Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

mpesa wanahusikaje na mkopo wa muda wa maongezi?
Mkuu hawachoti ela kwenye Mpesa, nachomaanisha ni kwamba uwa hatusomi terms ila wanaweza kukata deni lao kwenye acc yako ya mpesa kama ulikopa kwenye huduma za Mpesa au wakakata ela ya mpesa unayojarbu kujiunga kifurushi kama ulikopa vocha.
My point is, mtu unaweza kuwa unahisi unaweza kuwashitaki kumbe hukusoma terms zao
 
Ushauri angalia statement ndipo uje na malalamiko hapa, huenda simu yako wanatumia wengi na namba ya siri pia wanajua! Huenda kuna mtu wa karibu yako aliyetumia kwa kununua bando au kutuma kwake!! Jiridhishe kuwa watu wako wa karibu hawajatumia hiyo pesa yako!! Unaweza kuja kufunga familia yako au mtu wako wa karibu!!
 
Statement iko mwanzo wa bandiko
 
Acha ujinga kuna kitu kinaitwa world remit na sendwave. Tafta elimu juuu yake
Hamia Tigo,
World Remit inatumika pia,
Back to Topic; Ungeenda Makao makuu yao kupeleka Lalamiko lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…