Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

mitandao wezi sana mb ukifunga macho ukifungua wamekula zote unajiuliza kuingia jf kusoma uzi mbili tatu ndio mb 450 ziishe dah
Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.

Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229

Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
 
Back
Top Bottom