Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika kama umeelewa kinachoongelewaKimsboy, Kama wanakufai na hutaki kulipa, Wana haki ya kutumia any safe means kupata haki Yao.
Kabla hujakopa nipige tough, soma terms zao.
Ndiyo maana ya ule msitari wa "vigezo na masharti kuzingatiwa".
Term na condition ni kuwa na line yenye muda wa siku 30 iwe uweze ku access nipige tafu izo blah blah zingine hawajaeleza nipo Na mtoa mada kwa hili voda ni majizi
Sasa si ulipe deni mwnyw kwanza kwa mpesa then ndo ununue kifurushi?Mkuu hujanielewa.
Tatizo sio kukata pesa yao, tatizo wanakata pesa yao halafu hizo nyengine wanazichukua wanakuwekea kwenye salio la kawaida hili ndo tatizo, dawa ya deni ni kulipa na ndivyo ilivyo wakate pesa yao lakini sio wakishakata wanachukua na pesa yote ilobaki kwenye mpesa na kuiweka katika salio la kawaida
Sasa si ulipe deni mwnyw kwanza kwa mpesa then ndo ununue kifurushi?
Sjui unalalamika nini arifu.
Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu
Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua kifurushi kupitia mpesa mfano kifurushi cha 5000 wanachokifanya ukilipia kwa mpesa wanachukua elfu 5 ulolipia kifurushi kwa mpesa hawakupi kifurushi bali wanaielekeza hiyo 5000 kuja kwenye salio la kawaida wanakata 500 yao halafu hiyo 4500 iliyobaki wanaibakisha kwenye salio la kawaida haya wanafanya bila hiari ya mteja huu ni wizi
Kwanini wasikate pesa wanayodai tu badala yake wanaingia kwenye mpesa na kukomba kiasi chote ulichotarajia kununua kwenye mpesa kisha wanaweka kwenye salio la kawaida bila khiari ya mteja? Huu utaratibu wa kibazazi voda mmeutowa wapi?hii ni too much kwa kweli
Tatizo sio kukata pesa yao, tatizo wanakata pesa yao halafu hizo nyengine wanazichukua wanakuwekea kwenye salio la kawaida hili ndo tatizo, dawa ya deni ni kulipa na ndivyo ilivyo wakate pesa yao lakini sio wakishakata wanachukua na pesa yote ilobaki kwenye mpesa na kuiweka katika salio la kawaida...
"Vigezo na masharti kuzingatiwa, Vodacom kazi ni kwako"Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu
Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua kifurushi kupitia mpesa mfano kifurushi cha 5000 wanachokifanya ukilipia kwa mpesa wanachukua elfu 5 ulolipia kifurushi kwa mpesa hawakupi kifurushi bali wanaielekeza hiyo 5000 kuja kwenye salio la kawaida wanakata 500 yao halafu hiyo 4500 iliyobaki wanaibakisha kwenye salio la kawaida haya wanafanya bila hiari ya mteja huu ni wizi
Kwanini wasikate pesa wanayodai tu badala yake wanaingia kwenye mpesa na kukomba kiasi chote ulichotarajia kununua kwenye mpesa kisha wanaweka kwenye salio la kawaida bila khiari ya mteja? Huu utaratibu wa kibazazi voda mmeutowa wapi?hii ni too much kwa kweli
Tatizo sio kukata pesa yao, tatizo wanakata pesa yao halafu hizo nyengine wanazichukua wanakuwekea kwenye salio la kawaida hili ndo tatizo, dawa ya deni ni kulipa na ndivyo ilivyo wakate pesa yao lakini sio wakishakata wanachukua na pesa yote ilobaki kwenye mpesa na kuiweka katika salio la kawaida...
Hujaelewa. Hebu soma kwa kituo mkuuLipa deni mzee, hii tabia ya kihuni mtaacha lini watanzania? Obligation yako huijui endapo unaingia mkataba wa kukopa? Mi naona hao jamaa hawana tatizo ila wewe ndio mwenye shida mahali flani!
Vodacom, hapo poooa!!!
Achana naoHujaelewa. Hebu soma kwa kituo mkuu
Kabla ya kununua kifurushi kipya ulipaswa kulipa deni lao kwanza, vinginevyo adhabu waliyokupa ulistahili sana.