njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi Nape Nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika.
Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu hizi sidhani kwa kweli, waziri muhusika anaishi kwenye dunia yake kabisa.
Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu hizi sidhani kwa kweli, waziri muhusika anaishi kwenye dunia yake kabisa.