Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Nini maana ya kuwa na regulator anaepanga bei badala ya kuwa na ushindani sokoni?Mzee suala la mawasiliano huwa haliachwi bila kuwa na regulator na huyo huwa ni chombo cha serikali kitakachosimamia sheria na bei zake. Hiyo sio biashara ya vitumbua
Bei ni ileile kwa makampuni yote. Sasa mantiki ya kuwa na makampuni manne wanaotoa huduma ileile ipo wapi?
Kunatakiwa kuwe na biashara huria, regulator aweke mkono kwenye mambo ya usalama, ila kwenye bei aachie makampuni yashindane yenyewe. Ikiwezekana bei zishuke kumlinda mwananchi.
Hakuna mantiki ya kuwa na regulator ambae anaumiza wananchi.
Hopeless kabisa.