Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Inatufilisi kwa hisani ya CCM.Hii Mitandao imeshajiapiza kutufilisi.
"Hakuna Kampuni ya Mawasiliano inabadili gharama za Mawasiliano bila TCRA kujua" NapeHawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo
Masahihisho.Kama hicho ofa maaalum wameona tunafaid hizo dakika. Mwanzo ilikua 2000 unapata dk 100 na gb 1.kwa wik
Wakaona hapana.wakafuta ...
Haya makampuni ni Cartels.Go for Tigo Business Pack Data Only (Postpaid)!!
Kama sio Jini Mfyonza Data, hii inaweza kuwasaidia sana....
Kampuni zote bado hawajazichezea Postpaid though I know it's just a matter of time kabla na postpaid hawajaanza kuzichezea, especially wakiona watu wengi wamehamia huko.Haya makampuni ni Cartels.
Ukiona Voda wamepiga Panga MB, tegemea in few days na makampuni mengine kufanya the same.
Hawa jamaa wanakaa kwenye meza wanakubaliana waminye kwa pamoja ili wasiharibiane biashara
Hamia Tuh Safaricom Maana ISP wa Tanzania na Serikali ni Kichwa Cha Mwendawazimu🤧Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
Hilo swali niliwahi kiwauliza wakanambia mb 1000 ndio GB 1 eti[emoji1787]Kama hicho ofa maaalum wameona tunafaid hizo dakika. Mwanzo ilikua 2000 unapata dk 100 na gb 1.kwa wik
Wakaona hapana...