Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Ni hudhuniWaliokubuhu, hudumq zimekua mbovu wanaboresha wizi, huwezi iba dakika 700+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hudhuniWaliokubuhu, hudumq zimekua mbovu wanaboresha wizi, huwezi iba dakika 700+
Ndio maana nawaona wahuni huni, nikifanya muamala mara waniambie huduma hii haipatikaniNetwork pia ipo slow sana
Hudhuni❌Ni hudhuni
ana mwanasheria wake binafsi huwa anamlipa mwisho wa mweziHuna haja ya kwenda na mwanasheria, wewe kawakabe watakurudishia tu, kesi ndogo hiyo usiongeze gharama.
Starlink inakuja usiwazeAirtel wakifanya uhuni nanunua kitochi sitaki kifurushi cha internet.
Eeh kwako Halotel wameanza eeh 😄😄hao nao ni wezi tangu mdaWakitoka Vodacom wanakuja Halotel nao wameanza Wizi wa vifurushi
Nenda Medson usikubali kuibiwa kizembe ,naomba baada ya kuwabananisha vizuri unipe majibu rafikiNimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998
View attachment 3154486
Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history.
Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika kuisha na wala nisingeweza kutumia dakika 998 kwa siku ya jana,
Leo nimeamka asubuhi napiga simu naambiwa sina salio, baada ya kuangalia salio nakuta sina dakika hata moja
View attachment 3154516
Nimeongea na mhudumu wao yeye mwenyewe baada ya kukagua amekua shoked na kunipa zile sound zao za ombi lako litashuhulikiwa baada ya masaa 24 nimemwambia kauli hii sio ngeni jijini labda kwa wageni wa mji, kesho asubuhi sina kazi wafanyakazi watanikuta getini na sitoki ofisini kwao bila dakika zangu kuwepo kwenye simu
Sitakubali sound yoyote ile ya nenda dakika zako zitarejea otherwise wanirudishie pesa yangu.
Ni vibaka wazoefu wameanza kunichakaza mbaya sanaEeh kwako Halotel wameanza eeh 😄😄hao nao ni wezi tangu mda
Labdah starlink akija ndio atawapa changamotoNi vibaka wazoefu wameanza kunichakaza mbaya sana
Akili yangu ndogo inawaza tu....haiwezi kuwa mpango wa starlink sijui ya bwana Elon Musk kufanyia figisu voda wateja tuhame ikija..au wajiunge watengeneze kitu cha pamoja cha kuuzia wateja?Network pia ipo slow sana
Jana nmenunua GB za kutosha naamka asubuhi 0 MB halafu hakuna hata nilichokifanya nimeamua kuwaangalia tuLabdah starlink akija ndio atawapa changamoto