Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Hakuna mteja wa prepaid anayewekewa credit limit kwasababu yupo huru kuweka kiasi chochote atakacho... hapa naongelea mteja wa postpaid.Tofautisha Pre paid service, hio wanayowekewa credits kila mwezi.
Alikua anatumia postpaid service, hio mtu anatumia tu then anakua charged baadae.
Hio Changamoto ilihusika na timu yetu.
Nieleze postpaid na prepaid unazieleweje!?Hakuna mteja wa prepaid anayewekewa credit limit kwasababu yupo huru kuweka kiasi chochote atakacho... hapa naongelea mteja wa postpaid.
Twenden Uganda kwenye internet ya bureVoda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi nape nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikwweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika...
Wana maslahi hawa hilo sio la kuuliza mkuuhili suala la bando huyu jamaa sijui ana maslahi gani yeye kila siku watu wakilalamika anawaita wapotoshaji,duh
Labda hiyo issue ilimuathiri kisaikolojia akawa anaona kama USA roaming ilileta bill hiyo basi internet bongo ni cheap sana ,alivyopata chance ya uwaziri anakomesha wanuka jasho kwa nguvu zake zote ,wakilalamika anawashangaa kwamba mbona TZ badoni cheap sanaNieleze postpaid na prepaid unazieleweje!?
Maana ni kama sikuelewi unachobisha.
Then nimekuambia alitumia roaming service vibaya kwenye data akiwa US, ila akiwa Tanzania bill zake hata 1 mil ulikua haifiki.
Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.Nieleze postpaid na prepaid unazieleweje!?
Maana ni kama sikuelewi unachobisha.
Then nimekuambia alitumia roaming service vibaya kwenye data akiwa US, ila akiwa Tanzania bill zake hata 1 mil ulikua haifiki.
Huko ulipohamia hawajapandisha? Unafikiri Voda akioandisha, tigo, halotel Airtel Bei zinabaki vilevile? Akili ni nyweleNimewahama nina miaka 2 sasa,waendelee tu kupandisha
Baada ya Mbaya wao Aliyekuwa anawabana Kuondoka.awamu ya sita ni kiboko aiseee WANA DHARAU, KEBEHI NA MAJIGAMBO YALIYOPITILIZA
Unakataa kitu nilikua nashughulika nacho ... Ok upo sahihi wewe basi.Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.
Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi)...
kule twitter nape kawekewa hadi videos watu wakiingiza kwenye menu inaonekana tshs 3000 ni mb 1300 badala ya 1500 za jana tu, kanyamaza kimya labda anaandaaa maelezo ya kuwatetea vodacom manake kwenye suala la bando hayupo upande wa wanuka jasho hata kidogo yeye ana roll na big boys onlyIli Ku-balance Habari angeweka na screenshot ya Kifurushi cha Awali
Upoje huo mkuu?mwenge wa kishirikina
Vocha, kununua thru mifumo ya kifedha, hela wanayowekewa wafanyakazi maofisini ,ambapo kunakua na mkataba kati ya ofisi na kampuni ya simu mwanzoni mwa kila mwezi kampuni inawa credit hao staffs kwa viwango na majina yaliyoletwa ....Hio ni Pre paids issues.Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.
Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi).
Sasa hvc wengi ambao ni wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa serikali huwa wanawekewa line zao kuwa postpaid kwa mikataba na waajiri wao.
Mteja wa postpaid lazima awekewe maximum amount atakayotumia kwa mwezi.. na hii ndio credit limit. Hawezi kuvuka hapo unless kuwe na mawasiliano na makubaliano mapya.
Sasa nimeshangaa wewe kusema alitumia 70m bila kujua mpaka walipoletewa bili. Hili nalikataa. Tena hao ccm wabahili hakuna mtu anayeweza kupewa matumizi ya simu yenye limit zaidi ya 1m.
Unachokiongea hapa ni kitu ambacho kitakuwa technological miracle kutokea kwasababu kwenye roaming kuna report zinaitwa HUR (high usage reports) za kila siku na pia kuna NRTRDE (near real time roaming data exchange) ambazo zinatumwa every 4hrs kuhakikisha hakuna fraud inayotokea au kuwa na over usage ya mteja yoyote.Unakataa kitu nilikua nashughulika nacho ... Ok upo sahihi wewe basi.
Hiyo bill ukiwa roaming, na roaming partner wako huko ana gharama wala sio jambo la kushangaza.
Kikubwa ilitakiwa awe alerted kuwa mfumo unaonesha ana accumulate bill kubwa, azime Data au atumie Wi-Fi huko.
We jamaa, Mimi sitokutajia miaka, kuna mtu ataconnect dots,Unachokiongea hapa ni kitu ambacho kitakuwa technological miracle kutokea kwasababu kwenye roaming kuna report zinaitwa HUR (high usage reports) za kila siku na pia kuna NRTRDE (near real time roaming data exchange) ambazo zinatumwa every 4hrs kuhakikisha hakuna fraud inayotokea au kuwa na over usage ya mteja yoyote.
Ndio maana ninakataa kwasababu mimi nimefanya kazi kama roaming/ireg engineer miaka ya kuanzia 2010 mpaka 2015.
Narudia tena hakuna postpaid isiyokuwa na credit limit. Hata rostam aziz alikuwa na credit limit enzi zile ameenda world cup south africa akawa anatuma email tumuongezee.🤣Vocha, kununua thru mifumo ya kifedha, hela wanayowekewa wafanyakazi maofisini ,ambapo kunakua na mkataba kati ya ofisi na kampuni ya simu mwanzoni mwa kila mwezi kampuni inawa credit hao staffs kwa viwango na majina yaliyoletwa ....Hio ni Pre paids issues.
Sasa kuna Postpaid, hio mtu anatumia tu, sana sana utam alert kama kuna changamoto maana unaona kila kitu kwenye mfumo. Kuna madon mjini na mabosi wakubwa ndio huduma zao.
Uko sahihiNarudia tena hakuna postpaid isiyokuwa na credit limit. Hata rostam aziz alikuwa na credit limit enzi zile ameenda world cup south africa akawa anatuma email tumuongezee.🤣
Hata mimi nilkuwa naona ni gharama isiyo lazima mpaka nilipoelimishwa kuwa baadhi ya faida za Mwenge ni kusaidia Vijiji na Wilaya kutosahauliwa, la sivyo kuna sehemu za nchi hii zinaweza kusahaulika kabisa kwa kutofikiwa na shughuli au Kiongozi wa Kitaifa.Mwenge una uzuri wake, Kuna maeneo mengi viongozi wa eneo wanalazimika kuanzisha miradi mbalimbali kutokana na mwenge.
Kwahiyo, ni ukimbizaji wa shughuli ya uanzishwaji na ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali Tanzania (mara nyingi huwa tunapata taarifa kuwa miradi kadhaa imekataliwa kufunguliwa kutokana na kuwa chini ya kiwango au kutoendana na thamani ya fedha).