Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

Tofautisha Pre paid service, hio wanayowekewa credits kila mwezi.

Alikua anatumia postpaid service, hio mtu anatumia tu then anakua charged baadae.

Hio Changamoto ilihusika na timu yetu.
Hakuna mteja wa prepaid anayewekewa credit limit kwasababu yupo huru kuweka kiasi chochote atakacho... hapa naongelea mteja wa postpaid.
 
Nieleze postpaid na prepaid unazieleweje!?
Maana ni kama sikuelewi unachobisha.

Then nimekuambia alitumia roaming service vibaya kwenye data akiwa US, ila akiwa Tanzania bill zake hata 1 mil ulikua haifiki.
 
Labda hiyo issue ilimuathiri kisaikolojia akawa anaona kama USA roaming ilileta bill hiyo basi internet bongo ni cheap sana ,alivyopata chance ya uwaziri anakomesha wanuka jasho kwa nguvu zake zote ,wakilalamika anawashangaa kwamba mbona TZ badoni cheap sana
 
Nieleze postpaid na prepaid unazieleweje!?
Maana ni kama sikuelewi unachobisha.

Then nimekuambia alitumia roaming service vibaya kwenye data akiwa US, ila akiwa Tanzania bill zake hata 1 mil ulikua haifiki.
Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.

Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi).

Sasa hvc wengi ambao ni wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa serikali huwa wanawekewa line zao kuwa postpaid kwa mikataba na waajiri wao.

Mteja wa postpaid lazima awekewe maximum amount atakayotumia kwa mwezi.. na hii ndio credit limit. Hawezi kuvuka hapo unless kuwe na mawasiliano na makubaliano mapya.

Sasa nimeshangaa wewe kusema alitumia 70m bila kujua mpaka walipoletewa bili. Hili nalikataa. Tena hao ccm wabahili hakuna mtu anayeweza kupewa matumizi ya simu yenye limit zaidi ya 1m.
 
Ili Ku-balance Habari angeweka na screenshot ya Kifurushi cha Awali
 
Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi)...
Unakataa kitu nilikua nashughulika nacho ... Ok upo sahihi wewe basi.

Hiyo bill ukiwa roaming, na roaming partner wako huko ana gharama wala sio jambo la kushangaza.

Kikubwa ilitakiwa awe alerted kuwa mfumo unaonesha ana accumulate bill kubwa, azime Data au atumie Wi-Fi huko.
 
Ili Ku-balance Habari angeweka na screenshot ya Kifurushi cha Awali
kule twitter nape kawekewa hadi videos watu wakiingiza kwenye menu inaonekana tshs 3000 ni mb 1300 badala ya 1500 za jana tu, kanyamaza kimya labda anaandaaa maelezo ya kuwatetea vodacom manake kwenye suala la bando hayupo upande wa wanuka jasho hata kidogo yeye ana roll na big boys only
 
Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.

Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi).

Sasa hvc wengi ambao ni wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa serikali huwa wanawekewa line zao kuwa postpaid kwa mikataba na waajiri wao.

Mteja wa postpaid lazima awekewe maximum amount atakayotumia kwa mwezi.. na hii ndio credit limit. Hawezi kuvuka hapo unless kuwe na mawasiliano na makubaliano mapya.

Sasa nimeshangaa wewe kusema alitumia 70m bila kujua mpaka walipoletewa bili. Hili nalikataa. Tena hao ccm wabahili hakuna mtu anayeweza kupewa matumizi ya simu yenye limit zaidi ya 1m.
Vocha, kununua thru mifumo ya kifedha, hela wanayowekewa wafanyakazi maofisini ,ambapo kunakua na mkataba kati ya ofisi na kampuni ya simu mwanzoni mwa kila mwezi kampuni inawa credit hao staffs kwa viwango na majina yaliyoletwa ....Hio ni Pre paids issues.

Sasa kuna Postpaid, hio mtu anatumia tu, sana sana utam alert kama kuna changamoto maana unaona kila kitu kwenye mfumo. Kuna madon mjini na mabosi wakubwa ndio huduma zao.
 
Unakataa kitu nilikua nashughulika nacho ... Ok upo sahihi wewe basi.

Hiyo bill ukiwa roaming, na roaming partner wako huko ana gharama wala sio jambo la kushangaza.

Kikubwa ilitakiwa awe alerted kuwa mfumo unaonesha ana accumulate bill kubwa, azime Data au atumie Wi-Fi huko.
Unachokiongea hapa ni kitu ambacho kitakuwa technological miracle kutokea kwasababu kwenye roaming kuna report zinaitwa HUR (high usage reports) za kila siku na pia kuna NRTRDE (near real time roaming data exchange) ambazo zinatumwa every 4hrs kuhakikisha hakuna fraud inayotokea au kuwa na over usage ya mteja yoyote.

Ndio maana ninakataa kwasababu mimi nimefanya kazi kama roaming/ireg engineer miaka ya kuanzia 2010 mpaka 2015.
 
We jamaa, Mimi sitokutajia miaka, kuna mtu ataconnect dots,

Thus why ali dispute cz kuna jambo alikukaa sahihi.
 
Vocha, kununua thru mifumo ya kifedha, hela wanayowekewa wafanyakazi maofisini ,ambapo kunakua na mkataba kati ya ofisi na kampuni ya simu mwanzoni mwa kila mwezi kampuni inawa credit hao staffs kwa viwango na majina yaliyoletwa ....Hio ni Pre paids issues.

Sasa kuna Postpaid, hio mtu anatumia tu, sana sana utam alert kama kuna changamoto maana unaona kila kitu kwenye mfumo. Kuna madon mjini na mabosi wakubwa ndio huduma zao.
Narudia tena hakuna postpaid isiyokuwa na credit limit. Hata rostam aziz alikuwa na credit limit enzi zile ameenda world cup south africa akawa anatuma email tumuongezee.🤣
 
Uko sahihi
 
Mwenge una uzuri wake, Kuna maeneo mengi viongozi wa eneo wanalazimika kuanzisha miradi mbalimbali kutokana na mwenge.

Kwahiyo, ni ukimbizaji wa shughuli ya uanzishwaji na ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali Tanzania (mara nyingi huwa tunapata taarifa kuwa miradi kadhaa imekataliwa kufunguliwa kutokana na kuwa chini ya kiwango au kutoendana na thamani ya fedha).
Hata mimi nilkuwa naona ni gharama isiyo lazima mpaka nilipoelimishwa kuwa baadhi ya faida za Mwenge ni kusaidia Vijiji na Wilaya kutosahauliwa, la sivyo kuna sehemu za nchi hii zinaweza kusahaulika kabisa kwa kutofikiwa na shughuli au Kiongozi wa Kitaifa.

Na kuna ule usemi maarufu unaosema "Mwenge hauruki Kijiji".

Haya ya kusema sijui "moto umefanya nini" ni yale yale ya tabia zetu za kutukuza mambo ya kusadikika na ushirikina...wewe chukulia Mwenge kama alama (symbol) tu, kama ilivyo Siwa pale Bungeni au Nyota kwa Mwanajeshi n.k.

Watanzania tuache ushirikina unatudumaza sana.
 
Back
Top Bottom