Vodacom-TZ Kaimu mkurugenzi apatikana

Hiki cheo si wampe,yule jamaa aliyetoka mgodini,Kama sikosei ni Ndugu Mwanyika,

duh yaani utoke kwenye mgodi.. uendeshe biashara ya mawasiliano tena uwe ceo .. hiyo ipo serikalini tu sababu hawaogopi hasara.. wanateuana tu
 
😀😀😀😀😀😀😀
 
Food science and technology.
 
Kwa Bob wa Safaricom ni bora kuliko Wakenya wote milioni 50?
 
Hizo shule wanatafuta English Teachers, Kenyans mko vizuri sana kwenye hiyo Lugha ya Malkia, Nothing more.
 
Kwa Bob wa Safaricom ni bora kuliko Wakenya wote milioni 50?
Sisi hatujawa na wivu wa kijinga, hivyo kama head hunters wameona huyo Bob ni bora, then well and good, inabidi tujiboreshe badala ya kulialia taifa lote mwanamke Mkenya amewanyima usingizi.
 
Sisi hatujawa na wivu wa kijinga, hivyo kama head hunters wameona huyo Bob ni bora, then well and good, inabidi tujiboreshe badala ya kulialia taifa lote mwanamke Mkenya amewanyima usingizi.
Taifa lote.
Hicho ni kituko. Si Taifa lote. Kama idara ya uhamiaji wamezuia kibali wana sababu zao.

Hapa Nchini wapo CEO wengi tu wa nje na wanaendelea na mikataba yao. Sylivia si mtu special sana kwetu
 
Lakini yeye ndiye ame-generate interest zaidi ya hao CEO wote, anajadiliwa hadi na wabunge wenu akina Zitto Kabwe, yaanchi yote mama mmoja kawashika pabaya, huku mumeanzisha nyuzi lukuki kwa ajili huyo huyo mama https://www.facebook.com/
 
Ahaaa haaa haaa
You guys r so funny.
our country is very keen to traitors.
 
Ndo keshakataliwa permit. Acha mwarabu atumike wakati tunatafuta mTanganyika
 
This is Africa - the continent where we hate our own. Pandering to Whites and Asians is our hobby.
Is Egypty in Asia or Europe? You are the one who hates people of color even though they are Africans
 
Kama kwa mwaka vibali 400 basi ni kweli wamebana. Hivyo vibali zamani vikitoka kwa mwezi mmoja sio januari hadi agosti. Safi sana serikali kuwabana matapeli wa kikenya kuja kuiba ajira Tanzania. Viva Magufuli
 
Hivi kuna vitu huwa tunafanya kwenye hii mitandao vya ajabu saana kama kumuita huyu dada eti Mama lishe
Hivi mnajua financial performance ya Safaricom ??
Hivi mnafahamu yeye amechangia kiasi gani kwenye performance ya Safaricom ???
Hamuelewi kwanini baada ya mizengwe kama hii watu kama Rostam Abdulrasool Aziz wanauza shares zao Vodacom ??
Kwa taarifa yenu Safaricom chukua profit ya 10 most profitable business sum them up hazifikii profit ya Safaricom
Then jiulizeni kwanini watu walimuwinda huyu dada
Hivi hamjifunzi kitu jinsi Azam Tv ilivyohama na kijiji cha Multichoice na BBC Swahili
Hivi hamjifunzi kitu Serengeti ilivyoiendesha SABC mpaka kukawa hakuna tena Competetion Strategy isipokuwa kuinunua na hiyo ni kutokana talent brains walizo hire kutoka India
 
Naona wivu sasa umeulekeza kwa Safaricom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…