Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

Japo maisha ni kuchagua ila access ya net ni muhimu sana TTCL ilikua mda wao sasa wangekua wajanja wakasambaza neti nchi nzima watu tupate net za malipo ya mwezi ila kwa hizi bei kama sina jambo muhimu naenda nunua nyama nusu na piga na double kick yangu basi nalala tu.

Masikini kunapitia wakati mgumu sana sana MUNGU tusaidie
Wakati Vodacom 2000 unapata gb 1 sms 10 na dakika 40 Kwa Hela hiyohiyo ttcl unapata mb 800 bila sms Wala dakika
 
Nilivyoelewa hapo Bw Waziri kamaanisha huyo Mlalamikaji si Mkweli na sijaona mahali anatetea hili...labda kama kuna maelezo ya ziada ili nami niweze kumzodoa kwa haki.

Mimi ni natumia mtandao mwingine ingawa najua bado sipo salama maana ni yale yale ya kutoka duka la Suresh kuingia kwa Chavda.
 
umeelewa nilichokiandika au umesoma ttcl basi ukajibu
Nimeelewa ndio maana nikaongezea Kwa kifupi ttcl ama Ina tatizo la uongozi au Kuna hujuma kwani angepata wateja wengi na kupata faida kubwa.
Rejea taarifa ya TCRA kuwa watu 90000 waliacha kutumika lakini za ttcl
 
niko kwenye internet ya majumbani mkongo sio simcard mzee huko ttcl usiguse poor speed ufanisi hakuna
 
Nilivyoelewa hapo Bw Waziri kamaanisha huyo Mlalamikaji si Mkweli na sijaona mahali anatetea hili...labda kama kuna maelezo ya ziada ili nami niweze kumzodoa kwa haki.

Mimi ni natumia mtandao mwingine ingawa najua bado sipo salama maana ni yale yale ya kutoka duka la Suresh kuingia kwa Chavda.
mnuka jasho kalalamika kwamba voda ni wezi, waziri kamuita mpotoshaji,maana yake nini sasa? voda siyo wezi wako sahihi mnuka jasho ndiye muongo
 
Hata mimi nilkuwa naona ni gharama isiyo lazima mpaka nilipoelimishwa kuwa baadhi ya faida za Mwenge ni kusaidia Vijiji na Wilaya kutosahauliwa, la sivyo kuna sehemu za nchi hii zinaweza kusahaulika kabisa kwa kutofikiwa na shughuli au Kiongozi wa Kitaifa.

Na kuna ule usemi maarufu unaosema "Mwenge hauruki Kijiji".

Haya ya kusema sijui "moto umefanya nini" ni yale yale ya tabia zetu za kutukuza mambo ya kusadikika na ushirikina...wewe chukulia Mwenge kama alama (symbol) tu, kama ilivyo Siwa pale Bungeni au Nyota kwa Mwanajeshi n.k.

Watanzania tuache ushirikina unatudumaza sana.
Wewe utakuwa ni sehemu ya washirikina kama unapinga huu mwenge siyo wa kishirikina na laana Kwa Taifa.

Ni kiongozi yupi wa kitaifa anayekimbiza huo mwenge wa kishirikina vijiji?
 
Wewe utakuwa ni sehemu ya washirikina kama unapinga huu mwenge siyo wa kishirikina na laana Kwa Taifa.

Ni kiongozi yupi wa kitaifa anayekimbiza huo mwenge wa kishirikina vijiji?
Acha ushirikina Mkuu, anayeogopa ushirikina na anayetekeleza mambo ya kishirikina ni kitu kimoja.

Hakutakuwa na Ushirikina kama Mtaacha kutishiwa na kukubali kutishika na Washirikina.

Mimi sio mshirikina na kamwe Binaadamu mwenzangu hawezi kunitishia kuwa ananiloga, kwa lipi la zaidi alilonalo?
 
Forojo Ganze, alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere),zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee.

Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia ktk hilo shimo kwaajili ya kuuliza,alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wa Dar es salaam,kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi akiwa kama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika,wenzake wakiwa wanaongozwa na Yahaya Hussien walimbeba hadi ikulu Dar es salaam na walipomfikisha mbele ya mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa kiswahili kisha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115,kisha akakata roho,baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani,baada ya hapo aliwagiza yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115.

Kama kawaida ya shehe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38,hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115,na hii ndivyo ilivyokuwa,mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema,mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa bukoba jambo la kitaifa?,zindiko la bagamoyo linafanya kazi ,Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni. 1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920,2.Ally tarazo(1929),3.Komwe wa Komwe(1918),4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na 5.Forojo Ganze (1902
 
Kila sehemu wameweka wale wenye roho ngumu ya kutetea wizi na hawana huruma na Wananchi hata kidogo...
 
Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.

Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi).

Sasa hvc wengi ambao ni wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa serikali huwa wanawekewa line zao kuwa postpaid kwa mikataba na waajiri wao.

Mteja wa postpaid lazima awekewe maximum amount atakayotumia kwa mwezi.. na hii ndio credit limit. Hawezi kuvuka hapo unless kuwe na mawasiliano na makubaliano mapya.

Sasa nimeshangaa wewe kusema alitumia 70m bila kujua mpaka walipoletewa bili. Hili nalikataa. Tena hao ccm wabahili hakuna mtu anayeweza kupewa matumizi ya simu yenye limit zaidi ya 1m.
Usichokijua ni kuwa ukiwa una Roam ukiwa USA kama Carrier atakuwa Verizon, T-Mobile au AT&T utachajiwa kwa rate zao sio za voda.

Kumbuka kule wale wanachaji kwa USD na ukiwa foreigner ni kama huku tunavyowafanyia kule mbugani. Kitu ambacho mzawa anapewa kwa dollar 5 wao tunawalipisha dollar 50. Na kwao ni hivyo hivyo.
 
Hapa umeongea kama layman.

Ngoja nikupe shule ili usikosee kesho. Ukienda kufanya roaming kwenye nchi nyingine tunaita outbound roaming. Kuna both postpaid na prepaid.

Uwapo nchi yoyote bado unachajiwa na kampuni yako ya nyumbani ila yeye naye atamlipa mshirika wake uliyemtumia (mfano labda T-mobile kule US) kiasi fulani ambacho wamekubaliana kwa kila huduma.

Mara nyingi hao washirika wala hawachaji sana.. huwa kila kampuni inapambana ipate gharama ndogo lakini yeye anawakamua wateja wake haswa. Hiki ndio kinaendelea kuhusu gharama za roaming.

Hivyo mbaya wako ni huyo huyo wa nyumbani ingawa kuna baadhi ya nchi gharama zao ni kubwa kama Cuba, Burundi na Gambia.
 
Lile bichwa kubwa la Nape usutarajie likawa upande wa wananchi wakati linapokea rushwa toka katika makampuni ya simu
 
Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi nape nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika.

Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu hizi sidhani kwa kweli, waziri muhusika anaishi kwenye dunia yake kabisa.

View attachment 2345315
vocha wanawekewa maumivu wapate wapi wewe maskini mwenzangu!.
 
Hapa umeongea kama layman.

Ngoja nikupe shule ili usikosee kesho. Ukienda kufanya roaming kwenye nchi nyingine tunaita outbound roaming. Kuna both postpaid na prepaid.

Uwapo nchi yoyote bado unachajiwa na kampuni yako ya nyumbani ila yeye naye atamlipa mshirika wake uliyemtumia (mfano labda T-mobile kule US) kiasi fulani ambacho wamekubaliana kwa kila huduma.

Mara nyingi hao washirika wala hawachaji sana.. huwa kila kampuni inapambana ipate gharama ndogo lakini yeye anawakamua wateja wake haswa. Hiki ndio kinaendelea kuhusu gharama za roaming.

Hivyo mbaya wako ni huyo huyo wa nyumbani ingawa kuna baadhi ya nchi gharama zao ni kubwa kama Cuba, Burundi na Gambia.
Kwahio kumbe mchawi ni Vodacom Tz
 
Jamaa ni takatakaa sanaa... yani moja ya watu waliolewa madaraka ni yuleee kengeee...!!
 
Back
Top Bottom