Vodacom wamenifanyia ujambazi kwa mara ya pili

Pole sana Bossi na Samahani..
Naomba uscreenshot apo juu pia tuone sender ni nani then tuendelee..

Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wanausemi wao wanasema sim yko kama kubwa imekuraaa helaa πŸ˜‚πŸ˜‚
Voda kujiunga kifurushi cha 3000 wkt mwingine uwe na 3100 itakubali

Ova
 
Wanausemi wao wanasema sim yko kama kubwa imekuraaa helaa [emoji23][emoji23]
Voda kujiunga kifurushi cha 3000 wkt mwingine uwe na 3100 itakubali

Ova
Hilo nmelitolea ufafanuzi Bossi rejea apo juu utapata suluhisho juu ya tatizo lako...

Vodacom - PowerToYou[emoji1241][emoji1241]
 
Ndo tabia zao hao matapeli wakubwa
 
Pole sana Bossi japo still bado siamini maana haijawah kunitokea..

Cha kukusaidia apo ni bora udownload TrueCaller App then block all scam messages kama izo kuepuka usumbufu
Hiyo sio scam hiyo ni real mesaage kutoka officcial sender kabisa, na kuna matangazo kibao ya ofa ambayo nimekua nikitumiwa kupitia jina hilo
 
Kweli uchumi umeyumba, Tsh 250/- tu hutaki kulipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila voda bana , kuna siku nilimnunulia bi mkubwa kifurushi cha 1500/- , kupitia Mpesa yangu, wakaniambia kifurushi kimefika , khe kumbe kule bi mkubwa kapokea sms kuwa " Asante kwa kulipa shilingi 1,500/- sehemu ya deni lako la shilingi 2,500/-, deni lako lililobaki ni sh 1,000/-"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifurushi wamekibadilisha tena kuwa hela wakajilipa deni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu una watetea tu
Nakumbuka kipind flani nilikuwa mbeya nilipigishwa danadana pesa yangu baina ya voda na airtel hadi nikaisamehe tu
Wakati mm sio mtu wa madeni na wala sipendagi kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…