MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Pole sana Bossi na Samahani..Voda ni matapeli kwasababu hizi zifuatazo
Mwezi novemba nilipokea meseji kutoka vodacom ofa ikiniambia nimepata ofa ya hii hapa chini, angalia muda wa hiyo meseji hapo ni saa 6 na dakika 4
View attachment 2048673
Wakati nikiendelea kutabasamu na kufikiria ni namna gani nimeianza siku kwa zari nikastukizwa na meseji hii ya pili
View attachment 2048677
Angalia hapo hizo meseji zimepishana dakika 20, nikasema leo mbona kama dilwale sherehe ya kihindi mazari hayaniishi
Lakini kumbe ilikua bosheni hizo meseji zilikua ni prank tu
Sasa kwa mwenendo huo wanaepukaje kuitwa matapeli?
Naomba uscreenshot apo juu pia tuone sender ni nani then tuendelee..
Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]