Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpesa wanahusikaje na mkopo wa muda wa maongezi?Yote
Mkuu hawachoti ela kwenye Mpesa, nachomaanisha ni kwamba uwa hatusomi terms ila wanaweza kukata deni lao kwenye acc yako ya mpesa kama ulikopa kwenye huduma za Mpesa au wakakata ela ya mpesa unayojarbu kujiunga kifurushi kama ulikopa vocha.mpesa wanahusikaje na mkopo wa muda wa maongezi?
Ushauri angalia statement ndipo uje na malalamiko hapa, huenda simu yako wanatumia wengi na namba ya siri pia wanajua! Huenda kuna mtu wa karibu yako aliyetumia kwa kununua bando au kutuma kwake!! Jiridhishe kuwa watu wako wa karibu hawajatumia hiyo pesa yako!! Unaweza kuja kufunga familia yako au mtu wako wa karibu!!Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe uliorudi MPESA kuja kwangu ulisoma kuwa salio lililobaki ni Tsh.10,000.
Hii inaashiria wameniibia sh.5000 nzima pasipo na sababu ya msingi.
Hili swala ni above and beyond halivumiliki napataje haki yangu kama mteja wakuu. Hawa jamaa naona mazoea yamezidi wanakwapua hela kwenye account za MPESA na kujikausha. Imenikera mno!!!
STATEMENTS HIZO TOKA VODA.
View attachment 2247775
Statement iko mwanzo wa bandikoUshauri angalia statement ndipo uje na malalamiko hapa, huenda simu yako wanatumia wengi na namba ya siri pia wanajua! Huenda kuna mtu wa karibu yako aliyetumia kwa kununua bando au kutuma kwake!! Jiridhishe kuwa watu wako wa karibu hawajatumia hiyo pesa yako!! Unaweza kuja kufunga familia yako au mtu wako wa karibu!!
Hamia Tigo,Acha ujinga kuna kitu kinaitwa world remit na sendwave. Tafta elimu juuu yake