Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpuuzy mkubwa! wewe ndiye CEO wa Vodacom? subiri ukamuliwe kama ng'ombe mpaka unyooke!G1 to G2 m-pesa won't be the same again. Maboresho makubwa ya huduma hiyo. Sio charges kuongezwa. Sheria za mitandao hapa ndo unaona umuhimu wake mtu anaamua tu kupotosha jamii
sasa sio TETESI tena....ni dhahiri makampuni ya simu yote nchini Tanzania yameongeza gharama za kutuma na kupokea fedha kwa njia ya simu na tayari marekebisho hayo yameishasambazwa kwa mawakala wote. nimebahatika kuona nakala hiyo ila nilishindwa kuipiga picha na kuiattach humu kwa sababu simu yangu feki imefungiwa na TCRA. naomba mdau yeyote atakayeipata nakala hiyo aipige picha na kuitupia humu ila kila mtanzania aangalie maumvivu atakayopata. tafadhali administrators naomba mbadilishe status ya heading ya uzi huu kutoka kuwa TETESI na kuwa BREAKING NEWS. na bado.....mabenki nayo yataongeza gharama za kuchukua fedha na kuangalia salio very soon....stay tuned.....tuko pamoja katika maumivu haya hadi mwisho wa dahari!Hii kodi ya miamala hasa haifahamiki...
Jee ni kweli !
mimi nipo katika kutoa huduma ya bima , wateja wetu wengine hulipa kwa mobile money na kuwapeleka cover zao ma offisini jee ikianza kodi hii itakua makato yapo vipi ? Mbona haya eleweki ? Nini maana ya miamala ?
Natoa mfano mmoja kwa gari la private mteja wangu analipa
100,000 + VAT 18% (18,000) =118,000
Ananitumia hio 118,000 kwa Mpesa.
Jee hii premium ita tozwa tena 18% VAT ?
Jee hii itatozwa tena juu yake 10% ya kodi mpya ?
Hapa hesabu haziko sawa, ..ita ua huduma za mobile money..hakuna mteja atae kubali kulipa extra 28,000 juu kwenye bima yake....
Nadhani tueleweshwe vizuri ...na sheria iwe very clear . Nawajua watu wa TRA hii ikipita ni wagumu kujua fomula gani inatumika ...ni wazito sana kutafsiri sheria za kodi zao wenyewe.
Ila kama kodi hii itatumika kwenye base amount ..serikali imekosea sana sana na ikae ifikirie mara mbili...
Itasa babisha kutembea na cash jambo hatari kwa usalama.
je, sasa baada ya "MABORESHO" hicho kipengele cha TUMA KWENDA MTADAO MWIGINE unakiona? hebu tuambie kipo namba ngapi.Unatuma bila shida
Nilini ulikuta kipengele Tuma kwenda mtandao mwingine
hapo kabla?
1-Tuma pesa
2-Toa pesa
3-Nunua muda wa maongezi(japo kwa sasa kuna maboresho ya Vifurushi)
Kipengele cha kutuma mtandao mwingine kilikuwa namba ngapi hapo kabla?