Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Binadamu Na Roho Zao. Maisha Yako Kasi Sana
 
Dah! Yaani ukafukunyua makaburi ili mradi tu kuwaambua watu!!! Tafadhali tafadhali, JPM keshasema tusifukue makaburi...

ha ha haaa.! umeona eeeeeh.! tatizo kuna watu wana roho mbaya sana kiasi kwamba kuwaumbua wakati mwingine ni vizuri ili wakome.

Ona sasa, wakati Vodacom ndo wamedhamini ile Wasafi Beach Party pale Jangwani Sea Breez, lile Tamasha la kufunga mwaka kule Iringa.

Hapo hapo tena Vodacom wamempa tour ya mikoa 10 mwakani 2017, sasa ukiona post kama hiyo na haya yanayoendelea kati ya Mondi na Vodacom, unamhurumia huyo jamaa aliyepost huo utumbo.

usikute ana roho mbaya kama avatar yake.
 
we sio muha yule ni mkongo man we huoni anavyonengua,hawa wakija mjini wanajifanya kwao kigoma lakini ukitrace wana unasaba na ndanda kosovo,
Wanaoishi mpakani mwa kenya ni Wakenya.? Punguza umama
 
Hivi mnaweza kupunguza Ufala kiasi tunaweza Kuelewana.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…