Vodacom-TZ Kaimu mkurugenzi apatikana

Vodacom-TZ Kaimu mkurugenzi apatikana

Hivi kuna vitu huwa tunafanya kwenye hii mitandao vya ajabu saana kama kumuita huyu dada eti Mama lishe
Hivi mnajua financial performance ya Safaricom ??
Hivi mnafahamu yeye amechangia kiasi gani kwenye performance ya Safaricom ???
Hamuelewi kwanini baada ya mizengwe kama hii watu kama Rostam Abdulrasool Aziz wanauza shares zao Vodacom ??
Kwa taarifa yenu Safaricom chukua profit ya 10 most profitable business sum them up hazifikii profit ya Safaricom
Then jiulizeni kwanini watu walimuwinda huyu dada
Hivi hamjifunzi kitu jinsi Azam Tv ilivyohama na kijiji cha Multichoice na BBC Swahili
Hivi hamjifunzi kitu Serengeti ilivyoiendesha SABC mpaka kukawa hakuna tena Competetion Strategy isipokuwa kuinunua na hiyo ni kutokana talent brains walizo hire kutoka India
Kwa ushindani gani walionao Safaricom? Kencell

Hapa tuna ushindani wa makampuni zaidi ya manne. Small market share, kila mmoja anajitahidi kukamata soko. Kuna wakati Vodacom alikuwa na zaidi ya 40% market share leo kwa sababu ya ushindani yupo 30'

Huwezi kulinganisha na baby Safaricom
 
Our National Interests comes first.

Yaani Mitanganyika yote hiyo amekosekana hata mmoja, hehehe mnatia huruma. Mlimkatalia Mkenya mkisema kunao Watanganyika wenye uwezo huu, hatimaye hajapatikana hata mmoja, hivi shida huwa nini? Japo pia mfumo wenu wa elimu siwezi kuweka wanangu wautumie maana ni kuwadumaza kiakili.
 
Bosi wa safaricom na KQ ni wakenya?
 
Bosi wa safaricom na KQ ni wakenya?

Sio Wakenya na hatujawahi kuzuia mtu kwa kigezo kwamba kuna Wakenya wenye uwezo huo, ni ujuha mzuie kwa kigezo cha kulinda ajira za ndani halafu hapo hapo bado apewe Mwarabu, hehehe nyie kituko.
 
Sio Wakenya na hatujawahi kuzuia mtu kwa kigezo kwamba kuna Wakenya wenye uwezo huo, ni ujuha mzuie kwa kigezo cha kulinda ajira za ndani halafu hapo hapo bado apewe Mwarabu, hehehe nyie kituko.
muachiwe tu mhujumu kama kawaida yenu........hakuna historia ya Mmisri kuhujumu Tz.....ila Kenya........fitna tu
 
Back
Top Bottom