Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

Soko la tanzania ni huria, sio kazi ya serikali kuwapangia bei wafanyabiashara mahali ambapo haijaweka ruzuku. Kama wewe unaumia voda kupandisha bei, unapaswa uhame mtandao, ndio maana ya biashara ya ushindani hiyo. Vodacom hay

Kwa upande wa waziri Nape. Ni vyema angekaa kimya. Au aandae kipindi maalum cha kuelimisha umma. Sio kila kitu lazima ajibu. Najua inashawishi kujibu lkn anapaswa ku control temper ya kujibu, mengine aachie TCRA wamjibie, ndio kazi yao.
 
Naweza kukubariana na mleta uzi kwa sababu zifuatazo.
1. Mimi nilikatwa kifurushi na nikalalamika mpaka kwenye kampuni husika, sikulizika ikabidi niende TCRA nao wakanirudisha kwa kampuni husika, kampuni ikaniterekeza nikalalamika kwa Mh. Waziri, mpaka sasa naandika kampuni husika inanijibu jambo ambalo sililalamikii, unalalamika kuhusu dk! Unapewa majibu ya sms ulizotumia, unahoji hafu watu wanaamua kukaa kimya hawakujibu tena, na hii nibaada yakujua ninao ushahidi wakutosha. Hii siyo sawa mh. Waziri
 
Platform na postpaid policy zinafanana kote.. nimetoka zain mwishoni mwa 2009 nikaenda voda.
Kuna dada mmoja hivi anaitwa alice alikua content provider manager yupo wapi siku hizi??
 
Kuna dada mmoja hivi anaitwa alice alikua content provider manager yupo wapi siku hizi??
🤣🤣 Alice ninayemkumbuka airtel nadhani bado yupo pale kwenye roaming au international business au business development.. ni long time sikumbuki vizuri. Alice wa voda ninayemjua ni HR.
 
🤣🤣 Alice ninayemkumbuka airtel nadhani bado yupo pale kwenye roaming au international business au business development.. ni long time sikumbuki vizuri. Alice wa voda ninayemjua ni HR.
Airtel kipindi hicho Zain.
 
Viongozi nchi hawako kwa ajili ya kuwatetea wananchi
twende-kazi

Ova
Hii ni kumtesa mwananchi Kwa Sababu Kwa sasa Hivi asilimia kubwa sana za biashara watu tunatumia simu Kwa kuitangaza biashara yako sasa ukimtesa mwananchi Kwa kuongeza gharama ni mbaya sana , Kwa Sababu hapo bado makato ya vitu vingine Yaani hii Tanzania ingebadirishwa Jina na kuitwa Makatonia United republic
 
Line ya Voda sitaitumia tena??

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…