! Halafu anataka kuaminisha watu kwamba telecom industry ni very complex industry ambayo, ambayo kuiweza kwake ni ama uwe telecom guru au rocket scientist, na kama ni Mtanzania, basi hata uwe Quantum Physicist basi huwezi kuongoza kampuni ya simu hususani Vodacom!
Mkuu jamaa ana kiburi cha kipumbavu sana, lakini nashukuru umetusaidia sana kumnyamazisha. Kama atakuwa na akili nzuri basi ataona ni wapi amekosea na ajirekebishe.
 
Back
Top Bottom