Vodacom wamenifanyia ujambazi kwa mara ya pili

Vodacom wamenifanyia ujambazi kwa mara ya pili

Voda ni matapeli kwasababu hizi zifuatazo

Mwezi novemba nilipokea meseji kutoka vodacom ofa ikiniambia nimepata ofa ya hii hapa chini, angalia muda wa hiyo meseji hapo ni saa 6 na dakika 4

View attachment 2048673

Wakati nikiendelea kutabasamu na kufikiria ni namna gani nimeianza siku kwa zari nikastukizwa na meseji hii ya pili
View attachment 2048677

Angalia hapo hizo meseji zimepishana dakika 20, nikasema leo mbona kama dilwale sherehe ya kihindi mazari hayaniishi

Lakini kumbe ilikua bosheni hizo meseji zilikua ni prank tu

Sasa kwa mwenendo huo wanaepukaje kuitwa matapeli?
🤣 hawa jamaa
 
Mkuu una watetea tu
Nakumbuka kipind flani nilikuwa mbeya nilipigishwa danadana pesa yangu baina ya voda na airtel hadi nikaisamehe tu
Wakati mm sio mtu wa madeni na walasipendagi kukopai
Next time unawafungulia kesi TCRA Bossi wanakulipa pesa za kutosha acheni kuwa wanyonge..
 
Ndo zao hawa 🤣
halaf kama wanakudai jero la salio ukinunua kifurushi maybe cha buku mpesa
Wanakata jero yao halaf jero inayo baki unapewa kama salio

Yani wizi wizi tu ndio umewajaa
 
Next time unawafungulia kesi TCRA Bossi wanakulipa pesa za kutosha acheni kuwa wanyonge..
We acha tu
nikiwapigia voda wanasema hela haijaja
Nikiwapigia airtel wanasema hela imeshafika

Nikawa najiuliza baina yao nani jambazi hapo
Had nikapotezea tu 😒
 
Voda sio matapeli Bossi, it does depend na the way unavotumia laini yako. Nakumbuka zamani nlikua na Imani kama yako juu ya huu mtandao but now mambo ni bullbull[emoji91][emoji91]

Kwa utafiti wangu usio rasmi nmegundua wengi wa watu wanaolalamikia hii mitandao ni either wanakopa na hawalipi deni maana voda ndo mtandao unaoongoza kwa kukopesha wateja wake..

Imagine mtu kakopa nipige tafu, kasongesha muamala, kakopa mpawa na hela zenyewe kwake ni za kusikilizia au kudownload unategemea nn.

Tukiweka kando mambo ya technical defects kwenye masuala mazima ya online transactions ambazo pia ni Minor sana ambapo mteja ndo anakuwa na makosa mostly kwa kukosa umakini, Vodacom unabakia kuwa mtandao Bora sana Hapa nchini afu Tigo wanafuata maana mitandao mingine mi siijui[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Oya unao watetea sio matapeli wacheki na hapa wametuma na nyingine muda huu kama ile ile

1640429584049.png
 
Back
Top Bottom