Kama kweli kawashtaki ulipwe ma milion ya pesa kama fidia.hamna kitu cha namna hio mkuu kifurushi ni chajero na breakdown ni hio! Voda naitumia sababu napokelea hela toka nje ya nchi ila kwa style hii ntatafuta mbadala tu! Huu ushenzi itafikia wakati tutaenda kuwavunjia computer zao vodashops! ili nao wasikie uchungu maana kama ndio style yao wanakukata na kukubambikia deni sintokubali!
Customer care kwani ipo sikuhizi? Kile kipengele cha mtoa huduma si wamehamishia whatsapp na facebook eti! Ukipiga 100 hamna option ya kukutanisha na mtoa hudumaPiga simu customer care wakuangalizie zilivyoingia na kutoka kwa miamala mitano ya mwisho
Ukinunua vocha ya elfu 5 lazma ikuletee ujumbe kuwa umefanikiwa kujiunga bando la 5000! Sasa corresponding text inasoma 500 unadhani hapo kuna nini kama sio janja janja?Huenda wakati wa kununua kifurushi cha 500 ulibonyeza 0 mara 3 bila kuhakiki au 0 ya 3 ilichelewa kurespond mfumo ukasoma 5000
Inategemea kama ulisoma vigezo na masharti wakati unachukua huo mkopo, sema uwa hatusomi.Hivi wana Haki ya kuingia kwenye acc yangu ya Mpesa??
Nchi gani iyo wanatuma buku jeroVoda naitumia sababu napokelea hela toka nje ya nchi
Ungechek statement orodha ya miamala uliyoifanya tangu siku hyo pesa ilipobakiamkuu songesha nafanyaga ila sijawahi chukua zaidi ya buku na ukiweka salio mpesa tu wanakata hela yao chap. So huwa sifugi madeni kabisa sasa hilo deni ambalo wao wanasema ni lipi?
Hapo vodashop wanakuhusu kiongoziUkinunua vocha ya elfu 5 lazma ikuletee ujumbe kuwa umefanikiwa kujiunga bando la 5000! Sasa corresponding text inasoma 500 unadhani hapo kuna nini kama sio janja janja?
Kama ungelikuwa na deni ungekatwa kwanza hio 500 ya kifurushi na ungepewa meseji ya balance ya deni lililobaki, kampuni haina haki wala uhalali wa kujichukulia pesa kwenye account ya Mpesa, sambamba na hilo ungalipaswa hapa useme hatua ulizochukua, majibu yao na hitimisho, use customer care services kwa simu na mawakala wa Karibu.Mkuu sijawahi kukopa wanioneshe hio list ya mkopo wao kama nahusika vipi sababu sijawahi kopa hela kwao na sidaiwi nao
Huduma kwa wateja ni kama haipo ukipiga 100 hupewi option ya kukuunganisha na mtoa huduma. Inakuwa very useless ni mpaka uchat nao facebook sijui whatsapp. Nataka prompt answers sio kuanza kuchati na watoa hudumaUngechek statement orodha ya miamala uliyoifanya tangu siku hyo pesa ilipobakia
Au ungepiga huduma Kwa wateja
Omba statement wewe miamala yote utapata kuiona na ayo makato utafahamu yamesababishwa na nn
Ni vema tukafikiri kabla ya kuandika. Amesema salio lilikuwemo hata kabla ya huo muamala. Akiwa na maana kwamba pesa imekatwa baada ya miamala zaidi kufanyika. na hata kama wanamdai huwa kuna meseji huambatana na ukataji wa salio, ilikuwaje wakakata kmyakimya? Mimi kuna siku nilitaka kusongesha ila sikufanikiwa. Ilikuja meseji yenye ujumbe "outgoing message"! Pesa sikuiona wala muamala haukufanikiwa, ajabu nilipoweka salio tu wakapita nalo kama upepoTatizo ulikopa ukaingia mitini ukajua wamesahau, washarudisha chao.
Mikopo wa muda wa maongezi au mkopo wa mpesa?!Inategemea kama ulisoma vigezo na masharti wakati unachukua huo mkopo, sema uwa hatusomi.
Piga 100, kadiri unavyoenda kwenye tatizo mahususi ndipo unavyokaribia kuunganishwa kwa simu na mtoa huduma. Usiishie kwenye menu ya kwanza, bonyeza namba ya huduma husika, bonyeza tena kuwa specific, bonyeza tena kuwa more specific mwisho utaambiwa "kuwasiliana na mtoa huduma, bonyeza n" where n is an integer representing the number of specific choiceNipe namba ambayo nikipiga nitaunganishwa na mtoa huduma. Maana ukipiga 100 unatangaziwa huduma zao tu sio kupatiwa mtoa huduma uongee nae.
YoteMikopo wa muda wa maongezi au mkopo wa mpesa?!