Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtowa= mtoaInawezekana mtowa mada keshakufa
wameyabanduwa = wameyabanduaMabango wameyabanduwa siyo????
Dah! Yaani ukafukunyua makaburi ili mradi tu kuwaambua watu!!! Tafadhali tafadhali, JPM keshasema tusifukue makaburi...Ndo kwanza anafanya maajabu huyo Diamond Platnumz.
Dah! Yaani ukafukunyua makaburi ili mradi tu kuwaambua watu!!! Tafadhali tafadhali, JPM keshasema tusifukue makaburi...
Wanaoishi mpakani mwa kenya ni Wakenya.? Punguza umamawe sio muha yule ni mkongo man we huoni anavyonengua,hawa wakija mjini wanajifanya kwao kigoma lakini ukitrace wana unasaba na ndanda kosovo,
Hivi mnaweza kupunguza Ufala kiasi tunaweza Kuelewana.?Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!