Vodacom wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu

Axheni
Lipa Deni mkuu hakuna hiyari kwenye kulipa deni
 
Hapa hamjamuelewa mtoa mada ,ni kwamba wanakata ela yao wanaokudai alafu iliyo baki wana amisha yote kuwa salio la kawaida au vocha ambayo mdaiwa haitaji yote kuwa wakati uo...
Alipe mapema hata mm huwainatokea
 
Nimesikitika kusikia bado kuna watu wanatumia voda kwenye internet, mi naitumia kupokea pesa tu!
 
Dawa ya deni kulipwa
 
Lipa deni mzee, hii tabia ya kihuni mtaacha lini Watanzania? Obligation yako huijui endapo unaingia mkataba wa kukopa? Mi naona hao jamaa hawana tatizo ila wewe ndio mwenye shida mahali flani!

Vodacom, hapo poooa!!!
Yaani tabu tupu,unakopa 500 dume zima ya nini, huna salio jaza pesa basi
 
Songesha hajalazimishiwa mtu, ndo maana ukiitaka inabidi ujiunge.. masharti na vigezo vyao ndo hivyo, kama unaona wanakuingilia kwenye akaunti yako ya mpesa, piga chini songesha.. Acha wengine ambao wanaona ina faida kwao waendelee nayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…