Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Kwa ushindani gani walionao Safaricom? KencellHivi kuna vitu huwa tunafanya kwenye hii mitandao vya ajabu saana kama kumuita huyu dada eti Mama lishe
Hivi mnajua financial performance ya Safaricom ??
Hivi mnafahamu yeye amechangia kiasi gani kwenye performance ya Safaricom ???
Hamuelewi kwanini baada ya mizengwe kama hii watu kama Rostam Abdulrasool Aziz wanauza shares zao Vodacom ??
Kwa taarifa yenu Safaricom chukua profit ya 10 most profitable business sum them up hazifikii profit ya Safaricom
Then jiulizeni kwanini watu walimuwinda huyu dada
Hivi hamjifunzi kitu jinsi Azam Tv ilivyohama na kijiji cha Multichoice na BBC Swahili
Hivi hamjifunzi kitu Serengeti ilivyoiendesha SABC mpaka kukawa hakuna tena Competetion Strategy isipokuwa kuinunua na hiyo ni kutokana talent brains walizo hire kutoka India
Sio kama awali kataa.. Endelea kubisha boss... Sina muda wa kubishana na wawekezaji...
Endeleeni kuwekeza JF...Utabishanaje na wawekezaji wakati wewe ni salaried individual!
Endeleeni kuwekeza JF...
Endelea kuipigania...Of course, naiheshimu sana JF sababu ilinitoa kwenye mawazo kama yako ,in fact JF gave me gig, lots of gigs which made me my own boss.
Leo mwarabu wamempa MIKOBA KABISANdo keshakataliwa permit. Acha mwarabu atumike wakati tunatafuta mTanganyika
Our National Interests comes first.
ππ what interests ?? ? rejecting one foreigner and replacing with another..Our National Interests comes first.
Kibali chake cha kazi kikiisha HATAONGEZEWA muda.
ππ what interests ?? ? rejecting one foreigner and replacing with another..
I thought mtapata Danganyika moja ifanye hiyo kazi ??
Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/26610697/
Yaani Mitanganyika yote hiyo amekosekana hata mmoja, hehehe mnatia huruma. Mlimkatalia Mkenya mkisema kunao Watanganyika wenye uwezo huu, hatimaye hajapatikana hata mmoja, hivi shida huwa nini? Japo pia mfumo wenu wa elimu siwezi kuweka wanangu wautumie maana ni kuwadumaza kiakili.
Bosi wa safaricom na KQ ni wakenya?
Nyie mnawabudu wasomali ndomana kutwa wanawakongotaNi wazi watanzagiza wanaabudu rangi nyeupe.
muachiwe tu mhujumu kama kawaida yenu........hakuna historia ya Mmisri kuhujumu Tz.....ila Kenya........fitna tuSio Wakenya na hatujawahi kuzuia mtu kwa kigezo kwamba kuna Wakenya wenye uwezo huo, ni ujuha mzuie kwa kigezo cha kulinda ajira za ndani halafu hapo hapo bado apewe Mwarabu, hehehe nyie kituko.