Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Lakini si kweliHilo swali niliwahi kiwauliza wakanambia mb 1000 ndio GB 1 eti[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si kweliHilo swali niliwahi kiwauliza wakanambia mb 1000 ndio GB 1 eti[emoji1787]
Kwaiyo kazi ya Rais ni kusimamia mabando?Kabla ya Nape, mama yenu nae anafanya kazi gani?
Chanzo cha matatizo kikiwa kule juu, huku chini matatizo hayatakaa yaishe.
Leo atalaumiwa Makamba, kesho Nape, keshokutwa Mwigulu....
Mitandao iko mingiKatika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
Anafanya kazi ya kupandishwa school bus kumzika mchawi aliyeitesa Afrika kwenye lindi la mateso ya ukoloni. Una swali lingine?Kabla ya Nape, mama yenu nae anafanya kazi gani?
Chanzo cha matatizo kikiwa kule juu, huku chini matatizo hayatakaa yaishe.
Leo atalaumiwa Makamba, kesho Nape, keshokutwa Mwigulu....
Nipe utaratibu kidogo boss..Go for Tigo Business Pack Data Only (Postpaid)!!
Kama sio Jini Mfyonza Data, hii inaweza kuwasaidia sana.
Binafsi, mimi ni Jini Mfyonza Data lakini pamoja na yote hayo, leo October 20, nimebakiwa na 14GB out of 80GB.
Of course, hazitanifikisha mwisho wa mwezi lakini majority 80GB zinawatosha, au hata kifurushi cha 30GB ambacho nadhani ni 25K bado wengi kinawatosha sana.
Na hiyo 80GB ni only 60K.
Changamoto ni speed lakini sio kwamba huwezi kufanya kazi!!
Go for Tigo Business Pack Data Only (Postpaid)!!
Kama sio Jini Mfyonza Data, hii inaweza kuwasaidia sana.
Binafsi, mimi ni Jini Mfyonza Data lakini pamoja na yote hayo, leo October 20, nimebakiwa na 14GB out of 80GB.
Of course, hazitanifikisha mwisho wa mwezi lakini majority 80GB zinawatosha, au hata kifurushi cha 30GB ambacho nadhani ni 25K bado wengi kinawatosha sana.
Na hiyo 80GB ni only 60K.
Changamoto ni speed lakini sio kwamba huwezi kufanya kazi!!
Swali la kitoto sanaKwaiyo kazi ya Rais ni kusimamia mabando?
Aliyewateua tumuiteje?😊Nape na Makamba ni mawaziri shaghablabaghala sana.
Kama wanatoa mb 1000 ni sahihi wakisema mb 1000 maana bado hazijafikia kiwnago cha gb. Gb 1 = mb 1024Kama hicho ofa maaalum wameona tunafaid hizo dakika. Mwanzo ilikua 2000 unapata dk 100 na gb 1.kwa wik
Wakaona hapana.wakafuta dk 100 zikawa 30 na mb 1000.na kitu najiuliza kwanin kwenye vifurush vingine wanasema gb 1 ila hicho cha ofa wanaandika mb 1000 badala ya kusema gb.ni nini malengo?
No sawa sawa na kumwambia mtu nakupa laki kumi.kwa nin usiseme nakupa mil.1? Au inakua mb 1000 ila pale kunakua na boshen flan mana kinaenda sio poa ghafla mteja umefika 75%ya matumizi.
Ila mungu sio athuman japo wanatudhulum kwa kila hali mara salio limekatwa kwa kujiunga na game mara sijui mb zimeliwa na auto update anawakomesha hela hazina baraka
Muuaji hafai kukumbukwa abadaniSiku moja mtqnikumbuka kwa mazuri
Hata hao ni wezi tu, nilikuwa natumia cha 15k kwa mwezi ambapo wlijuwa wananipa GB 8 na dk.800 mitandao yote! Mpaka nimeachana na Tigo post paid kwa bei hiyo hiyo walikuwa wananipa Gb 7Go for Tigo Business Pack Data Only (Postpaid)!!