Naongelea Airtel,wewe ulikua wapi?Narudia tena hakuna postpaid isiyokuwa na credit limit. Hata rostam aziz alikuwa na credit limit enzi zile ameenda world cup south africa akawa anatuma email tumuongezee.🤣
Platform na postpaid policy zinafanana kote.. nimetoka zain mwishoni mwa 2009 nikaenda voda.Naongelea Airtel,wewe ulikua wapi?
Maana naona tunabishana tu.
Wakati Vodacom 2000 unapata gb 1 sms 10 na dakika 40 Kwa Hela hiyohiyo ttcl unapata mb 800 bila sms Wala dakikaJapo maisha ni kuchagua ila access ya net ni muhimu sana TTCL ilikua mda wao sasa wangekua wajanja wakasambaza neti nchi nzima watu tupate net za malipo ya mwezi ila kwa hizi bei kama sina jambo muhimu naenda nunua nyama nusu na piga na double kick yangu basi nalala tu.
Masikini kunapitia wakati mgumu sana sana MUNGU tusaidie
umeelewa nilichokiandika au umesoma ttcl basi ukajibuWakati Vodacom 2000 unapata gb 1 sms 10 na dakika 40 Kwa Hela hiyohiyo ttcl unapata mb 800 bila sms Wala dakika
Nimeelewa ndio maana nikaongezea Kwa kifupi ttcl ama Ina tatizo la uongozi au Kuna hujuma kwani angepata wateja wengi na kupata faida kubwa.umeelewa nilichokiandika au umesoma ttcl basi ukajibu
niko kwenye internet ya majumbani mkongo sio simcard mzee huko ttcl usiguse poor speed ufanisi hakunaNimeelewa ndio maana nikaongezea Kwa kifupi ttcl ama Ina tatizo la uongozi au Kuna hujuma kwani angepata wateja wengi na kupata faida kubwa.
Rejea taarifa ya TCRA kuwa watu 90000 waliacha kutumika lakini za ttcl
mnuka jasho kalalamika kwamba voda ni wezi, waziri kamuita mpotoshaji,maana yake nini sasa? voda siyo wezi wako sahihi mnuka jasho ndiye muongoNilivyoelewa hapo Bw Waziri kamaanisha huyo Mlalamikaji si Mkweli na sijaona mahali anatetea hili...labda kama kuna maelezo ya ziada ili nami niweze kumzodoa kwa haki.
Mimi ni natumia mtandao mwingine ingawa najua bado sipo salama maana ni yale yale ya kutoka duka la Suresh kuingia kwa Chavda.
Wewe utakuwa ni sehemu ya washirikina kama unapinga huu mwenge siyo wa kishirikina na laana Kwa Taifa.Hata mimi nilkuwa naona ni gharama isiyo lazima mpaka nilipoelimishwa kuwa baadhi ya faida za Mwenge ni kusaidia Vijiji na Wilaya kutosahauliwa, la sivyo kuna sehemu za nchi hii zinaweza kusahaulika kabisa kwa kutofikiwa na shughuli au Kiongozi wa Kitaifa.
Na kuna ule usemi maarufu unaosema "Mwenge hauruki Kijiji".
Haya ya kusema sijui "moto umefanya nini" ni yale yale ya tabia zetu za kutukuza mambo ya kusadikika na ushirikina...wewe chukulia Mwenge kama alama (symbol) tu, kama ilivyo Siwa pale Bungeni au Nyota kwa Mwanajeshi n.k.
Watanzania tuache ushirikina unatudumaza sana.
Acha ushirikina Mkuu, anayeogopa ushirikina na anayetekeleza mambo ya kishirikina ni kitu kimoja.Wewe utakuwa ni sehemu ya washirikina kama unapinga huu mwenge siyo wa kishirikina na laana Kwa Taifa.
Ni kiongozi yupi wa kitaifa anayekimbiza huo mwenge wa kishirikina vijiji?
Forojo Ganze, alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere),zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee.Acha ushirikina Mkuu, anayeogopa ushirikina na anayetekeleza mambo ya kishirikina ni kitu kimoja.
Hakutakuwa na Ushirikina kama Mtaacha kutishiwa na kukubali kutishika na Washirikina.
Mimi sio mshirikina na kamwe Binaadamu mwenzangu hawezi kunitishia kuwa ananiloga, kwa lipi la zaidi alilonalo?
Usichokijua ni kuwa ukiwa una Roam ukiwa USA kama Carrier atakuwa Verizon, T-Mobile au AT&T utachajiwa kwa rate zao sio za voda.Wateja wengi ni prepaid, unanunua vocha na kuitumia utakavyo. Hupangiwi na mtu.
Wapo wateja wengi wa makampuni mbalimbali wanawekewa specific amount kila mwezi kwenye prepaid line zao (ingawa hawezi kuhamisha hiki kiasi).
Sasa hvc wengi ambao ni wafanyabiashara wakubwa na viongozi wa serikali huwa wanawekewa line zao kuwa postpaid kwa mikataba na waajiri wao.
Mteja wa postpaid lazima awekewe maximum amount atakayotumia kwa mwezi.. na hii ndio credit limit. Hawezi kuvuka hapo unless kuwe na mawasiliano na makubaliano mapya.
Sasa nimeshangaa wewe kusema alitumia 70m bila kujua mpaka walipoletewa bili. Hili nalikataa. Tena hao ccm wabahili hakuna mtu anayeweza kupewa matumizi ya simu yenye limit zaidi ya 1m.
Hapa umeongea kama layman.Usichokijua ni kuwa ukiwa una Roam ukiwa USA kama Carrier atakuwa Verizon, T-Mobile au AT&T utachajiwa kwa rate zao sio za voda.
Kumbuka kule wale wanachaji kwa USD na ukiwa foreigner ni kama huku tunavyowafanyia kule mbugani. Kitu ambacho mzawa anapewa kwa dollar 5 wao tunawalipisha dollar 50. Na kwao ni hivyo hivyo.
vocha wanawekewa maumivu wapate wapi wewe maskini mwenzangu!.Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi nape nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika.
Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu hizi sidhani kwa kweli, waziri muhusika anaishi kwenye dunia yake kabisa.
View attachment 2345315
Kwahio kumbe mchawi ni Vodacom TzHapa umeongea kama layman.
Ngoja nikupe shule ili usikosee kesho. Ukienda kufanya roaming kwenye nchi nyingine tunaita outbound roaming. Kuna both postpaid na prepaid.
Uwapo nchi yoyote bado unachajiwa na kampuni yako ya nyumbani ila yeye naye atamlipa mshirika wake uliyemtumia (mfano labda T-mobile kule US) kiasi fulani ambacho wamekubaliana kwa kila huduma.
Mara nyingi hao washirika wala hawachaji sana.. huwa kila kampuni inapambana ipate gharama ndogo lakini yeye anawakamua wateja wake haswa. Hiki ndio kinaendelea kuhusu gharama za roaming.
Hivyo mbaya wako ni huyo huyo wa nyumbani ingawa kuna baadhi ya nchi gharama zao ni kubwa kama Cuba, Burundi na Gambia.